Utambadilishaje mwanaume mbaili jamani!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Nasikiliza dada mmoja clouds anasema anaomba msaada atambadilishaje mwenzie mbaili kama nini
ingawa analipwa hela nzuri tu lakini siku mkienda outing utashangaa anaanza am broke am broke today yaani ndio
wimbo wake w outing mwisho mkiletew bili anasema nalipia nyma we lipia vinywaji.....duhh si mchezo starehe garama

najua mko wengi humu jf wa diazini hii pengine si wewe basi mumeo ama jamaa yako amekuwa na mazoe ya kubana sana ingawa uzoefu unaonyesha anapobana kuna mtu anaziachia kwakwe..sisemi umwache la hasha leo nimekuja na wazo la tutawasaidiaje watu wa jinsia hii...unajua ni raisi kumbadilisha mwizi akawa malaika lakini sio mwanaume mbaili

na nyie wanwake umekwenda outing na jamaa zaiidi ya mara tano hali yake hiyo hiyo siku ukivuliwa nguo kwa deni la bia utamlilia nani??embu jueni jinsi ya kuishi na wanaume zanu sio kila s iku outing..pengine mwanaume anasoma nyakati huyu ashazoe jumamosi ni matumizi kumbuka kanisani kuna

---zaka
---sadaka za jengo
--sadaka za emergency
--sikuhizi kuna dhabihu unatoa ile unayoumia moyoni
---sadaka za ...zote hizi anatakiwa atoe yeye we siku ya jumapili unafanya kukinga tu uulizi zile round zote unazoenda nae kutoa anatoa wapi pesa alaaahhhh embu tusaidien jamani wanaume atujaumbwa kutumika kama atm za crdb
--
 
Na december tunaanzisha sadaka za kuwahudumia familia za wachungaji ...sasa zote hizi atoe yeeye na jumamosi mshinde msasani club loh ::embu tuletee sadaka hizo we mwanaume uliesemwa kama upo hapa..dada anaitwa huzunika sijui mumewe ataitwaje...kama babahuzunika huko huku zilete kanisani hizo tuziombee hayo mapepo ya mkeo yasikusumbue
 
We nani kila mara unataka ww tu uhudumiwe kila kitu... Mim huwa naangalia nimara ngapi? Lazima niangalie wapi pana umuhimu na ukiomba out jua unahudumia mwanzo mwisho.
 
Nasikiliza dada mmoja clouds anasema anaomba msaada atambadilishaje mwenzie mbaili kama nini
ingawa analipwa hela nzuri tu lakini siku mkienda outing utashangaa anaanza am broke am broke today yaani ndio
wimbo wake w outing mwisho mkiletew bili anasema nalipia nyma we lipia vinywaji.....duhh si mchezo starehe garama

najua mko wengi humu jf wa diazini hii pengine si wewe basi mumeo ama jamaa yako amekuwa na mazoe ya kubana sana ingawa uzoefu unaonyesha anapobana kuna mtu anaziachia kwakwe..sisemi umwache la hasha leo nimekuja na wazo la tutawasaidiaje watu wa jinsia hii...unajua ni raisi kumbadilisha mwizi akawa malaika lakini sio mwanaume mbaili

na nyie wanwake umekwenda outing na jamaa zaiidi ya mara tano hali yake hiyo hiyo siku ukivuliwa nguo kwa deni la bia utamlilia nani??embu jueni jinsi ya kuishi na wanaume zanu sio kila s iku outing..pengine mwanaume anasoma nyakati huyu ashazoe jumamosi ni matumizi kumbuka kanisani kuna

---zaka
---sadaka za jengo
--sadaka za emergency
--sikuhizi kuna dhabihu unatoa ile unayoumia moyoni
---sadaka za ...zote hizi anatakiwa atoe yeye we siku ya jumapili unafanya kukinga tu uulizi zile round zote unazoenda nae kutoa anatoa wapi pesa alaaahhhh embu tusaidien jamani wanaume atujaumbwa kutumika kama atm za crdb
--

