Utafiti nilioufanya mdau kuhusu ni kitu gani wanachoangalia wanaume hadi kumpenda au kumtamani msichana/mwanamke vimekuwa vikitofautiana toka zama hadi zama!!Enzi za mwalimu mwanamke mzuri alikuwa ni yule mwenye tabia njema tu si zaidi ya hapo!!Enzi za mzee ruksa mwanamke mzuri alikuwa ni yule mwenye sura nzuri tu si zaidi ya hapo.Enzi hizi wanaume wanamuangalia mwanamke kwanza katika hips na makalio basi!!!Hivyo basi wanaume wanachanganyikiwa zaidi na wanawake hao na hawaangalii tena tabia wala sura.Hivyo vinakuja baadae!!Napenda kutoa hoja