Utajiskiaje kama ni wewe?

Mi nawapendaga sana wapenzi wa design hiyo yaani saafi ajabu. Ila sijabahatika kuwapata. Sasa nyinyi Mnataka kubanwaaaaa. Namna hiyo fresh hapigi simu wiki hanitembelei na mimi nakaribisha wengine geto. Napenda kuwa huru na kujisikia single ingawa nina mpenzi.
 
Pole sana, najua unavyo jisikia cse namm ilisha nikuta hivyo hivyo.Kutumia expirience yangu nakushauri nawewe upige kimya uone kama atakutafuta if nt potezea jumla.

Sijakushauri ukazungumze nae tena mana umesema mmezungumza ndo akasema "kuna siku mtakua pamoja".Uko kua pamoja mtafikiaje bila mawasiliano?Usikute we kakueka kama spare tu .

Mapenzi ya siku hizi ni kumpeleka mwenzako kama anavyo kupeleka ukijadai kupenda sana utaushia kuumizwa kila siku
 
asante sana hope, ushauri wako ni mzuri,nafkiri na miminiuchune pia,coz naona ni kuumizanz sasa, badili tabia nimekupata
 
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa
Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza kupiga simu au sms kwa watu wengine lakini mzito kukuandikia wewe,wakati mwingine ukimuuliza unaendeleaje,no reply,anaweza kuwatembelea watu mbalimbali,lakini kukutembelea wewe ni kwa msimu,ukimuuliza anakwambia yuko bize,time will come where we will be together forever.jiweke wewe ktk position hiyo,mtazamo wako ungekuwaje kuhusu uhusiano huu

Pole kaka huyo bado ana mtu wake hajamfanyia maamuzi ya kuachana naye, na kwako bado hajapata uhakika wa ndoto zake kutimia akiwa na wewe!
 
huyo hajakupenda wewe kiivyo.maybe kuna kitu anapata kutoka kwako.raha ya mapenzi ni mawasiliano.kama anawasiliana na wengine isipokuwa wewe,majibu yapo wazi kuwa huyo hana mapenzi na wewe kiivyo.jaribu wewe kukaa kimya,na hata siku atakayokusalimia,mburuzie.uone itakuwaje.najua ni ngumu ila jikaze
 
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa
Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza kupiga simu au sms kwa watu wengine lakini mzito kukuandikia wewe,wakati mwingine ukimuuliza unaendeleaje,no reply,anaweza kuwatembelea watu mbalimbali,lakini kukutembelea wewe ni kwa msimu,ukimuuliza anakwambia yuko bize,time will come where we will be together forever.jiweke wewe ktk position hiyo,mtazamo wako ungekuwaje kuhusu uhusiano huu

mtu unayempenda utakuta unataka kuongea nae mara kwa mara..huyo nahisi anakutumia..kuna kitu anategemea kutoka kwako ndo mana yuko nawe...
 
Uko ktk relationship na mtu(a lady),anasema anakupenda sana,pia anakuchukulia kama mume wake mtarajiwa
Lakini;anaweza kukaa wiki nzima bila kukujulia hali licha ya wewe kumjulia,anaweza kupiga simu au sms kwa watu wengine lakini mzito kukuandikia wewe,wakati mwingine ukimuuliza unaendeleaje,no reply,anaweza kuwatembelea watu mbalimbali,lakini kukutembelea wewe ni kwa msimu,ukimuuliza anakwambia yuko bize,time will come where we will be together forever.jiweke wewe ktk position hiyo,mtazamo wako ungekuwaje kuhusu uhusiano huu

...Lover beware!!!...mtu mwenye mapenzi ya kweli kwako akikosa hata kwa siku moja tena wengine masaa tu atakutafuta tu ili akujulie hali na mambo mengine sasa hili la kukaa wiki nzima mhhhhh! limekaa kimchoro mchoro.

Last edited by a moderator:
:eek2:kaka hakuna mapenzi hapo. Iwapo ulishawahi lamba sepa!!! Kama bado kaza msuli ukishalamba na ukiweza lamba na JICHO sepa haraka kwa mwendokasi mtoro asike adabu. Ila kaka kumbuka mambo kwa sokisi.
 
Back
Top Bottom