WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Unataka brand new na siyo used...kwanini?
Utamjua tu kama na wewe ni new spaner!
Utamjua tu kama na wewe ni new spaner!
Wasiliana na Fidel80 anasoftware ya kutumia na kukwambia uhalisia wake!
utamuona jinsi alivyokakamaa, akitembea kiuno kigumuuuuuu, ...viungo vya mwili havijalainika, ...utadhani kachomelewa -'welding!'
Womenofsubstanc, Mwanajamii na Nyama yaoJaribuni kusaidi hapa mwenzetu anahitaji ka-elimu kidogo.
Doooh,watu amabo hawajakaa vijijini mnahangaika na mengi.
Njia ni rahisi,angalia miguu. Ya mwenye bikira huwa iko straight mbele. Kama ameishafumuliwa lazima ipinde,hata avue viatu.
Njia nyingine angalia mikono kama unaweza kuifikia lazima pawepo mchirizi hata kama anatumia dawa gani. Na ya mwisho kama ukipata chance ya kumshika mkono ambaye ni bikira-lazima anakupa mkono ukiwa umepinda chini.

2.MAKALIO yake yatakuwa MAGUMU kwa macho hayatingishiki hata kama ni makubwa,hata kwa kugusa(provided is allowed)
3.CHUCHU zake, saa tano na nusu
4.Kikubwa zaidi ni KISIGINO CHA MGUUNI,akitembea mguu wote haugusi chini,but you need to be very observant,hivi hivi huwezi kuona tofauti.Hivyo hata kama KATENGENEZA KWA MAIMATHA or watu kama hao,hiyo itakupa majibu tu.
Dah!
Kumbe kuna waganga wa kienyeji humu?!
Hii ni mpya!
WATU TUNAFANI ZETU ATI.Dah!
Kumbe kuna waganga wa kienyeji humu?!
Hii ni mpya!
.... kwa upande wa ndoa wanasema ni heshima sasa kuja kuharibikia ukubwani inawezekana ni malezi ya mume kwa mkewe au mnasemaje wadau ?
Kumbuka Mwiba kuna wale wasiozaliwa nazo, sasa nao sijui utawatambuaje?
Je na mwanaume untouched tutamjuaje sie wadada?
Unataka brand new na siyo used...kwanini?
Utamjua tu kama na wewe ni new spaner!
wengi wanamix sana hapo wanafikiria ubikira ni kile kitendo cha kuwa na ule utando wa ngozi ambapo kutolewa lazima uachie....ukweli ni kama ulivyosema hapo.......utando ule unaweza kutolewa kwa kazi ngumu kama kuteka maji,kutwanga,kunyanyua vitu vizito na hata kuendesha baiskeli....Pretty,
Haiwezekani mtu akafanya tendo la ndoa kabla hajazaliwa.Hivyo hamna anayezaliwa bila 'hiyo'.Ubikira ni hali ya kutokushiriki tendo la ndoa tangu kuzaliwa.