Utamu wa penzi la mume wa mtu.

Mke ulimuwowa akiwa hivi:
BuffyTheBodyInABlackBikini.jpg

Ghafla anakuwa hivi:

black-woman-attitude.jpg

Kwa nini usitafute huyu badala yake?

big_booty.jpg

Lakini haimaanishi ndio tuwahukumu kwa kutoka nje ya ndoa, ongea na mkeo ajiweke sawa. Si kwamba mwanamke wa nje anakung'ang'ania wewe bali anang'ang'ania pesa zako.
 
You are welcome.......hivi kwa nini mkiambiwa mpunguza unene mnakuwa mbogo sana? Just asking :embarassed2::embarassed2::embarassed2:......mimi unene siupendi!!!!!!
mimi pia siupendi ila huwa unakuja weyewe.hayo mautamu mnayotupa huko ndani tutaacha kunenepeana dear?
 
Elaizah, nataka kuanzisha chama cha wanawake wapinga udhalimu. Kuna udhalimu namalizia afu ntakusaka tuangalie mchakato mzima. Lol! Umenichekesha na hiyo sure yako!
Let me tell you something Boy,
Mume wa mtu anasikiliza kwasababu he is not responsible in addressing your blah blahs

He gives an ear to listen, while his thought is right between your legs.
Tell him whetver you want, he will then Fack you and get his sorry a*s back to his wife and kids!~!
 
Elaizah, nataka kuanzisha chama cha wanawake wapinga udhalimu. Kuna udhalimu namalizia afu ntakusaka tuangalie mchakato mzima. Lol! Umenichekesha na hiyo sure yako!
umeona hii kingast He gives an ear to listen, while his thought is right between your legs

Halafu nakereka..........ukitoka asubuhi unajikwatua..........ukirudi jioni ndani ya mikanga........wapi mvuto hapo?
safari bwana ndoa ni mambo mengi lakini nadhani kinachotakiwa kwenye ndoa ni mawasiliano mazuri baina ya wanandoa.ukiona mwili unavimbavimba mweleze mwenzio kwamba hupendi wala hapendezi.kulaumu sio dawa my dear
ujue wanawake miili yetu sometimes inatanuka sana wala unakuwa hujui
personaly june nilikuwa na kg 65 now nipo 70 tena kwa sababu ya matatizo hapa kati nilikuwa nimefika 75 wala nilikuwa sijui kama naongezeka cause diet ilikuwa ile ile nimeshtukia tu nguo zinanikataa
ningekuwa na mtu akaniambia ningezuia so just mweleze mwenzio inaonekana unakereka
 
Ila jamani kuna wengine wanapenda hao wanene, wana raha zao pia kwenye 6 kwa 6.
 
wewe utanifaa smile

Back
Top Bottom