Utajisikiaje??

Mbavu za Mbwa

JF-Expert Member
Jan 2, 2011
303
154
Ni mwanachama wa jamvi pendwa la JF. Kuna mada ambayo ungependa uiweke jukwaani ili wana fikra pevu waweze kuichambua na kuchangia. Lakini kwa bahati mbaya, watu wengi wanaipitia na hawachangii chochote. Kila ukiikagua thread yako unakutana na neno REPLIES 0, VIEWERS 340.

UTAJISIKIAJE???
 
ina maana hujaiwakilisha vizuri
unaweza rudia kwa kuiandika vizuri na kuipa heading nyingine
 
Back
Top Bottom