Utafiti: Wachaga wazaliana kwa kasi

EMT

Platinum Member
Jan 13, 2010
14,483
15,308
Mratibu wa Jamii wa Afya ya Uzazi na Jinsia wa mradi unaotekelezwa kati ya UMATI na Chama Kikuu cha Ushirika cha Wakulima wa Kahawa mkoani Kilimanjaro (KNCU), Lilian Sizya amesema kuwa baadhi ya wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wanashindwa kufuata njia za uzazi wa mpango kutokana na imani potofu, mila na utamaduni, itikadi za kidini na ulevi wa kupindukia.

Akizungumza na waandishi wa habari waliotembelea vyama vya msingi Kibongoto Wanri na Machame Wanri wilayani Hai, Sizya alisema matatizo hayo yalibainika zaidi wilayani Rombo. Amedai familia kadhaa vijijini wilayani Rombo zimebainika kuwa na wastani wa watoto 12 huku zikishindwa kuwatimizia mahitaji ya msingi ikiwemo elimu, afya na malazi .

Matokeo hayo yalibainika katika utafiti uliofanyika katika vijiji vya Mrao, Keryo na Momwe kata ya Mrao Keryo na kwamba baadhi hawako tayari kufuata uzazi wa mpango kutokana na sababu mbalimbali. "Masuala haya ni tatizo kubwa wapo watu wanaamini kuwa wakifuata uzazi wa mpango watapata saratani ya kizazi, mila potofu, ulevi wa kupindukia unaosababisha kutozingatia njia za uzazi wa mpango na itikadi za dini, tunapaswa kutoa elimu zaidi," alisema.

Kwa upande wa wahudumu wa afya, baadhi yao wameelezea kuwa miongoni mwa changamoto zinazowakabili ni wanaume kukaidi kutumia njia za uzazi wa mpango hali inayolazimu baadhi ya wanawake kuzitumia kwa siri ili kupunguza idadi ya watoto.
 
hilo la ulevi hata mimi naliunga mkono.hawa jamaa zetu huwaambii kitu kwa pombe.week end pitia baa za Sinza/Kinondoni/Kimara,idadi kubwa ya wanywaji utakao kutana nao;ni wao.mbulaaa...:redface:
 
Duh, ngoja waje wenyewe.

Rejao, naomba mbegu mbili za mahindi.

Dah! Yaani umenipiga chenga ya mwili hivi hivi?
Nilitaka kujua kama wewe ni mmoja wa:
...wanaume kukaidi kutumia njia za uzazi wa mpango hali inayolazimu...

Au wewe ni:

...baadhi ya wanawake kuzitumia kwa siri ili kupunguza idadi ya watoto.

Haya bana. Another day. Dah!!!
 
Natamani na makabila mengine yaige, ili tujae haraka tuweze kupata akili za kuzuia utajiri wa nchi yetu usiibiwe!
 
Mi napita wapi ngowi,massawe,mtenga.lyimo,marando,mboya,na jamaa yangu makuna
 
Wanafanya kazi waliyotumwa na mungu kwa kiwango cha juu sana
kwa hiyo inabidi wartaalamu wafanye kazi yao
 
Hatuwezi kufanya hitimisho kwa uchunguzi uliofanywa kwa mkoa mmoja tu.....je wamefanya utafiti mikoa mingapi wakailinganisha? Msipende kuhukumu mambo juu juu. Hata hivyo mambo mengi lazima yafanyiwe utafiti KLM maana ndiko kiliko kipimo cha maendeleo hapa tz. Kama nyie vyasaka hamtaki kajinyongeni!
 
hilo la ulevi hata mimi naliunga mkono.hawa jamaa zetu huwaambii kitu kwa pombe.week end pitia baa za Sinza/Kinondoni/Kimara,idadi kubwa ya wanywaji utakao kutana nao;ni wao.mbulaaa...:redface:

lakini si wanatumia hela zao?
 
Hatuwezi kufanya hitimisho kwa uchunguzi uliofanywa kwa mkoa mmoja tu.....je wamefanya utafiti mikoa mingapi wakailinganisha? Msipende kuhukumu mambo juu juu. Hata hivyo mambo mengi lazima yafanyiwe utafiti KLM maana ndiko kiliko kipimo cha maendeleo hapa tz. Kama nyie vyasaka hamtaki kajinyongeni!

Mbona hilo liko wazi tangu zamani. Kati ya makabila yanayoongoza kwa idadi kubwa ya watu TZ, la kwanza ni wasukuma na la pili ni wachaga. Kwa hiyo hao waliofanya huo utafiti hakuna jipya walilochangia katika 'knowledge body'. Sipati picha problem statement yao ilikuwa nini hapo. Nadhani walikuwa wanataka tu kuhalalisha matumizi ya hela walizopewa na wafadhili wao.

Binafsi ningewaelewa kama walikuwa wanatafuta sababu za huko kuongezeka kwa kasi na mchango wa kila jinsia ktk tatizo hilo
 
Hatuwezi kufanya hitimisho kwa uchunguzi uliofanywa kwa mkoa mmoja tu.....je wamefanya utafiti mikoa mingapi wakailinganisha? Msipende kuhukumu mambo juu juu. Hata hivyo mambo mengi lazima yafanyiwe utafiti KLM maana ndiko kiliko kipimo cha maendeleo hapa tz. Kama nyie vyasaka hamtaki kajinyongeni!

Mkuu hiyo kauli imepitwa sana na wakati. Mbona maeneo mengi yana maendeleo kama KLM. Nenda mwanza, mbeya maendeleo yapo tu kama ilivyo KLM. Nadhani huo utafiti ulikuwa unalenga issue nzima ya maadili, ambayo unaweza ukaona hapo kuwa kwa KLM, pamoja na maendeleo maadili yako on spotlight
 
Kwa hiyo hao waliofanya huo utafiti hakuna jipya walilochangia katika 'knowledge body'. Sipati picha problem statement yao ilikuwa nini hapo. Nadhani walikuwa wanataka tu kuhalalisha matumizi ya hela walizopewa na wafadhili wao.

Mradi wa Afya ya Jamii kwa ushirikiano baina ya KNCU na Umati umeanza mwaka juzi na unaendeshwa kwa ufadhili wa wanunuzi wakubwa wa Kahawa kutoka Japan (ZENCHO) ambao wameweka nyongeza ya fedha katika kilo ya Kahawa kwa ajili ya afya.

Alisema kupitia mpango huo hadi sasa zaidi ya Sh milioni 22 zimetumika kwa ajili ya kuboresha afya kwa wakulima wa zao hilo ili kuwaongezea tija ya uzalishaji bora wa zao hilo na hivyo kuwanufaisha kiuchumi.
 
tatizo lenu mkiambiwa mnakimbilia maendeleo. hivi kujamiiana ndani ya familia hayo ndo maendeleo? kinachozungumziwa hapa ni kuwa mnazaliana hovyo kwa sababu ya kujamiiana baba na mwanawe, baba ba mkwewe au kaka na dada. huo ni uchafu mkubwa na wala si jambo la kujivunia hata kidogo.
Chagaz hater,......ningeomba nikupe tip tu hapa Tanzania kama utakwenda sehemu na ukakuta hakuna mchaga basi usijisumbuwe kuwekeza eneo hilo. Wachaga ni alama ya mafanikio hapa Tanzania, kwa kifupi hawa ni wahindi weusi hayo maneno mengine ni porojo tu.
 
Back
Top Bottom