Utalii ni wa Beach za Holiday resorts, kupumzika na kutumia, sio wanyama jamani

Pharaoh

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
843
157
Please serikali ya bara ijaribu kuleta wawekezaji wa kujenga mahoteli ya beach resorts, wamwaga watalii kuliko hao tunaowaona Zanzibar.
Bahari yetu katika baadhi ya sehemu ni nzuri kama ile ya Zanzibar, kwa mfano Visiwa mbele ya mji wetu wa Dar, wengetafutwa wawekezaji wa maana waweke mahoteli makubwa na wa ujenzi unaoheshimu mazingira, badala ya kuvifanya choo cha wavuvi tu, pia Mafia, na sehemu nyingine kibao.
watu wangepata kazi na watalii kuja, na unajua safari moja huanzisha nyingine, huyo huyo mtalii ndie atakaegeuka mwekezaji.
Tatizo la serikali nini????
 
Back
Top Bottom