Utaipata kwa laki moja tu!

slym

Member
Sep 30, 2010
63
17
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
Fred: "Ndiyo".
Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"



Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".

John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
 
umekosea njia mkuu ,ipeleke mahali pake...hlf kule inapostahili kuwepo itakuwa ni marudio haya.
 
Hahah hahah, hiyo kali... Huyo mwanamke aliliwa kwa 100,000/0. Hiyo noma!!
 
ilishatokea kule mtaani kwetu siku nyiiiingi...!mtaa wa Jukwaa la Jokes,nilishuhudia kabsa...mweeee...
 
duh kaliwa kwa pesa ya baba watoto aseee aiiiyeeeesiiiiiangaaaidaiiiia aaahakkakaa
 
Back
Top Bottom