Utamfanyaje?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Unakuta unachat na mpenzi wako kila siku kwenye social network kama hii,facebook,my space e.t.c,but mwenzako anaunda account fake na kuanza kukutongoza upya ili ajue to kama una msimamo.Baadaye unajikuta umetegeka na unakuja kugundua ndo yeye.
nani hapo mwenye kosa?je utamfanyeje?
 
Mmmmhhhh
huwezi fanya kitu
maana kakukamata Live..
na kasha jua you are not honest..?

bakini JF ambapo unamtongoza
mkeo/mumeo gf/bf pasipo kujua..
Hata baadaye mkija toana ngeu
wote mnamakosa...
asanteeni
 
Nitampiga chini!

Kwa kweli, ukimchunguza sana kuku, huwezi kumla.

This reminds me of an Nigerian film... a lady sent a best friend kumtongoza jamaa yake... kibao kiligeuka!
 
Mkuu hapo kila mtu amekosea!Ili mtu aunde account kisha aanze kukutongoza upya atakua hakuamini.kutomuamini mpenzi wako wakati tayari mu katika uhusiano ni kosa, kwa mantiki kwamba upo katika uhusiano usiouamini!Kwa upande wa pili alietegeka nae ana kosa!kama wewe ni muaminifu na unathamini uhusiano ulionao hupaswi kupokea maombi mapya!kimsingi unapaswa kuwa muazi na mwaminifu vilevile!Sasa kuhusu kitu cha kufanya mtakaa halafu mtabisha kwa hoja!atakae shinda kwa hoja atapendekeza suluhisho!
 
Nitampiga chini!

Kwa kweli, ukimchunguza sana kuku, huwezi kumla.

This reminds me of an Nigerian film... a lady sent a best friend kumtongoza jamaa yake... kibao kiligeuka!

mi pia wazo linalokuja ni kumpiga chini tu
 
Mmmmhhhh
huwezi fanya kitu
maana kakukamata Live..
na kasha jua you are not honest..?

bakini JF ambapo unamtongoza
mkeo/mumeo gf/bf pasipo kujua..
Hata baadaye mkija toana ngeu
wote mnamakosa...
asanteeni

ila mi naona kwakuwa yeye ndo aliyenifanyia ujanja heri aniache tu mana sintamwamini tena.
JF ishu kupiga sound kwanza huwezi ukajua jinsi.
 
ni ww !!!!!!!!!!!!!kwanni ucwe mwaninifu kama kwli unampenda m2 ?????utategeka vp huku kuna m2 unampenda? basi huna msimamo n mapenzi ya kweli..
 
kitendo cha kunichunguza inaonyesha ananipenda ila kukata mzizi wa fitna nitamwambia nilitaka kuwa na wawili ili akinitenda nisiumie sana ila kwa sababu yeye ni chaguo la mungu,kaamua kupishia mbali kwani yeye ni muweza na kaamua kumpitisha yeye kwa uweza wake.
hapo nadhani nitakuwa nimeuwa tembo kwa ubua.
 
Ringo hahahahahahhaha,mi nitamwambia nilijua wewe ndo unanitongoza ila nilikuwa nafanya mzaha
 
Kukubali kuingia ktk mahusiano wakati upo ktk mahusiano ni jambo la ajabu/kushangaza. Na cha ajabu zaidi kwa mtu usie mjua!
 
Atajiju! Hadithi hii inatufundisha kwamba ni muhimu watu tujenge tabia za kuaminiana (japo tuigize kuaminiana) kuliko kuwekana under surveillance wakati huo huo tunadai kupendana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom