Utambulisho wana JF

Garmii

Senior Member
Feb 26, 2011
164
19
Wana jf,kwnza kabisa nawapongeza sn kwa kuleta mchanganuo wa kimaisha unaoendana na wakati uliopo,mm binafsi nimeguswa na mijadala inayokuwepo hapa.Naombeni mnipokee na kunipa mwongozo panapo stahili,thanks.
 
Karibu sana, afadhali uje tuchangie kwa mapana .. na .usije kwa kutafuta mpnz au mchumba tuuu.
PakaJimmy atakutumia Policy & procedures.
 
Karibu sana, afadhali uje tuchangie kwa mapana .. na .usije kwa kutafuta mpnz au mchumba tuuu.
PakaJimmy atakutumia Policy & procedures.

nashukuru kaka nipo kwa sababu ya kujiongeza na c wachumba,pamoja sn mkuu.
 
Karibu sana mkuu, soma kwa makini sheria na kanuni za jamvi letu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom