utajuaje unapendwaaa?!?!

stevoh

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
2,921
1,104
hicho ndicho kinachonisumbua munieleze maana nahisi kuchanganyikiwa ni pesa kupewa au ni hugs za kutosha au ni kiss za kutosha au ni mapenzi kwa wingi?
 
Vyote ulivyovitaja sio kipimo cha kupendwa. Subiri siku ukipendwa utajua maana yake!
 
mapenzi ni wigo mpana,hususan mapenzi ya kweli ambayo hayaangaliagi hizo mambo,automaticaly mapenzi ya kweli hujionyesha sio ukae ufikirie nifanye nn ili ionekane nnamapenzi ya kweli
 
hakuna kitu kama hicho siku hizi we kama una m2 kaa nae tuu huku ukiomba mungu asibadilike ...cku hizi kuna mapretender balaa mtu anaweza hata kutoa chozi coz of u lakini kumbe ana kitu anakitaka akikipata tu utaona pozi zake kwa sis wanaume huwa kuna ki2 roho inapenda nikikipata na mm naanza pozii ila kwa dadas hapo najua wengi wanajua kitu maney ndugu yangu hapo anaweza hata kukubali umuoe ila zikiisha tu ujiandae watu kukupigia
 
mapenzi ni wigo mpana,hususan mapenzi ya kweli ambayo hayaangaliagi hizo mambo,automaticaly mapenzi ya kweli hujionyesha sio ukae ufikirie nifanye nn ili ionekane nnamapenzi ya kweli

yanaonekanaje?
 
hakunaga kupendwa..tuna mademu tu wakisumbua unamwambia hata mimi nilikua sikupendi kiviiiiile.
 
hicho ndicho kinachonisumbua munieleze maana nahisi kuchanganyikiwa ni pesa kupewa au ni hugs za kutosha au ni kiss za kutosha au ni mapenzi kwa wingi?

mpaka leo hujapendwa? Una umri gani?
 
Back
Top Bottom