Utajiri wa Freeman Mbowe

maskini utawajua tu, ichukieni serikali yenu ya magamba inayotajirisha wageni na kuwaacha nyie maskini mkihangaika.

umaskini wenu ni wa kizazi hadi kizazi. - Njiwa mtamani vya wenzio wewe - ha ha ha. utaolewa uwe mke wa pili chunga.

Nawewe katafute lakwako uliite Danguro,acha ushamba wa kimaendeleo.

Lina leseni ya biashara na kibali kuwepo pale katikati ya jiji? Kam ndiyo basi achana na kuleta chokochoko. Kama hujaridhika na uwepo wake nenda kashitaki TRA au wizara ya sheria na mambo ya katiba. Na kama unaona kichefuchefu, nani kakutuma uende kwenye danguro hilo kama wewe si mpenda vichefuchefu?

wewe kweli njiwa tena ni njiwa tetea!

hahaha... nimewashika pabaya ehh! hili danguro limeharibu sana watoto wetu mfano mzuri product ya bills ni huyu mtoto Elizabeth Micheal "lulu" week in week out alikuwa pale
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo

Mbona mtoto wa baba yako amehodhi biashara ya mafuta na usafirishaji nchi nzima hujahoji??? Toka hapa na unafiki wako mjinga wewe hakuna muda wa kujadili watu wakati nchi mnaigawana kama mali yenu lione kwanza kichwa kama twende mabwepande
 
Huna hoja ya msingi baba yake alikuwa na mashamba mengi ya ngano na shayiri tangu kabla ya uhuru, ukoo wao ni wa kitajiri so ameendeleza mali. una dukuduku jingine?

Mleta mada ni mwendawazimu hana cha msingi anatupotezea muda bure wakati nchi wanaigawana na mtoto wa baba yake amehodhi uchumi wa nchi nzima hatusemi leo kamwona mwaskini mbowe tu ajabu sana!!!!!
 
hahaha... nimewashika pabaya ehh! hili danguro limeharibu sana watoto wetu mfano mzuri product ya bills ni huyu mtoto Elizabeth Micheal "lulu" week in week out alikuwa pale

Njiwa wewe kweli una matope kichwani mwako sumu usipoinywa itakuua? Kama mwanao ulimlea vizuri hawezi kwenda danguroni lakini ni uzembe wako wewe katika malezi ndiyo sababu za mwanao kwenda danguroni pengine ulikuwa unakwenda naye na akaona ni utaratibu wenu wa maisha usimlaumu Mbowe laumu uzembe wako katika malezi
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo

Na mwenyekiti wako umeshamwuliza vizuuur,halafu ukishamwuliza mwenyekiti wako vizuuur.uje tukuonyeshe vizuuur.
 
hahaha... nimewashika pabaya ehh! hili danguro limeharibu sana watoto wetu mfano mzuri product ya bills ni huyu mtoto Elizabeth Micheal "lulu" week in week out alikuwa pale

Mkeo mbona husemi ulivyompata huko?
 
njiwa,
Unachosema ni sawa bills kuna biashara haramu sana ukipita pale kwa nje tu utakuta mabinti wamejipanga wanasubiri wateja ukiingia ndani ndio balaa hujue ilo danguro lina miaka pale mie nimelijua toka mwaka 1980.
 
Last edited by a moderator:

you seems to be a very good customer in the so called brothel of Freeman, since 1980? Congrats buddy...... Utajibeba mkuu.......
 
Last edited by a moderator:
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
Kama angekua anafanya biashara haramu basi ccm wangeshammaliza kitambo sana.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
utajiri wa Bw.Freeman Aikaeli Mbowe unatokana na urithi alioupata kwa baba yake aliyekuwa anaitwa Aikaeli Alfayo Mbowe,babu yake (Alfayo) alikuwa ni kiongozi wa zamani hizo,Mzee Aikaeli,alikuwa ni mfanyabiashara maarufu sana Tanganyika,hasa biashara kati ya mipaka ya Tanzania na Kenya,enzi hizo upatikanaji wa bidhaa kama bia ulikuwa ni mgumu sana,na unavyojua kwa maeneo ya kilimanjaro ni kitu kinachouzika kuliko chochote kile.huo ndio ulikuwa mwanzo wa utajiri wake,ukijumlisha na urithi utoka kwa mzee alfayo alikuwa ni tajiri mkubwa tuuu.Freeman Mbowe,amepata utajiri kwa kuendeleza mali za familia yao vizuri na pia kuongezea nguvu zake binafsi,kama mnavyofahamu,club ya kwanza Tanzania ilianzishwa na Freeman Mbowe ambayo sasa ni Club billicanas.hata hoteli ya kwanza ya protea africa mashariki inamilikiwa na huyu bwana.............sidhani kama kuna ufisadi hapo.kabla hajaingia CDM alikuwa CCM na inafahamika kwamba mzee Aikaeli ni katika wafadhili wakubwa wa Mwalimu J.K.Nyerere katika harakati zake za kupigania uhuru na shughuli za kichama......nawasilisha
 
naona wengi mmekurupuka na kujibu na hamna hata mmoja mwenye jibu naona porojo tu,kamuulizen kwanza mcjifanye mnajua kila kitu

sio ndugu, mali za familia ya MBOWE hazijaanza leo , tangu kabla ya uhuru wa Tanganyika pesa ilikuwepo. Mwalimu Nyerere alipata support kubwa sana kutoka kwa MBOWE baba. Nakuonea huruma sana kuhoji fedha halali iliyosaidia ukombozi wa nchi hii na kufurahia wizi wa waziwazi unaofanywa na viongozi wetu uchwara. Mtu masikini wa kutupwa leo, akibahatika kuteuliwa kuwa mkurugenzi tu kosa anamiliki account ulaya na majumba ya kifahari na hata hataki tena kutibiwa Muhimbili anataka UINGEREZA tena kwa jasho la walalahoi wa tanzania. AIBU KUBWA KWENU.
 
Nawaomba wanacdm mkamuulize m.kiti wenu vizuuur juu ya upatikanaji wa mali anazomiliki!!msijifanye kusafisha tu nje kumbe ndani Kuwa uozo
Ama kweli mmeishiwa. Tangu lini kumiliki mali Tanzania ni jinai? Kwani ni mwajiriwa wa wizara yoyote ile tuseme ameiba kama mnavyofanya nyinyi magamba? Maji hufuata mkondo; hata baba yake alikuwa tajiri na aliutumia vema kwa kusaidia upaatikanaji wa Uhuru wa nchi yetu. Mmesahau kwamba baba yake alikuwa mfadhili wa harakati za Baba wa Taifa katika vuguvugu la kupigania Uhuru?
 
hahaha... nimewashika pabaya ehh! hili danguro limeharibu sana watoto wetu mfano mzuri product ya bills ni huyu mtoto Elizabeth Micheal "lulu" week in week out alikuwa pale

Hao watoto wenu wanatokaje nyumbani kwenu kulifuata hili 'danguro' unalozungumza? Kama mnawaruhusu kwenda huko na wameharibika, basi wa kulaumiwa na kulaaniwa wewe (ninyi) kwa matokeo hayo. Huyo "mtoto" Lulu alikuwa mwajiriwa pale kwenye hilo 'dnguro', mkuu ili tumshitaki Mbowe kwa kuhusika na child-labour?
 
Back
Top Bottom