Utamu wa bazoka ni mate yako mwenyewe

Zemu

JF-Expert Member
Jun 5, 2008
518
80
Inaniuma sana kuona sisi wanaume tu ndio tunaotoa fedha au kuhonga chochote wanawake hasa baada ya kusex na hata kama ni gf wako mnae pendana sana au hata kama ni mlupo tu asubuhi lazima akitoa upepo kama bia kanywa, nyama kala na raha za sex tumekapata wote, sasa kwa nini mimi (mme) nikupe tena hela asubuhi na wewe (mke) sio kwamba ni changu kuwa unauza hio maneno? Jamani huu si unyonyaji na ukosefu wa demokrasia katika mapenzi? Tujadili.
 
unataka kutwambia kuwa hutaki kumpa pesa ya matumizi mkeo au?

mwanamme ndo kichwa cha familia, ukipewa hiyo kitu usipewe, pesa lazima uitoe uendeshe familia hata kama familia yenyewe ni wewe na yeye mkeo tu
 
Hilo la mke nitalileta J4 maana wapo wanawake wanafanya kazi tena nzuri lakini hata shilingi mia ya kununulia chumvi hatoi, utasikia anawambia watoto "muambieni baba yenu chumvi imeisha" Leo tuone GF zaidi na wale wenzangu na mimi wa kula chocho.
 
Vijana bwana!! Haya ngoja sie wakongwe tuwaache mjadili mada zenu mnazozipenda.
 
hata kama anafanya kazi, wewe ndo mwenye familia, wajibu wako kutimiza hata chumvi .............sijaona tatizo hapo

hao wengine unao zini nao hata wakikuomba milioni sikuonei huruma kwa sababu mwenyewe hujionei huruma ......ungekuwa unajionea huruma ungefikiria dhambi kwa mungu pamoja na maradhi
 
Kweli eeeh, daaaa umenikumbusha leo Miss Mzumbe pale Magadu Mess.Lazima nikaone wale wanaovaa nguo za wadogo zao.

angalia usije ukalipia asubuhi yake bwana Zemu wakati kuna mambo mazuri yako mbeleni
 
mmmmmmhhhh!!!! kwanini usiache matumizi wewe si kichwa bwana toa matumizi atakama mlilala mzungu wa nne,
 
naomba nikomenti...j4 plz... nawahi kilo zangu za mkuu wa meza na chui chui!!!!wkend njema mukulu!!!
 
Inaniuma sana kuona sisi wanaume tu ndio tunaotoa fedha au kuhonga chochote wanawake hasa baada ya kusex na hata kama ni gf wako mnae pendana sana au hata kama ni mlupo tu asubuhi lazima akitoa upepo kama bia kanywa, nyama kala na raha za sex tumekapata wote, sasa kwa nini mimi (mme) nikupe tena hela asubuhi na wewe (mke) sio kwamba ni changu kuwa unauza hio maneno? Jamani huu si unyonyaji na ukosefu wa demokrasia katika mapenzi? Tujadili.

mkuu umesahau starehe garama siku zote usiogope gharama kama vp subiri siku mpenzio akiwa na hamu atakutafuta mwenyewe na ukitumia vzuri nafasi hiyo atagaramia kila kitu ukiwanamsimamo vizuri na posho utapewa. ndomana tunaambiwa tukae nao kwa akili
 
Back
Top Bottom