Huyo mwanume yuko kamili. huwezi kuyumbishwa kama gari bovu. Mwambie ampe t........o, labda ataacha huo ubahili wake, ajaribu tu akiona hiyo approacha nayo haifanyi kazi basi amuendee kwa kalumanzila
 
mi nachekaa sanaaa..sasaa we mpenzi wangu tumetokaa out kwani tukishare cost kunaubayaa ganiii?inaanza we unaagiza bia kitu safari au castal,tusker..demu anaangiza double ya magic moment,takila,jack danel au bacadi,mnagongaa bia ya pilii demu doble sitaa tiyari,maraa kamuitaa muudumu kitu kuku wakienyejii mzimaa na ndizi nne,bilii inakujaa labda elfu 40 au 50,unavutikaa,kumbukaa umelipia tax kujaa na kurudi,unafikaa place anatakaa aingie solon unachomoaa 15000 au 20,na ten ya tax unatoa ya kurudia,kudadadekiii wadadaa muweee na urumaaaa,siku nyinginee nanyie changienii biliii,hakii sawaaa majukumu kwa wote.KAMA VIPI AMTAMBULISHE KAMAA KIKOREEE KIRUKEE CHA IBWEE,NATII YA MELIII INAFUNGULIWAA NA GES
 
Nasikiliza dada mmoja clouds anasema anaomba msaada atambadilishaje mwenzie mbaili kama nini
ingawa analipwa hela nzuri tu lakini siku mkienda outing utashangaa anaanza am broke am broke today yaani ndio
wimbo wake w outing mwisho mkiletew bili anasema nalipia nyma we lipia vinywaji.....duhh si mchezo starehe garama

najua mko wengi humu jf wa diazini hii pengine si wewe basi mumeo ama jamaa yako amekuwa na mazoe ya kubana sana ingawa uzoefu unaonyesha anapobana kuna mtu anaziachia kwakwe..sisemi umwache la hasha leo nimekuja na wazo la tutawasaidiaje watu wa jinsia hii...unajua ni raisi kumbadilisha mwizi akawa malaika lakini sio mwanaume mbaili

na nyie wanwake umekwenda outing na jamaa zaiidi ya mara tano hali yake hiyo hiyo siku ukivuliwa nguo kwa deni la bia utamlilia nani??embu jueni jinsi ya kuishi na wanaume zanu sio kila s iku outing..pengine mwanaume anasoma nyakati huyu ashazoe jumamosi ni matumizi kumbuka kanisani kuna

---zaka
---sadaka za jengo
--sadaka za emergency
--sikuhizi kuna dhabihu unatoa ile unayoumia moyoni
---sadaka za ...zote hizi anatakiwa atoe yeye we siku ya jumapili unafanya kukinga tu uulizi zile round zote unazoenda nae kutoa anatoa wapi pesa alaaahhhh embu tusaidien jamani wanaume atujaumbwa kutumika kama atm za crdb
--

umesahau michango ya
-arusi
-graduation
-komunio na kipaimara kwa wakristo
-ada za shule na n.k
 
hta me huwa nalaumiwa kuwa ni mbahili,lakini katu sintobadilika eti ili nisifiwe na mwanamke! Siendeshwi na hisia,natumia akili zangu na daima ntasimama kwnye hii falsafa!
1.kwani imeandikwa wapi kwamba mwanaume ndo mtu wa kulipa bili?
2.kwanin wanawake wamejijengea concept hizi za kulipiwa!? Hawaoni wanadhalilika?
3.simply,sioni hatari ya kumwaga demu yeyote ntakaeona ananiletea utegemez! Wanawake ni wengi sana,haisumbui kumpata mwngne,nae pia sitaona hatar kumpga down kama atakuwa na tabia zilezile!
4.Mwisho,taking exmpl kwa sisi wanachuo,napewa sh.450,000 kwa siku 60,na wewe unapewa the same amount,kwanin me pekee ndo nilipie gharama? Je,pesa yangu ikiwah kuisha mimi niishi vipi wkt huo wewe ushapata mwanaume mwngne anakusapoti??

Wanaume wenzangu tuweni makini sana na hawa viumbe,watakulostisha na hutaamini jicho lako,jaribuni kuushirikisha ubongo kwnye maamuz kama hayo,na kamwe usiendeshwe kwa hisia.

Nawasilisha wakuu!
 
Tatizo wanawake wengi siku hizi hawazingatii hali halisi ya maisha linapokuja swala na matanuzi. Sijui wamekuwaje tu ?! Hata ukimwambia unalipwa kiasi gani kwa mwezi, yeye atataka matumizi yako kwake yawe makubwa kiasi utadhani haulipi bills, na wanadhani matanuzi ndo mwisho ya mambo yote!
Sioni ubaya wa kuwa mbahili kama lengo ni ku-save kwa ajili ya future, au kwa ajili ya kufanyia kitu kingine cha maana zaidi ya ya outing. Kama nyie wanawake siyo wabahili mbona huwa hamtutoi outing kwa pesa zenu? Mkiambiwa mnasingizia mwanaume ni kichwa lazima atoboke! Acheni hizo.
 
Back
Top Bottom