Utafiti; Wadada wengi humu ni 'single mothers' na wana 'stress' za kukosa wachumba

Endo agar

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
487
334
Habarini wakuu,

Kulingana na mitizamo ya wadada wengi wa humu na kutwa kukosoa wanaume, inadhihirisha kwamba wadada wengi hapa ni wahanga wa kuzalishwa na kuachwa na pia wengi wao mpaka sasa hawana wachumba.

ANGALIZO:
Maumivu yako hayawezi kuisha kwa kukosoa mwanaume
cha msingi jiheshimuni kama mama zenu, ili mfikiriwe msije zeeka bila waume.
 
Habarini wakuu,
Kulingana na mitizamo ya wadada wengi wa humu na kutwa kukosoa wanaume,inadhihirisha kwamba wadada wengi hapa ni wahanga wa kuzalishwa na kuachwa,na pia wengi wao mpaka sasa hawana wachumba.
ANGALIZO
Maumivu yako hayawez kuisha kwa kukosoa mwanaume
cha msingi jiheshimuni kama mama zenu,ili mfikiriwe msije zeeka bila wame
Tupe ushahidi mkuu, sio kulopoka lopoka hovyo kwa usivyovijua! Kukosoa mwanaume ni jukumu la Mwanamke sasa unataka Mwanaume mwenzio akukosoe uvungu wako anaujua?
 
dada yeyote atakayeumuka hapa ujue huyo single mother
Hata akiwa single mother itakupunguzia /kukuongezea nn Eddy hadi mje muwaponde? Wanawaomba ela ya kula au mavazi ya watoto wao? Au ndo vile basi tena binaadamu mmepewa midomo ya kusema mnaongea hata msivyo na uhakika navyo! Wanaume acheni majungu fanyeni kazi muone kama hao mnaowaita single mom wataumuka
 
Tupe ushahidi mkuu, sio kulopoka lopoka hovyo kwa usivyovijua! Kukosoa mwanaume ni jukumu la Mwanamke sasa unataka Mwanaume mwenzio akukosoe uvungu wako anaujua?
Ushahidi ni wewe hapo,inasikitisha umeamua kuweka picha kabisa ya we na mwanao ili kama baba ake yupo humu
akumbuke wajibu wake,ni rahisi sana kukosoa ukiwa nje kuliko ndani,ebu jitahidi umlee mwanao
 
Back
Top Bottom