Utalii wa Ndani

Sijui utaanzia wapi kumkimbia

attachment.php
hiyo misimba dume sio noma kama jike...si unaona hata hapo anatafuna kamnyama kadogo! usimbe kukutana na jike mwenye njaa
 
Mafisadi hawajajua kama na huo mnala ni rasilimali? Wataubinafsisha baadaye!
 
Heee CCM mbona wana viingizo vingi tu lkn bado wanangangania Kodi zetu tu jamani, UTALII bongo upo wa kumwaga....
 
Mkuu ilikuwa kumbukumbu zangu zilizo sahihi zinaonesha kuwa ni Yemen Air na siyo Air France. Air France ilikuwa inatoka Rio de Janairo - Brazil na kupata ajari karibu lakini mabaki yake hayakufika Afrika. Yemen Air ndo waanga wake walipatikana Mafia na ilikuwa ikielekea Comoro ikiwa katika harakati za kutua. Naomba urekebishe taarifa kama niko sahihi nilivyo.
Hapa ni mnara wa kuongozea meli uliopo katika ncha ya kisiwa cha Mafia
Mnara huu ulijengwa zaidi ya miaka mia moja iliyopita
Fukwe inayoonekana pembeni ndipo miili ya wahanga wa ajali ya ndege ya air france iliyokuwa ikitokea comoro ndipo ilipopatikana..
picha hii imepigwa kwa kutumia simu ya mkononi
 
hiyo misimba dume sio noma kama jike...si unaona hata hapo anatafuna kamnyama kadogo! usimbe kukutana na jike mwenye njaa

Halafu kamnyama kenyewe anakula vitu vitu laini vya ndani tu (offals) hataki tabu! Kazi yake kubwa ni security of the clan na reproduction, au?
 
Huu mlima unaitwa Oldonyo Lengai(kilima cha mungu) uliopo Longido ukiwa umecharuka unatema moto kileleni. ni moja ya volcano hai chache zinazolipuka duniani



Oldonyo.jpg
 
asee safi sana,,,.. vitu kama hivi hatuvijui kwasababu ya magamba banna yani hawa jamaa ni waizi wa mali zetu wenyewe ndio maana hata kilimanjaro tumeshindwa kuipaiza bwana....!
 
hiyo misimba dume sio noma kama jike...si unaona hata hapo anatafuna kamnyama kadogo! usimbe kukutana na jike mwenye njaa

ila madume wakiwa abandoned na family zao wakija kwa jamii za watu huwa wanakuaga noma....!
 
Back
Top Bottom