Utajuaje kama ni mwari - Untouched

Mwiba

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
7,607
1,744
Natumai wapo wajuzi ambao wanaelimu ya kuweza kutueleza kuwa ukiona hivi au vile basi uelewe kuwa bado mwanamama ni mwari na hajaguswa kabisa na anaendeleza heshima yake, na kuna wengine ukiwaona hivi na vile basi ujue wameshakuwa deflowered so ni kitu gani mnaweza kunielewesha ambacho ni cha uhakika kabisa katika kutegua hisia hizo ,ifahamike kuwa nazungumzia ukimuona kwa macho tu, nahitaji elimu ya kutambua tu bila ya kufika na kuikagua karakana nzima. Natafuta elimu. Japo wengine wananiona mjinga sijui kitu na iwe hivyo ila hapa JF najua wapo watu na taaluma zao mbali mbali na wengine ni uzoefu tu ,wanaweza kunielewesha au kutuelewesha.
 
Pole kaka, siku hizi kwa kweli ni ngumu sana kugundua hilo maana tecknologia imepanda sana...zinauzwa hapo kwa mai matha kama mafungu nyanya. Wee tafuta kuberi tuu lililokubuhu na kukomaa na hayo mambo maisha yaende. Utaambuliwa kutapeliwa! Omba mola wako akupe mtakae endana tabia na maelewano tuu.
 
Kwa mijini inawezekana ikawa tafu lakini mashamba bado watu na heshima zao,kitu kimoja hukunielewa kuwa inasemekana huwa kuna mabadiliko ya kimaumbile au hapa hapana ukweli ? Gari kongwe hata ukilibadilisha engine bado litaonekana ni kongwe kwa jinsi lilivyochoka. Na waimbaji wamenena ..Jino la pembe si dawa ya pengo ,kwa maana lazima yatakuwepo mambu ya kukujulisha hata kabla ya kupekua ,hayo ndio nipo katika kuyasaka ili kuzidisha elimu.
 
Natumai wapo wajuzi ambao wanaelimu ya kuweza kutueleza kuwa ukiona hivi au vile basi uelewe kuwa bado mwanamama ni mwari na hajaguswa kabisa na anaendeleza heshima yake, na kuna wengine ukiwaona hivi na vile basi ujue wameshakuwa deflowered so ni kitu gani mnaweza kunielewesha ambacho ni cha uhakika kabisa katika kutegua hisia hizo ,ifahamike kuwa nazungumzia ukimuona kwa macho tu, nahitaji elimu ya kutambua tu bila ya kufika na kuikagua karakana nzima. Natafuta elimu. Japo wengine wananiona mjinga sijui kitu na iwe hivyo ila hapa JF najua wapo watu na taaluma zao mbali mbali na wengine ni uzoefu tu ,wanaweza kunielewesha au kutuelewesha.

We bwana, usije changanyikiwa bure! Chukua mwanamke kaa naye. Habari za mwali au bikira achana nazo kabisa. Kuna jamaa star hapo Bongo alikuwa natembea na star mwenzake, na kutangazia umma kuwa yeye ndiyo wa kwanza kuvua kufuri, kabla hajashangazwa. Inawezekana technology ya kurudisha U-mwali ilitumika. I mean ukitaka karakana mpya na wakijua hivyo, utaipata tu
 
Wasiliana na Fidel80 anasoftware ya kutumia na kukwambia uhalisia wake!
 
We bwana, usije changanyikiwa bure! Chukua mwanamke kaa naye. Habari za mwali au bikira achana nazo kabisa. Kuna jamaa star hapo Bongo alikuwa natembea na star mwenzake, na kutangazia umma kuwa yeye ndiyo wa kwanza kuvua kufuri, kabla hajashangazwa. Inawezekana technology ya kurudisha U-mwali ilitumika. I mean ukitaka karakana mpya na wakijua hivyo, utaipata tu
Jamani ninaandikaga kiswahili nasema natafuta elimu sasa mmekazania na kulazimisha kabisa kuwa natafuta sasa nitafute wangapi ? Naitaji elimu ili kujua kama mdada unaringa basi unaweza kuusitukia na mapema kuwa hamna kitu .elimu haidanganyi hata kama kuna ukarabati ,hiyo elimu ndio niitafutayo.
 
Themeji unamaanisha nini ukisema software! pole habari za leo na vipi hangover.

Niko bomba na leo nimeendesha kikao....thnx for the tips, maji yalisaidia. Fidel80 kuna baadhi ya post zake alisema kuna computer program inakuonyesha kama jamaa amechit ama bint bado untouched...
 
Girl you are to me, all that a woman should be,
And I dedicate my life to you always
The love like yours is grand,
It must have been sent from up above
And I know you'll stay this way, for always
 
Yani wewe uwe tayari touched lakini unataka mwenzako asiwe untouched? selfishness?
 
Natumai wapo wajuzi ambao wanaelimu ya kuweza kutueleza kuwa ukiona hivi au vile basi uelewe kuwa bado mwanamama ni mwari na hajaguswa kabisa na anaendeleza heshima yake, na kuna wengine ukiwaona hivi na vile basi ujue wameshakuwa deflowered so ni kitu gani mnaweza kunielewesha ambacho ni cha uhakika kabisa katika kutegua hisia hizo ,ifahamike kuwa nazungumzia ukimuona kwa macho tu, nahitaji elimu ya kutambua tu bila ya kufika na kuikagua karakana nzima. Natafuta elimu. Japo wengine wananiona mjinga sijui kitu na iwe hivyo ila hapa JF najua wapo watu na taaluma zao mbali mbali na wengine ni uzoefu tu ,wanaweza kunielewesha au kutuelewesha.

utamuona jinsi alivyokakamaa, akitembea kiuno kigumuuuuuu, ...viungo vya mwili havijalainika, ...utadhani kachomelewa -'welding!'
 
Ustaadhi kumbe wewe mtaalamu wa mambo haya eh? Ila huyo mwari untouched akishazibuka na ubongo ukaingia nyungunyungu lazima akukimbie.
 
...ha ha ha,....hakuna cha utaalamu, ni 'fahari ya macho tu'. Mwanamwari akizibuka hamna jinsi tena hapo, si unajua 'kunguru hafugiki?!' Almuradi weye ndiwe uliyeifungua acha 'wataojaaliwa' nawapite :)
 
mimi nadhani mwiba ana-kabinti kake hapo nyumbani na hawezi kukavua nguo na pia inaonekana amwamini mama watoto wake kama anamkagua au la, kwa hiyo anataka awe anamonitor huyo mtoto kwa kuangalia sign za mwili kama ameshamegwa au la
pole sana mwiba naona uko makini sana kwenye chako, keep up utapata tu wataalamu
 
Kumbuka Mwiba kuna wale wasiozaliwa nazo, sasa nao sijui utawatambuaje?
Je na mwanaume untouched tutamjuaje sie wadada?
 
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa, Pretty hakuna haja yakumjua mwanaume untoutched for it makes no difference. Tena mwanaume untouched anaweza asikufae kabisa ukamkimbia na kumwona mshamba.
 
ni ngumu sana kujua kama ni mpya bila kugusa, binafsi huwa na test kidole kidogo kwanza nasikilizia kwa muda wakati huo na calculate kichwani kidole kitazama kiasi gani au kama kitapata kizuizi, baada ya hapo test namba 2 inakuwa ni ulimi, sencor ya ulimi huwa inaleta jibu haraka kuliko kidole! ila ubaya wa test hizi lazima uwe mwerevu kwanza wa kujua tofauti kati ya k mpya na used!
 
ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa, Pretty hakuna haja yakumjua mwanaume untoutched for it makes no difference. Tena mwanaume untouched anaweza asikufae kabisa ukamkimbia na kumwona mshamba.
kwa hiyo mwanaume untouchedi ushamba ndio dalili yake?
 
Pole kaka, siku hizi kwa kweli ni ngumu sana kugundua hilo maana tecknologia imepanda sana...zinauzwa hapo kwa mai matha kama mafungu nyanya. Wee tafuta kuberi tuu lililokubuhu na kukomaa na hayo mambo maisha yaende. Utaambuliwa kutapeliwa! Omba mola wako akupe mtakae endana tabia na maelewano tuu.

Penny usimkatishe tamaa, wapo ambao mpaka leo wanazo za kwao original na ni mabinti wakubwa wapo chuo hamjui mwanaume lakini ni wachache na ngumu kuwapata,
mtu kuanzia la kwanza mpak form six kasoma kijijini kwao wazazi strict na anamjua Mungu mjini kapajua baaada ya chuo na vitisho vingi alivyopewa wakati anakuja anajitunza wapo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom