Utafiti; Wadada wengi humu ni 'single mothers' na wana 'stress' za kukosa wachumba

Tuliza kipapa nani kakwambia single mother wote wanastress? ?huo utafiti umeufanya baada yakunyimwa papuchi labda!jiheshimu Kwanza ili uheshimiwe!
wewe singo maza,mi papuchi yako sitaki,itakuwa bwawa la mtera,io tabia yako ya kulingishia papuchi,ndio imekuponza, wakakutia mimba wamekuacha unalea pekee ako.
 
Yapo mengi yanayofanya mtu kuwa single mamy, na sio anajiamulia tuu kuwa single mamy.
Hamna anayependa kulea mtoto mwenyewe, iwe mwanamke au mwanaume. Ni kuheshimu tu maamuzi yao maana hamna anayeujua ukweli zaidi ya hao walioathirika.
Kuwaheshimu ni jambo la kheri kwani walikuwa na uwezo wa kutoa hizo mimba lakini hawakutaka bado nitaendelea kuwaona mashujaa waliothamini uhai wa hawa watoto bila kujali mitazamo ya jamii juu yao. Popote mlipo Mungu awatie nguvu.
Binafsi nawaheshimu sana wanawake waliokubali kutunza viumbe tumboni mwao kwa miezi tisa na hatimae kuzaa pasipokujali mazingira wanayoishi, hali ya kiuchumi na pressure kutoka kwa wanajamiii inayowazunguka.

wanawake wengi ninaowafahamu mimi waliowahi kutoa mimba sababu zilizowapelekea wao kufanya hivyo ni hizo nilizozitaja hapo juu, mtu anakwambia sijajiandaa kulea mtoto sababu sina kazi ya kuniingizia kipato cha kueleweka kwa hiyo ni bora atoe mimba kama mtoto eti Mungu atamjalia tu tena kama amempangia kuwa na mtoto.

Mwingine unakuta ni mwanafunzi ambae haishi nyumbani kwao, akiwa kwenye harakati zake za kutotaka kupitwa na ujana anajikuta katika hali asiyotarajia hazioni siku zake, sasa hili kuepuka aibu hiyo anaona uamuzi ni mmoja tu ambao ni kutoa mimba kwa njia yoyote, yaani kuepuka aibu anaona ni bora kuliko kuharibu mji wa mimba.

Kiukweli Ninawaeshimu sana wanawake waliokubali kuzaa na kubeba majukumu yao kama mama hata bila ya msaada kutoka kwa wazazi wenza angali bado wapo hai, ni moja wapo ya ujasiri na hasa kwa jamii zetu za kiafrika hizi ambazo zina muono hasi kuhusu single parent.

Usingle mother sio kilema wala low status katika society, bali inatakiwa kuchukuliwa kama prestige kwa mwanamke shupavu sababu sio kazi rahisi kumtunza mtoto hadi akaanza kujisimamia mwenyewe bila msaada wa kudumu kutoka kwa mtu yoyote yule.

Kwetu sisi mwanamke aliyezaa ni asset kubwa sana katika swala la kuoa, kwa sababu lengo kuu hasa la kuoa ni kuongeza au kupanu ukoo, hivyo basi kunakuwepo na shauku kubwa yakutaka kujua kama huyu mwanamke ana uwezo wa kuzaa kwelii au anakuja kujaza choo tu? Sasa kama wewe tayari una mtoto baasi automatically una sifa kuu ya kuolewa katika ukoo wetu sababu uthibitisho unao kuwa unaweza kufanya fertilization na hatimae mwana ukoo mpyaa akapatikana, hata upendo utakao onyeshwa ni tofauti na binti mbichi ambae hana historia yoyote ya kuzaa.

Single moms ni wanawake potential sana kwa mtu anayewajua vizuri, yoyote anaewaita etii ni mikosi ana roho mbaya sana na histoshe kwenye ukoo wao unakuta wamejaza watoa mimba.
 
