Macos
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 1,979
- 1,416
Bakhresa- 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine na siyo Restaurant
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Fungua maduka Kariakoo/ Real Estate
Kazi ya tatu: Weka Viwanda vya maji/juice/ngano/unga wa sembe etc with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.
Now is the First Tanzanian billionea.
Education: standard Four
Abood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.
Hood: 1st Kazi ya kwanza: Meno ya Tembo/Uwindaji wa Tembo na wanyama wengine
Kazi ya pili baada ya kupata pesa ya meno ya tembo: Nunua mabas na kuanza transport company
Kazi ya tatu: Ubunge with support of corrupt money
from big shot in the Government. Viongozi wengi wa ngazi za juu wamewekeza pesa zao
hapo wanazoiba serikalini.
Kwa nini wasomi wengi wa Tanzania hawafanyi biashara!!!
umekuja leo darisalama ?
anaglia mjini hapa kuna HIV....