LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 530
Kwa wengine umeonyesha una uhakika lakini kwa RIZ umesema inawezekana!!!! tuwekee vitu vya uhakika, wana JF ndo wanataka hivyo.
Huyu dogo anaishi kimjini mjini, msiwe na shaka naye!
Kwa wengine umeonyesha una uhakika lakini kwa RIZ umesema inawezekana!!!! tuwekee vitu vya uhakika, wana JF ndo wanataka hivyo.
Lowasa anasema alimuweka JK madarakani Hivyo yeye hakuwa na pesa!!mbona nasikia kikwete ni masikini sana? Hela yake yote anayoipata, anawowa
hii ni hatari hata ukimwi hauoni ndanimnataka wasijitafutie maisha ya baadaye? Au mnapenda nao waje wagombee urais kama wafanyavyo watoto wa marais wengine? Acheni wivu tena mm kwenye mchakato wa katiba nitapendekeza familia za Marais ni Ruhusa kufanya biashara maadam hawavunji katiba na sheria. binadamu wote ni sawa
Waacheni wafanye kazi za kuwapatia kipato. Mradi tu walipe kodi kama inavyopasa. Wakionekana wanaomba watu pesa za kula mtaanza kuwasema pia!