Yote haya wanaume ndo chanzo... wanawake wana ulevi wa kupenda mpaka wanasahau kwao.. ila sasa suruali hazituliagi kabisa wala hazina kutosheka...kwa mtindo huu single mothers wanazid kuongezeka... NB:.LADY'S DON'T LOVE TOO MUCH.. wanaume wengi chenga. Bora upende kimtego mtego tuu potelea mbali.
Hapo umeongea kweli bibi maana kuna single mother mmoja yupo 25,, nilipigamo nakili alinipenda sana ila yupo ninae ishi nae ndo ananipenda mpaka homaa yaani Aibuuuu ,,Yule wa zamani yaani mpaka nusu ya mshara wake anaweka kwenye acc yangu na kusema hata kama nikitumia tui ila hatachoka kunitumia ,,ila juzi kti kavishwa Pete ya uchumbaa ila msimamo upo palepale kweli kuna wanawake wanapendagaaaaaaaaa mpaka homa
 
Mkuu, waheshimu mama zako! Usipende kuwasema vibaya hao ni wazazi wako!

Fanya research tena, utagundua watoto waliolelewa na single parent wengi wao ndio wamefanikiwa zaidi kimaisha kuliko mliolelewa na wazazi wote...! Anzia na Baraka Obama, Tupac Shakur, Mario Balloteli, January Makamba, Delle Alli, Jarome Boateng n.k
Mkuu kama ndio list yako hiyo basi waliolelewa na both parents ndio wamefanikiwa zaidi... Michael Jackson, George Bush,Mapadlock , Papa, Mflame wa Morocco... na wengi sana

Ila Hapo kwa Makamba sijaelewa ufanikia wa aina gani maana naona utapatapaji tu na Tupak kufanikiwa kuwa muhuni? kutukana dada zako hayo ni mafanikia kuwaambia watu kuwa ametembea na wake zao nayo ni mafanikio au upumbavu?
 
mimi naona jamii hii inaongezeka na pia wanawake na wao wameshazoea na inafikia hatua unasikia tu mdada mkubwa yeye hataki kuolewa anataka mwanaume amzalishe basi mtoto atalea yeye....tunaelekea wapi jamani?? tunazalisha vizazi vya aina gani??
 
Mtoa Mada wewe sio mapangaji so ishi unavyoweza wewe mengine yaache tu Anzisha Shule ya Ushauri.... Kama Mdada umri umeenda na Mwanaume wa Ndoto yake hajaona akaichagua Mtanashati mmoja wa Kuzaa Nae haoni tatizo kama uwezo wa kulea anao, Na Kuna Wanaume zao wakishaambiwa Mimba basi ni Mbio sana unataka afanye nini atoe Mimba? the issue kuna kukosea wakatoa na vizazi vikawa vimeisha ni maamuzi magumu sana kwao so let life goes on tu ila utakavyo wewe hutaweza huna tofauti na huyu mtawala wa Sasa anataka aendeshe Maisha ya Watanzania atakavyo yeye hakika hatoweza Binadamu ni si Ng'ombe anaendesha Maisha atakavyo yeye... so acha kuwatusi na kujifanya mshauri... maneno hayo peleka kwa watu wa dini watakuelewa sana ila kama huna Mwanamke wa Kumsadia waache waendeshe maisha yao usiwakere ni mbaya Sana... ni Sawa na Wewe Ufiwe and watu wakucheke ati u yatima.... Umetumia maneno ya kuwatuhumu wote hujui mambo mengine yanatokeaje kuna kufiwa,Bahati Mbaya,Kuachika kwa sababu mbali mbali either mwanaume au mwanamke au wazazi n.k wengine damu tu haziendani na wengine ugumba kwa mwaname akitoka nje anapata mtoto ndoa inajiishia kuna sababu nyingi sana bora ungetenganisha hoja yako uweke specific ila kuwatia kadhia wote kuna mambo mengine yanasikitisha ukijayasikia so humu wanatokuja kutoa stress wewe unawadhihaki.. Bila Mwanamke hakuna raha Uje Kumuuliza Babu yako Adam
 
Utafiti....watu wengi maofisini wana vichaa.Nahakika wengi humu wanafanyakazi maofisini.Tuwe makini
 
Kijana kama Mimi ndo kwanza na miaka 25...na elimu nzuri,Kazi nzuri na pia nalipwa mshahara mzuri hivi naanzaje kuwa na uhusiano na mkosi ......kikwetu kuwa na uhusiano na SINGLE mother ni Bonge la mkosi..

Single mother Wa miaka 22+ anatakiwa awe na bwana Wa miaka 60+.........
Aisee! Neno "mkosi" zito sana mkuu.
 
wewe singo maza,mi papuchi yako sitaki,itakuwa bwawa la mtera,io tabia yako ya kulingishia papuchi,ndio imekuponza, wakakutia mimba wamekuacha unalea pekee ako.
Woiii kwendraaaaaaa huko nahisi unagono baridi lisopona linakusumbua!mi niko kwenye ndoa mwaka wakumi wewe senge usojua kutafuta hela unawawaza masingle mother!mwanaume anasifiwa juhudi zake na maarifa yakutafuta hela siyo kukesha jamii forum kubwabwaja!ushazoea kutingishiwa ekheeee now unawashwa!hivi unajua hao single mother wamepitia mangapi mpaka kuwa hivyo?kisayaaaa mzoefu wewe
 
Ila uzuri wa single mother huwa wanatukomboa sana madomo zege kama mimi, ukimnunulia pipi tu mwanae ujue lazima mama umpate
Watakuumiza mkuu maana hayo maneno yana ukweli ndani yake.Ni kweli wanawake wengi wakishazalishwa na kuachwa hubadilika tabia na kukata tamaa kitu ambacho huwafanya kupunguza majivuno, wanapotongozwa mara nyingi huweza kutoa penzi kirahisi kuliko alivyokua mwanzo sijui tatizo ni nini hapo.
 
Wanajua soko lao limeshapita ni zamu ya wale chuchu saa sita, wakati sisi madomo zege tunawaona wapyaaaaaa.
 
Binafsi nawaheshimu sana wanawake waliokubali kutunza viumbe tumboni mwao kwa miezi tisa na hatimae kuzaa pasipokujali mazingira wanayoishi, hali ya kiuchumi na pressure kutoka kwa wanajamiii inayowazunguka.

wanawake wengi ninaowafahamu mimi waliowahi kutoa mimba sababu zilizowapelekea wao kufanya hivyo ni hizo nilizozitaja hapo juu, mtu anakwambia sijajiandaa kulea mtoto sababu sina kazi ya kuniingizia kipato cha kueleweka kwa hiyo ni bora atoe mimba kama mtoto eti Mungu atamjalia tu tena kama amempangia kuwa na mtoto.

Mwingine unakuta ni mwanafunzi ambae haishi nyumbani kwao, akiwa kwenye harakati zake za kutotaka kupitwa na ujana anajikuta katika hali asiyotarajia hazioni siku zake, sasa hili kuepuka aibu hiyo anaona uamuzi ni mmoja tu ambao ni kutoa mimba kwa njia yoyote, yaani kuepuka aibu anaona ni bora kuliko kuharibu mji wa mimba.

Kiukweli Ninawaeshimu sana wanawake waliokubali kuzaa na kubeba majukumu yao kama mama hata bila ya msaada kutoka kwa wazazi wenza angali bado wapo hai, ni moja wapo ya ujasiri na hasa kwa jamii zetu za kiafrika hizi ambazo zina muono hasi kuhusu single parent.

Usingle mother sio kilema wala low status katika society, bali inatakiwa kuchukuliwa kama prestige kwa mwanamke shupavu sababu sio kazi rahisi kumtunza mtoto hadi akaanza kujisimamia mwenyewe bila msaada wa kudumu kutoka kwa mtu yoyote yule.

Kwetu sisi mwanamke aliyezaa ni asset kubwa sana katika swala la kuoa, kwa sababu lengo kuu hasa la kuoa ni kuongeza au kupanu ukoo, hivyo basi kunakuwepo na shauku kubwa yakutaka kujua kama huyu mwanamke ana uwezo wa kuzaa kwelii au anakuja kujaza choo tu? Sasa kama wewe tayari una mtoto baasi automatically una sifa kuu ya kuolewa katika ukoo wetu sababu uthibitisho unao kuwa unaweza kufanya fertilization na hatimae mwana ukoo mpyaa akapatikana, hata upendo utakao onyeshwa ni tofauti na binti mbichi ambae hana historia yoyote ya kuzaa.

Single moms ni wanawake potential sana kwa mtu anayewajua vizuri, yoyote anaewaita etii ni mikosi ana roho mbaya sana na histoshe kwenye ukoo wao unakuta wamejaza watoa mimba.
Ndio hivyo ndugu, lakini kuna wanaojiona ni watakatifu humu ila kwa majibu yao ya kipuuzi nawaona wapumbavu tu na waliopigwa na maisha hamna mwanaume timamu anaeweza kumdharau mwanamke bwanaaa
 
Attachments

  • 1477373947255.png
    1477373947255.png
    155.2 KB · Views: 38
Back
Top Bottom