Utamshawishi vipi akuelewe?

Kisoma

Member
Dec 18, 2011
32
1
wewe kaka Benard umeoa ila mkeo anasoma chuo kimoja mkoani. Nyumba unayoishi ni apartment ambayo upande wa pili unashea na dada mmoja ambaye kama bahati mnafanya kazi pamoja na hata wakati wa uwepo wa mkeo mmekuwa mkijumuika pamoja.
Huyo dada nae kwa upande wake amekuwa huru sana kwako kiasi kwamba hata yale masuala yake nyeti zaidi amekuwa akikushirikisha ingawa mwanzo ulishtuka ila badae ulizoea hiyo hali na mkeo hukumwambia uwazi huo!
Inapokaribia likizo ya mkeo huyo dada ktk mazungumzo yenu anakuambia anasumbuliwj na U.T.I
Nawe siku ktk mazungumzo na mkeo unajikuta umeropoka kuwa huyo jirani yako wa kike ana U.T.I!
mkeo anakuja juu ila wajitahidi kumuelewesha hadi anaelewa na yanaisha.
mkeo baada ya kurudi likizo wiki moja mbele unaanza jisikia vibaya.
mnaenda hospital na vipimo vinaonesha unasumbuliwa na U.T.I !!
Mkeo anakuja juu kwamba unatembea na huyo dada jirani coz hakuna sehemu nyingine unawezapata huo ugonjwa ukiangalia na biological make up za mwanaume,kama ni choo kila mtu anacho cha kwake,so there's no way out isipokuwa umetembea nae!
ukweli ni kwamba hukuwahi hata kufikiria kutembea na huyo dada!
je utamshawishi vipi mkeo akuelewe?
 
wewe kaka Benard umeoa ila mkeo anasoma chuo kimoja mkoani. Nyumba unayoishi ni apartment ambayo upande wa pili unashea na dada mmoja ambaye kama bahati mnafanya kazi pamoja na hata wakati wa uwepo wa mkeo mmekuwa mkijumuika pamoja.
Huyo dada nae kwa upande wake amekuwa huru sana kwako kiasi kwamba hata yale masuala yake nyeti zaidi amekuwa akikushirikisha ingawa mwanzo ulishtuka ila badae ulizoea hiyo hali na mkeo hukumwambia uwazi huo!
Inapokaribia likizo ya mkeo huyo dada ktk mazungumzo yenu anakuambia

Anakuambia nini sasa...?
 
Kama ana UTI na wewe una uhakika hujacheat basi jua unaibiwa... na ndio maana anakua mkali, kajishtukia tayari
 
mwenye U.T.I ni wewe na sie yeye.
ipo ktk context hiyo
Uliitoa wapi sasa? kama huja lala na dada jirani, umelala na mke wako tu alafu ukapata UTI, maana yake umeitoa kwake mke wako, na yeye kaitoa huko anakogawa bila hata condom.
 
Hivi wote wenye U.T.I walikutana kimwili na watu wenye ugonjwa huo?
 
Ntamwambia choo cha yule dada jirani kulifurika nikamkaribisha kuwa anatumia cha nyumbani kwangu.
 
Mi si Dr. ila kwa uelewa wangu mdogo U T I haiambukizwi kwa tendo la ndoa hata kama utaamua kukuna nazi (chumvini) Pia kumbuka maumbile ya kiume si rahisi kupokea U T I kama wanawake tulivyoumbika kuna vitu vingi ambavyo mke anapaswa kujihadhari navyo hasa swala zima la usafi. huyo bwana atakuwa alipata kwa kuvaa chupi chafu ama yenye unyevu/uvundo nk, au alikuwa na fungas akachangaya na U T I. Onyo kwa wakunaji/wapiga mswaki kama anafungas usikune nazi/usipige mswaki utatoka na fungas za kooni. Madoc wana kazi.
 
nitamwambie atakua alikuja nayo hiyo UTI ukizingatia mazingira ya vyoo vya chuo huwa ni hatarishi hivyo awe muangalifu huko chuo, na nitasisitiza kuwa sijatembea na huyo dada.
 
mmmmh U.T.I si lazima itokee kwa kutembea na jirani,umesema huyo mkeo anakuwa chuo,kwani huko chuo anaenda na choo chake?si wana share?so source ya U.T.I ni huko chuo,lkn pia hata choo cha watu wawili tu (mume na mke) kama si kisafi U.T.I haikosekani,kiukweli unasababisha mkeo asikuamini kutokana na hayo mazingira uloelezea lkn kuepusha malumbano acha mazoea ya ndani na huyo jirani,inawezekana nia yake ni njema na yako pia lkn badae usijesema SHETANI ALINIPITIA kati ya sentensi nisiyopenda ni hii,kwann shetani akupitie?na ww si umpitie?anyweiz simba akikosa nyama?kuwa makini
 
mmmmh u.t.i si lazima itokee kwa kutembea na jirani,umesema huyo mkeo anakuwa chuo,kwani huko chuo anaenda na choo chake?si wana share?so source ya u.t.i ni huko chuo,lkn pia hata choo cha watu wawili tu (mume na mke) kama si kisafi u.t.i haikosekani,kiukweli unasababisha mkeo asikuamini kutokana na hayo mazingira uloelezea lkn kuepusha malumbano acha mazoea ya ndani na huyo jirani,inawezekana nia yake ni njema na yako pia lkn badae usijesema shetani alinipitia kati ya sentensi nisiyopenda ni hii,kwann shetani akupitie?na ww si umpitie?anyweiz simba akikosa nyama?kuwa makini
singo and not searching!......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom