Utajuaje kuwa anakupenda au anakutumia tu....?

...Jinsi ninavyochukia mwanamke anaye fake orgasm! yaani ni sawa na kununua bidhaa ya china tu, the 'whole package is of poor quality,' aarrrgghhhh :( ,...how come some men cannot tell the difference?

Pole Mbu but sometimes inabidi kwa sababu kama mtu akikulazimisha kwa maana ya kuforce na wewe hujisikii kabisa utamwachia ajipakulie then usipofika anakufungulia kesi nyingine kuwa unatoka nje ya ndoa sasa bora lipi? akuforce usifike akushutumu kuwa na mahusiano ya nje au uepushe shari?. Najua inabore na kuchukiza but sometimes inabidi. Sikitetei kitendo hiki kwani hata mie sipendi kuachwa njiani but inatokea.

Sorry
 
I can tell the difference,,,, c umawambia Mbu kuwa hili ndilo aliloligundua kilichobakia akaanza kumtumia kula hela zake.
 
Pole Mbu but sometimes inabidi kwa sababu kama mtu akikulazimisha kwa maana ya kuforce na wewe hujisikii kabisa utamwachia ajipakulie then usipofika anakufungulia kesi nyingine kuwa unatoka nje ya ndoa sasa bora lipi? akuforce usifike akushutumu kuwa na mahusiano ya nje au uepushe shari?. Najua inabore na kuchukiza but sometimes inabidi. Sikitetei kitendo hiki kwani hata mie sipendi kuachwa njiani but inatokea.

Sorry
Mimi ya kwangu si mchezo, nikipiga tu lazima mwenyewe UTACHEZA.
Unajua kuna zile NYIMBO ambazo ikipigwa, hata kama kujisikii kucheza lazima utaamka tu.
 
. Please dont kwa sababu hii ni topic nyingine kabisa nisijejikuta nasema yote then kama huwa anapitiaga humu akanisue bure kwa kuweka siri zake uwani but amini tu kuwa yeye kama yeye anaenjoy ikifika maeneo hayo. Na hicho ndicho kitu kinachomfanya ajichekeshechekeshe kama tumenuniana. Ukishamwona tu anakuja na viwine, vizawadi kama mlikuwa mmegombana au alikuwa amekununia basi ujue usiku kuna shughuli ya kufanya.

I'm ending here......:)
Duh eba eh.
MJ1 express yourself,pleeeeease.
It seems shida haipo kwenye salary slip tu.
 
MwanaJamiiOne,

Looking at the time - within two years mme-date na ku-move in together? Kwa hilo pekee yake uhusiano wenu hauwezi kusimama na kujaribiwa na misukosuko - jambo dogo tu tayari mtadondoka unless you have very strong spritual backgrounds.

Personally nili-date mchumba wangu (now my dear wife) for seven years. And believe we have gone through all the circles (ref Bon) and still strong.

Ushauri wangu, if there are any means (financial), you can move out (or separate) for a while (three months - It will be July 2009 then), and trust me if this relationship is there to be, mtarudiana and you will move on, otherwise the going seems to be very tough at the moment.

Separation for a while - itamuonyesha kila mmoja wenu ni kiasi gani anamwitaji mwenzie in short term at least.
 
Ni Mtu ambaye tunatarajia kufunga ndoa rasmi July 2009. !!

Kaa na mwenzako uongee madukuduku yote uliyonayo dhidi ya tabia zake zinazokutia wasiwasi maana hizo unazoziona kwa maoni yangu si dalili nzuri kuzionyesha miezi michache kabla ya ndoa yenu. Saa nyingine hakuna lolote lakini ni vizuri ukasikia toka mdomoni mwake.
 
...Jinsi ninavyochukia mwanamke anaye fake orgasm! yaani ni sawa na kununua bidhaa ya china tu, the 'whole package is of poor quality,' aarrrgghhhh :( ,...how come some men cannot tell the difference?

Mbu hata sisi wanawake tunachukia wanaume waongo...Kuna wanaume waongo humu duniani walajua kulaghai wanawake kwa maneno mazuri mazuri tuu then after a while wakishajua mwanamke amemuangukia then thy tend to change.

Sometimes mwanaume anapata mwanamke mzuri lakini anamtumia for his own benefit....which is not fair..
 
...Kelly01, karibu tena :)

...back to the issue;...pamoja na uongo huo wa nje, lakini haifikii uongo wa ku fake Orgasm, duh! ushaona dume zima linajikunja na kujikunjua, tena na macho limefumba kumbe uongo mtupu?

Ndio maana mie huacha taa inawaka...unadhani 'unaimbiwa' kumbe mwenzio anakung'ong'a tu hapo kwenye 6 " 6...
 
Thanks!.....Mbu!

Actual may be wana fake for a reason..inaweza ikawa haumfikishi so badala ya kukwambia inabidi tuu a fake orgasim yake na anaogopa kukueleza labda uta feel bad….na faking sometime sinatokana na wewe mwenyewe uvyomfanya…may be mboo yako haimsugui vizuri na hapatwi na raha so anaona ni bora a fake…
We women also hate wale wanaume ambao hata foreplay hawafanyi ila they go straight kwenye tendo la ndoa na unajua wazi kuwa wanawake wanachukua mida sana ku-come…kunamianamume ambayo inafanya na ikishatoa sperm zao basi hiyo inageuka hujali mwenzio umemuacha hata hajafika climax…nayo pia siyo fair you both sex need to meet half way..communication is very impostant./
Ila mwanaume anayedanganya mwanamke siyo fair unajua sisi wanawake tupo soemotional so once unaaanza kumpa all the juicy stuff then baadaye unaanza ku act weird siyo vizuri inabidi pia ufikirie feelings za mwenzio…
 
...duuuh, nimekuelewa Kelly01. Ndio 'kutumiana' kwenyewe huko.
 
Shoga huyo hata kama ni bf au mume HAFAI!

1. Akibofya ya kwake na wewe chukua yako ubofyebofye [/QOUTE]

Mh ukianza tu kubofya yako utasikia nani huyo na hata ukimwambia mwenzangu mpaka aichukue atizame. Na ukimwambia mbona wewe sikuulizi na unabofya hapo saa hiyo hiyo atakwambia nachat na flani (mtu unayemfahamu either ndugu yake au mdogo wako wewe)

......... anavyokuchunguza sidhani kama utaweza kumficha chochote but sometimes ni kiherehere changu nikipata dili huwa najikuta nimemwambia kuna kazi natarajia kupaa ina kiasi flani basi hapo huwa naharibu kila kitu. Ingawa ataanza nani kakuunganishia na kama ni mwanaume basi unalo anaweza hata kukukatalia. Kuna kazi moja nilipataga ya kama 2M. Nikamwambia acha aje juu sasa kwa kuwa nilikuwa nahitaji pesa hiyo nikaforce kuifanya na kumwoba anipeleke nikaifanye kazi hioyo alinuna ila alinipeleka ajabu baada ya kumaliza akawa anaulizia malipo yaani hadi tukagombana. Hii ni mojawapo tu ya mifano.

. Sasa ndugu yangu si anajua kuwa salary slip zinatokaga mwisho wa mwezi na mshahara? ikifika tu anakuuliza ole wako ukatae atanuna huyo na kukazania kusema kuwa una sehemu unapeleka pesa zako au una mradi wa siri ambao yeye kama 'mumeo' hajui.

. Mh aksante kwa tahadhari. Nami ninahisi hicho hicho ananitumia inauma sana kwa nini upretend ? please tell me more what did you do and how did you do that to unhook yourself?

Go look yourself in the mirror alfu sema haya maneno "baby girl you are too good to be used and STOP it!", then ondoka anza kufata mambo kwenye vipengele nilivyokupa...akija juu wee kuwa chini kama mjinga na uwe kimya usimjibu kitu chochote...angalia tabia zake zinakwendaje...nipe information...for next step. Shosti utakujalia na hakutakuwa wakukusaidia.
 
wanaJF maadili hakuna.....sijaona aliemuuliza why wafanye uzinifu na hawajaoana......
 
My dias nilikuwa siku nyingi nahisi something is not right but nikawa najipoza kuwa pengine ni mimi tu ninayemchukulia ki hivyo but kutokana na mawazo yenu nadhani kuwa nilikuwa right he is not that into me. Nahitaji kuchukua hatua ingawa sijajua ni kiaje. I had a chance ya kwenda nje for further study akawa ananikatisha tamaa kuwa at least tuishi kidogo after marriage and I was stupid enough to let it go. I think that is one of the way out of this miserable life

Kumbe tena ulikuwa na njia nzuri ya kuponyokea...wewe sasa endelea kulalia masikio...maana huyo anataka muoane then akupige talaka ili mugawane mali. La sivyo basi anaweza kutoa hata roho yake ili arithi mali yote. Pole shosti, utajuuuuuuutaaaa kumfahamu!
 
Tena na hisia kama mtu mwenyewe ni Yo yo alafu pia kabila hujanipa...inalenga kama ni bk vile!
Hamuwezi kukaa hapa kumshauri mtu uzinifu.....sio taratibu ya jamii yetu ya kitanzania.......na ni kinyume na dini zetu
Huwezi kukaa kinyumba na mwanaume na hamjaoana na nyie mnaendelea kumpa ushauri eti vile mara vile......

lazima tusahihishane sisi wenyewe kiroho......
 
Taib sheikh..taib
 
wanaJF maadili hakuna.....sijaona aliemuuliza why wafanye uzinifu na hawajaoana......

Yo Yo nashukuru kwa mawazo yako but kama umenisoma vizuri nimeuliza dalili za kumjua mtu kama ni mwenza mwema kutokana na vitu ambavyo anakufanyia na wewe unaona kama sivyo sawa sidhani kama kutoa ushauri katika hlo ni kusupport uzinifu. Besides nimesema wazi kuwa ninatarajia kufunga naye ndoa mwezi july ila ningependa ushauri juu ya kitu fulani is that uzinifu?. Laiti kama ningesema ninamtu ambaye hatujafunga naye ndoa nishaurini nifanyeje ili nimridhishe kitandani hapo ukishauri unashauri uzinifu. Please read the whole thread kama unao muda huo.

Je ni wangapi kati yetu ambao wameoana na wenzi wao pasipo kukutana nao kwanza ukiachilia wale wa enzi za utakatifu?. Please
 
...:) la hasha nyamayao,...

zamani wazazi wetu harusi ilikuwa kusherehekea wawili walioamua kuishi pamoja, kwa shida na raha, kwa uzima na ugonjwa, kwa dhiki na faraja, mpaka kifo kitapowatenganisha...

Ndoa za kisasa tunasherehekea wawili wanaobahatisha kuishi pamoja kwa raha, uzima na faraja mpaka shida, ugonjwa au dhiki zitapowatenganisha. Nilidhani harusi ya dada'ngu itakuwa kama ilivyokuwa ya wazazi wetu! :(

imebidi tu nicheke Mbu! ....lol ..haya bwana ngoja tumuhamasishe ndugu yetu hapa na kumuombea baraka tele ndoa yake ije kuwa mfano wa kuigwa.
 
Hamuwezi kukaa hapa kumshauri mtu uzinifu.....sio taratibu ya jamii yetu ya kitanzania.......na ni kinyume na dini zetu
Huwezi kukaa kinyumba na mwanaume na hamjaoana na nyie mnaendelea kumpa ushauri eti vile mara vile......

lazima tusahihishane sisi wenyewe kiroho......

Mkuu uliletewa we ukaoa tu nini. Maana kama uzinifu wote tumepita huko. Yaani wanasema hakuna kununua mbuzi kwenye gunia. Lazima uonje ndo ukubali kuwa ndo kitu unataka,,,, ama sio mkuu?
 
Back
Top Bottom