Utambulisho: KYACHAKICHE

Kyachakiche

JF-Expert Member
Feb 16, 2009
983
207
Wapendwa katika Janvi, napenda kujitambulisha kwenu ili nami niweze kuwa miongoni mwenu katika jamii hii ya watu wenye akili na talenti mbalimbali.
 
kYACHAKICHE, karibu sana Mkuu. Tunasubiri michango ya mawzo kutoka kwako kuhusu nyanja mbalimbali tuweze kulisaidia Taifa kupiga hatu mbele. Usisahau pia kuchangia JF kwa pesa ili kuiwezesha JF isonge mbele.
 
Karibu ukumbini mwenzetu, tunasubiri mengi kutoka kwako kama ambavyo naamini pia umekuwa ukipata mengi kutoka kwetu.
 
Jamani na mimi naomba nitumie fursa hii kujitambulisha kwenu rasmi.
Natumaini tutashirikiana vyema kuchangia mawazo
 
CHAP mbona umefanya chap chap kujitambulisha mgongoni mwaKyachakiche kwani mliagana kujiunga pamoja?Hebu fungua ukurasa wako basi uombe ruhusa.Mwombe Mode akuelekeze mlangoni.
 
Siyo vibaya na mimi nikakukaribisha mh Chap, kwani nimekutanguila kidogo jamvini.
 
KIMATIRE
Samahani sana kama umejisikia vibaya na mimi kujitambulisha pamoja na Kyachakiche

Kwa tamaduni zetu sikujua kama ni vibaya watu kjitambulisha kwa pamoja

KYACHAKICHE
Nashukuru kwa ukaribisho wako
 
CHAP mbona umefanya chap chap kujitambulisha mgongoni mwaKyachakiche kwani mliagana kujiunga pamoja?Hebu fungua ukurasa wako basi uombe ruhusa.Mwombe Mode akuelekeze mlangoni.

Mkuu Kimatire, si unajua ugeni tena. Nafikri msaada wako utakuwa umemsaidia CHAP kwani hatukuagana kujiunga pamoja.
 
Back
Top Bottom