Utajisikiaje upoambiwa?

Hivi mtu unaweza kusubiri kusimuliwa kama jua litachomoza au litazama? tangu mtoto wa kike anaanza kukimbia kimbia anaanza kuambiwa maneno ya kutongozwa (hey mchumba..!) na anapoanza kuota manyonyo ndio kabisa, na akianza kupata balehe ndiyo inakuwa ugomvi.. haijalishi msichana anakuambia au hakuambii ukweli ni kuwa atatongozwa akienda sokoni, akienda kanisani, akikaa darasani, akipita ofisini n.k

Mtoto wa kiume hivyo hivyo naye atatongoza hata migomba alimradi imekaa kimapenzi mapenzi..

so that given; mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu kukataa au kukubali. Mwanamke utatongozwa kila wakati na kila mahali hata ujifanye mkali kama simba; lakini unayo nguvu yakukubali au kukataa. Ukikubali au ukikataa yote yanakuhusu wewe zaidi lakini yana gharama kubwa kwa mwenzio; na mwanamme vile vile.. unaweza ukaamua kumtongoza fulani au kutomtongoza au kukubali kutongozwa na mtu au kutokutongozwa lakini uamuzi wowote una gharama kwako na kwa mwenzio.

Mwisho wa siku (sijui kama ni siku ile ile!) tafuta na upate mtu atakayekupenda na ambaye kwake wanaume/wanawake wengine wote hawafui dafu. Kama unaye ambaye anazidiwa na mtu mwingine basi utajiunga katika ile clabu ya "wale"..

Hapo nadhani ni pagumu kidogo. Unaweza kumpata halafu kadri muda unavyokwenda ukagundua ulifanya wrong calculations. Pia sina hakika kama unaweza kupata vigezo vyako vyote. Naamini unafikisha kama 70% na mengine unafukia mashimo, halafu unafumba macho na kusonga mbele. Na ukikutana na yule aliyempiga bao mwezi wako, unatukana kimya kimya, ..mshenzi huyu, hana lolote huyu, anajidai ni mzuri lakini hanifai, kwani alikuwa wapi, si lolote si chochoe n.k na kumbilia home, huku roho ikiuma kidogo. Unakubaliana na hali maisha ili kupunguza matatizo. Siku zote huwezi kupata kile ulichokitaka kwa 100%.
 
sijui kama napenda kuambiwa au sipendi but ol I knw ni kwamba kumwambia mpz wako kuwa kuna jamaakakutongoza ni kwamba huyo jamaa hukumpenda na wala huna interest nae but ungekuwa unampenda n una interest wala husingesema.
Afadhali umesema ndio maana mi sitaki kuambiwa lolote. Ntaangalia tu jinsi mwelekeo wa mambo ulivyo na siyo story ambazo ntaambiwa tu kama mhusika ataonekana halipi.
Ubinadamu uko palepale. Unaweza ukaona kitu mpaka udenda ukakutoka. Utaenda kumwambia mpenzi kweli?
 
mimi naomba nisiambiwe kabisa.kama mtu ni mwaminifu NI MWAMINIFU TU!...ninachoamini mimi ni kwamba mke wangu hawezi kumudu kuniambia KILA ANAPOTONGOZWA!....

hata hivyo nafurahi sana mke wangu ANAPOTONGOZWA TONGOZWA!:D:D:D
 
Hivi mtu unaweza kusubiri kusimuliwa kama jua litachomoza au litazama? tangu mtoto wa kike anaanza kukimbia kimbia anaanza kuambiwa maneno ya kutongozwa (hey mchumba..!) na anapoanza kuota manyonyo ndio kabisa, na akianza kupata balehe ndiyo inakuwa ugomvi.. haijalishi msichana anakuambia au hakuambii ukweli ni kuwa atatongozwa akienda sokoni, akienda kanisani, akikaa darasani, akipita ofisini n.k

Mtoto wa kiume hivyo hivyo naye atatongoza hata migomba alimradi imekaa kimapenzi mapenzi..

so that given; mwisho wa siku ni uamuzi wa mtu kukataa au kukubali. Mwanamke utatongozwa kila wakati na kila mahali hata ujifanye mkali kama simba; lakini unayo nguvu yakukubali au kukataa. Ukikubali au ukikataa yote yanakuhusu wewe zaidi lakini yana gharama kubwa kwa mwenzio; na mwanamme vile vile.. unaweza ukaamua kumtongoza fulani au kutomtongoza au kukubali kutongozwa na mtu au kutokutongozwa lakini uamuzi wowote una gharama kwako na kwa mwenzio.

Mwisho wa siku (sijui kama ni siku ile ile!) tafuta na upate mtu atakayekupenda na ambaye kwake wanaume/wanawake wengine wote hawafui dafu. Kama unaye ambaye anazidiwa na mtu mwingine basi utajiunga katika ile clabu ya "wale"..

Hapo nadhani ni pagumu kidogo. Unaweza kumpata halafu kadri muda unavyokwenda ukagundua ulifanya wrong calculations. Pia sina hakika kama unaweza kupata vigezo vyako vyote. Naamini unafikisha kama 70% na mengine unafukia mashimo, halafu unafumba macho na kusonga mbele. Na ukikutana na yule aliyempiga bao mwezi wako, unatukana kimya kimya, ..mshenzi huyu, hana lolote huyu, anajidai ni mzuri lakini hanifai, kwani alikuwa wapi, si lolote si chochoe n.k na kumbilia home, huku roho ikiuma kidogo. Unakubaliana na hali maisha ili kupunguza matatizo. Siku zote huwezi kupata kile ulichokitaka kwa 100%.
 
mimi naomba nisiambiwe kabisa.kama mtu ni mwaminifu NI MWAMINIFU TU!...ninachoamini mimi ni kwamba mke wangu hawezi kumudu kuniambia KILA ANAPOTONGOZWA!....

hata hivyo nafurahi sana mke wangu ANAPOTONGOZWA TONGOZWA!:D:D:D

:)Kwa nini unafurahi Geoff ?
 
ooww really? why is that ?
 
Utajuaje mzee? Au tayari umemweka under surveillance ya makachero?
 
NI KIPIMO HALISI KABISA KWA MWANAUME NA NDOA YAKE KWAMBA anamudu kumpendezesha mkewe!kwamba ana-maintain her beauty
hata bidhaa dukanii for instance eeh, kama haiuliziwi unahisi mmh imeshachokaa hii either nifanye sale au niipotezee kabisa.......

ila mtu aki-kritisaize inakuuma kimoyomoyo but when this is done impliedly (item ignored) anagalau maumivu si kivile kuliko uambiwe live
 
:)Kwa nini unafurahi Geoff ?

ooww really? why is that ?

Hiyo nitamsaidia G,

Inaonesha kuwa una kifaa kinacholipa. Kama watu wanampita kama gunia la mkaa basi ujue kazi unayo!! Lazima hata ukitembea naye watu wakate kate shingo ili ujue chaguo lako lilikuwa bomba. Vinginevyo unaweza kuwa na wasi wasi kwamba labda mzigo wako ni kibudu. Lakini ikizidi inaanza kukurusha roho kwamba anaweza kutokea mwenye dau kubwa akakupiga bao. Hii kitu basi tu, tuishie hapo. Too much kumezewa mate ni hatari na not at all ni hatari pia. Inachanganya sana, ila tunatakiwa kuishi kwa imani kuwa tumepata chaguo letu toka kwa Mungu ili tuishi miaka mingi badala ya kujiua kwa pressure, stroke etc!
 
uzoefu umethibitisha kwamba unyumba unachosha sana na unamchakaza mwanamke HASA AKIWA KWENYE NDOA......!sasa unapoona mkeo anavutia kiasi cha kutongozwa,dah!nafurahi sana,na kwakweli siku hiyo ninaisherehekea kwa VALUU MBILI:D:D
 
G,

Pamoja na kwamba hukunijibu, utamwonaje au utajuaje mkeo anatongozwa?
 
I dont mind if he tells me... as long as he is ready to answer all the questions and we dont end up fighting... sometimes i take it lightly.. like may be we should invite her for a threesome or something:) ...

But I wouldnt dare tell him if someone is hitting on me... because he is that kind of person who will not take that...
 
kuna wakati mwenzi wako anakusimulia kuwa mtu fulani (ama unamfahamu au la) amemchokoza kwa kutaka wawe na mahusiano ya kimapenzi (amemtongoza).

Mi hapa nitajua tu kuwa hilo lijamaa hajalipenda angelipenda asingekuja kuniambia wataanza kujiexpress kimyaa kimyaa.
 
I dont mind if he tells me... as long as he is ready to answer all the questions and we dont end up fighting... sometimes i take it lightly.. like may be we should invite her for a threesome or something:) ...

But I wouldnt dare tell him if someone is hitting on me... because he is that kind of person who will not take that...

mweh una moyo!!!!
 
sasa unapoona mkeo anavutia kiasi cha kutongozwa,dah!nafurahi sana,na kwakweli siku hiyo ninaisherehekea kwa VALUU MBILI:D:D

Hahahaha dah unakuwa kama mzee Khalifa au sio hahahaha kula wale jamaa zangu wenye masholi wao wideloaded anadiliki kumtanguliza mbele njiani yeye yupo nyuma anaangalia watu wanao mmendea na kuzungusha shingo kama feni wanapo pishana hahahaha dah si n'chezo.
 
I dont mind if he tells me... as long as he is ready to answer all the questions and we dont end up fighting... sometimes i take it lightly.. like may be we should invite her for a threesome or something:) ...

But I wouldnt dare tell him if someone is hitting on me... because he is that kind of person who will not take that...

madame u can't be serious!
 
Back
Top Bottom