Utambuzi wa viongozi bora

Habda

New Member
Oct 7, 2010
1
0
Ni bora jamii iweze kutafakari kwa kina na upeo mkubwa kwamba ivi nani hasa anapaswa kuliongoza Taifa. Swala la msingi hapa ni kumtafakari kiongozi ambae anaweza kujinadi hadharani kwa ushahidi wa wazi kuwa amelifanyia nini Taifa aliloliongoza. Vilevile kiongozi anaejinadi kuomba ridhaa ya kuchaguliwa kuliongoza taifa kwa kuahidi mambo kadhaa, swala la msingi hapa la kujiuliza , je ana mikakati gani inayoweza kutekelezeka na yenye uhalisia atatumia kufikia malengo yake katika kuleta maendeleo ya kweli ndani ya jamii husika.
 
Chagua Dr. Slaa chagua Chadema. Acha tafakari za ziada. CCM yaahidi kuendeleza ufisadi na haiwezi kutuletea elimu ya bure au afya ya bure. Machaguo yapo wazi kabisa kwa sababu CCM haiko tayari kufuta misamaha ya kodi
 
Back
Top Bottom