Utajiri wetu waafrika

Bajabiri

JF-Expert Member
Jan 1, 2011
9,730
1,201
Baadh ya Waafrika wanaamini kuwa utajiri kwao ni watoto,yaani mtu kuwa na watoto wengi kwake ni faraja hata kama kuwahudumia ni tatizo........Makala niloiskia leo idhaa ya kiswahili ya Sauti ya Ujerumani ni muendelezo wa kile kinachoaminika na waafrika wengi......Mzee mmoja raia wa Benin ambaye ni mkulima na mganga wa kienyeji yeye anasema ana wake watatu TU,mke wa kwanza ana watoto 9,wa pili ana watoto 4 na wa tatu ana watoto 5,so jumla ama watoto 18,anasema kipato chake ni chini ya dola mbili na anaomba awezeshwe.........Karibu 1/4 ya wanaume wa Benin wameoa mke zaidi ya mmoja.......kweli mwanamke ndiye kila kitu kwa ustawi wa afrika
 
Back
Top Bottom