Utafiti: Wachaga wazaliana kwa kasi

Unavo jibu wewe naona kama ume-link tatizo hili na wachaga... But it is hard to believe that ni tatizo la kabila. Anyway, wewe ndie ulizoma na ku-summarize article.
hilo ni tatizo la kabila. sasa mnataka kubishana na utafiti? wekeni utafiti wenu basi.
na unipa ban kwa kukukosoa?
 
kimmmmmmmmmmmmmmyaaaaaaaaaaaaaaa, mpo wapi aiseee, leo mbona hamuonekaniii, jibuni na hiiiiii...............ngoja nimtumie dem wangu msg nimtanie kwa hili...............
 
ni kweli wachache wao wana maendeleo ambayo wameyapata kwa njia zisizo halali ikiwemo ushirikina na ujambazi. lakini kwa upande mwingine wana tabia chafu hasa kwenye mambo ya mahusiano. hawana cha baba wala mama wala mjomba wala dada wala mama mkwe, wao wanakung'utana ovyo ovyo tu.
First of all mimi sio mchaga, pili ninakushangaa sana kwa nini umejenga chuki na wachaga kwa viwango hivi, maana sio thread hii tu ambayo unawashambulia Wachaga, labda tu inshort ningependa nikueleze kwamba mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe, sasa kama wewe ni either mzaramo, mndengereko, Mmatumbi au Mkwerre usitarajie kabila lako kuzungumziwa kwa lolote hapa zaidi ya umahiri wa kucheza ngoma kufuga mabusha na mafiga matatu thats it!
 
we jipendekeze tu. mimi huwa simung'unyi maneno. ukweli ndo huo hawa jamaa wachafu.
na usidhani kuwa kila asiye mchaa aga basi amezidiwa kimaendeleo na hao sijui wachaa aga. kwa taarifa yako nipo njema kuliko unavyoweza kufikiria, na nimewapiga gep kubwa sana hao wachaa aga wengi. kwa hiyo ondoeni hiyo kasumba. mimi niemshatembea sana huko moshi na kwa taarifa yako kuna wachaa aga kibao wamechoka kinoma.
NYIE NDO MNAOKUFA KWA MILIO YA BUNDUKI.
 
Watauletea kero kama za Kenya maana kamkoa kao kadogo sana ingawa kuna mkakati wa kuimega Tanga.
Ila nawapa hongera maana wanaenenda kwa kadri mola atakavyo (enendeni mkaijaze dunia)
 
we jipendekeze tu. mimi huwa simung'unyi maneno. ukweli ndo huo hawa jamaa wachafu.
na usidhani kuwa kila asiye mchaa aga basi amezidiwa kimaendeleo na hao sijui wachaa aga. kwa taarifa yako nipo njema kuliko unavyoweza kufikiria, na nimewapiga gep kubwa sana hao wachaa aga wengi. kwa hiyo ondoeni hiyo kasumba. mimi niemshatembea sana huko moshi na kwa taarifa yako kuna wachaa aga kibao wamechoka kinoma.
NYIE NDO MNAOKUFA KWA MILIO YA BUNDUKI.
Ur keboad typing sounds like a teenager,......... aliye njema haitaji promo sehemu kama hizi maana cash inaongea instead, umri wa Mtanzania mtafutaji kusettle maisha na kumiliki uchumi mzuri si chini ya umri wa miaka 40. so wewe jifariji tu.
 
Wameyaona haya yakushindwa
kufuata njia za uzazi wa mpango,
kutokana na imani potofu, mila na
utamaduni, itikadi za kidini na ulevi wa kupindukia.
MBONA KUPENDA PESA KULIKOKITHIRI HAWAJAWEKA KA NAYO NI SABABU?
M naupinga huu utafit imekuaje waache pesa.
 
Kwa hili wachaga wanaonewa, hakuna jamii inayozaliana hovyo kama wapemba, na hawa hawatumii sana pombe,.....sasa pata picha kama wangekuwa walevi!
Hizi ni tafiti za mezani hazina ukweli wowote,hivi nani anawajua vizuri wapemba?kuna watu wanazaliana kama wapemba! mama haendi hata sokoni kazi yake ni kuzaa tu!
 
hilo ni tatizo la kabila. sasa mnataka kubishana na utafiti? wekeni utafiti wenu basi.
na unipa ban kwa kukukosoa?
Mi sijabisha. Utafiti huu unaweza kua sahihi (We assume it is a scientific work). Ninacho muuliza EMT ni hiki: yeye alitoa wapi hilo neno 'wachaga' wakati utafiti unasema ni 'wakaaji' wa eneo hizo ambazo wanaweza kua wachaga or not?
PS: ukitaka ban ask nicely, sio hivo :)
 
Kilaza mmoja anaubeza huu utafiti kisa umeilenga chaga land,nani kakwambi research inaendeshwa kwa kulinganisha tu unaweza tumia deductive na inductive method..wachaga wamezidi.
 
mie mchaga jina langu Bia.
Kiukweli nimeamini Nyerere asinge2unganisha kwa lugha ya kiswahili,hakika 2ngeuana sana sana,mana katika michango ya some guys here ni ya chuki,kudharau na ya kukera.unaweka mada kama hii,ni imani yangu kuwa haileng kujenga bali kuibua kero 2 mana hapa wapo vijana wenye elimu na uelewa,kama imetokea kwa wazee we2 haipo kwa vijana na hata kama ipo ni kwa asilimia chache,haiwez ikawa wote,haihalalishi kuwa wachaga wote wapo hvyo.lakin pia kauli chafu za baath hapa hazileng kutaka kujua na kutoa ushauri positiv.
Kama alivyosema mdau mmoja mti wenye matunda ndo huanguliwa matunda,ninasadik kuwa some of us wana2onea gere sana manake hata dada zenu popote 2kienda ukijitambulisha mie mchaga,au msukuma,au mnyakyusa au mhaya,teyar anapanua paja hata kwa mke wako wewe unaelitazama hli kwa lengo ovu na la ubaya.cio.
 
Kweli the higher you go, the more the enemies.................kuna mijamaa humu kwa sababu ya wivu kwa wachaga inafikia mpaka hatua ya kutukana, kuweni na uhakika sio mnaleta ukabila na kutoa mpaka matusi. MOSHI - Mungu Onyesha Sasa Hela Ilipo
 
Back
Top Bottom