Skulimeti hiyo "Gloria" umenikumbusha yule padre wa ki-Goa! pale kwa Malale - Assembly Hall
YouTube - ANGELS WE HAVE HEARD ON HIGH - Gloria In Excelsis Deo
Leo tuna kila sababu ya kufanya mapenzi na avatar yako.
ha ha ha ha!Leo tuna kila sababu ya kufanya mapenzi na avatar yako.
ha ha ha ha!
usije ukanambia tena ''NIMEMBEBA KATIBU MKUU,TAFADHALI NAOMBA NIENDE KWANZA HOME''
Na bila kusahau
halafu hapo juu ''baba enock'' na ''asprin'' inaonekana mnafahamiana lakin MNAOGOPANA au sio?!au mlichukuliana madem huko MOSH TECH?
Hahahaha...kama vipi tamalizia siku pale tegeta darajani. Tafanya lojistiksi mshiki na dada ake wakuje,,,The server at www.Utakuwa wapi? Unakaribishwa tuserebuke!.com is taking too long to respond.
Hahahahahaha...wewe bana.
Kama vipi tamalizia matatizo yetu Tegeta darajani. Mshiki na dada ake nadhani tafanya lojistiki.
* The site could be temporarily unavailable (may be oshenik hajaenda vingunguti kumchek mbuzi mzuri wa kike )or too busy. Try again in a few moments.
* If you are unable to load any pages, may be haujachangia hela yoyote kwa ajili ya lojistix za jumamosi husika,please contact TEAMO for some michangooz.
* If you are not a member of I.S.C (currently MMSC),you should register/sign up for being a member WITH IMMEDIATE EFFECT.
HEHEHE!maanake najaribu kuload hapa naona bila bila.....Hahahaha...kama vipi tamalizia siku pale tegeta darajani. Tafanya lojistiksi mshiki na dada ake wakuje,,,