Utafiti wa REDET wampa KIKWETE 71% Dk. Slaa 12%

afu kuna hawa watu hawa wa usimamizi wa uchaguzi kutoka europe jana wametangazwa TBC ...hawa mnawaonaje wadau..wanaaminika kweli hawa..??

Hawa wajumbe kutoka Europe HAWASIMAMII UCHAGUZI, anayesimamia uchaguzi ni NEC,kuwepo au kutokuwepo hakubadili dhana nzima ya uchaguzi.Kazi yayo ni kutazama na kuandika ripoti tu lakini hawana meno ya kubadirisha au kutengua kitu chochote kwenye uchaguzi.
 
Hawa wajumbe kutoka Europe HAWASIMAMII UCHAGUZI, anayesimamia uchaguzi ni NEC,kuwepo au kutokuwepo hakubadili dhana nzima ya uchaguzi.Kazi yayo ni kutazama na kuandika ripoti tu lakini hawana meno ya kubadirisha au kutengua kitu chochote kwenye uchaguzi.
hilo nalielewa..wasiwasi wangu mimi ni pale watakapotoa ripoti ya uongo juu ya mwenendo mzima wa kampeni na uchaguzi kwa kipindi watakachokuepo...ndo maana nauliza wanaaminika hawa?? (although nafaham wazi pia kuaminika ama kutokuaminika kwao hakutowazuia kuja nnchini kwa sasa)
 
soma avtari yangu. yaani hata mimi niltabiaria hivyo hivyo.


Mkuu Malaria hawa jamaa zetu hawapimi mitaani majumbani wankutana kwenye viti virefu na hapa JF wajiona wapo wengi unajua hapa ukipita bila ya kujua mtaani pakoje unaweza pagawa kwa maneno ya JF watu wenyewe ni walwale kila siku wakingia JF wanoongeza namba hapojuu kwenye yupi anafaa tumegundua hilo kule busanda mimi niliangalia ule umati wawatu wlokuwa wanajaa kwenye mikutano yao nikiangalia sisim ni watu wakawaida ispokuwa kuna utofauti wabusara nikwamba wanjua kwanini wamefika hapo, katika kchekecha chaaadmmaa watuwa ahh kumbe wote sio wapiga kura sikuyakura hawakuonekana wanabaki wanalalamika tumeibiwa kura MTABAKI HIYVOHIVYO
 
jamani tuachane na hawa watu wanaokichafulia UDSM yetu, leo hata watu wa kutoka nnje wanashangaa sana kuona tafiti za REDET na kusema kama hao ndio mnaosema wasomi wenu, basi hiki chuo kimeishiwa na wasomi kabisa. Mkandara ni mpiga debe nambari 1 wa JK na CCM yake.
 
MwanaHALISI leo limeripoti juu ya njama za CCM kwa kushirikiana na Usalama wa Taifa ambayo inadaiwa kupeleka Wataalamu wa IT Tume ya Uchaguzi ili waweze kupika matokeo ya Uchaguzi mwezi Oktoba.

Gazeti hilo pia limedai kupata taarifa kuwa Mpango wa Utafiti na Elimu ya Demokrasia wa UDSM (REDET) unaandaa taarifa zitakazoonyesha kuwa mgombea wa CCM, Kikwete amepata ushindi wa asilimia 80 kwa kupeleka vijana kufanya 'utafiti' huo wa kura ya maoni. Vijana hao wamenyimwa madaftari ya wakazi ambao wangeopoa mtu mmoja mmoja wa kuuliza na badala yake wanukuu maoni wamekuwa wakielekezwa kwa wajumbe wa nyumba kumi (mabalozi wa CCM) na mashabiki wakubwa wa chama hicho, utaratibu ambao utaonyesha kuwa wanaopenda CCM na Kikwete ni wengi,

Source: MwanaHALISI, 5 Oktoba 2010
 
REDET wamejifunua rangi zao halisi mwaka huu. Ukisikia miti yote kuteleza, hapa ni miti yote inawaka moto. Nasubiria kusikia watakavyokuwa wanaelezea matokeo ya utafiti wao..... na ningependa sana kujua watakayemtuma kutoa hayo maelezo
 
REDET ni chombo cha serikali lakini safari hii wataibika na kujishushia heshima wao wenyewe kwa kupuuzilia mbali matakwa ya wapigakura. Na SYNOVATE nao watawaunga mkono? Hilo sijui hadi hapo muda utakapofika.
 
REDET wamejifunua rangi zao halisi mwaka huu. Ukisikia miti yote kuteleza, hapa ni miti yote inawaka moto. Nasubiria kusikia watakavyokuwa wanaelezea matokeo ya utafiti wao..... na ningependa sana kujua watakayemtuma kutoa hayo maelezo

Mkuu sio mwaka huu tu. Kilichotokea ni kwamba mwaka huu hatudanganyiki.

Mwaka 2005 walifanya hivyo pia.....na ndipo Prof Mukandala aliyekuwa mkuu wa REDET akapewa shavu UDSM la umakamu mkuu wa chuo kama malipo. Watu wanatafuta mashavu. Usione watu wanaunga mkono CCM ukafikiri wana mapenzi na CCM. Ni unafiki tu.

We angalia waungaji mkono wa CCM humu.......ni waajiriwa wa mashirika ya umma ambao identity zao ziko somehow exposed...

NI MAWILI..KULINDA AU KUTAFUTA MASHAVU.
 
Hebu fikiria wewe REDET wana kibaraka wao Rwekaza Mukandara ni kada mkubwa wa CCM, wana kibaraka wao kule Zanzabar Khatibu Mwinyichande ambaye ni Mw'kiti wa tume ya uchaguzi ni kada mkubwa wa CCM...unategemea nini?
Na sasa wameshawatishia Synovate ndiyo kabisa naona kama si 80% sasa ni 100%
 
Redet watangaza KIKWETE Ushindi 71% kura zao za maoni na Dk. Slaa 12 %.
 
Hongera Kikwete... maana katika kura zoote za maoni hizi ndizo utaziamini
 
wametangaza kupitia chombo gani cha habari?. Wazushi wakubwa, hatudanganyiki
.
 
This is laughable! Yaani wanataka kuwadanganya Watanzania ili wajiandae kisaikolojia. Lakini sidhani kama Watanzania wanadanganyika kirahisi hivyo. Kumbe Mwanahalisi walisema ukweli kwenye habari yao ya jana kuhusu wajinga hao kuchakachua kura za maoni!
 
Halisi, mbona taarifa za awali jana ilishasemwa kuwa Kikwete 88 % na wengine wote wanagawana zile 12 % zilizobaki? Hata hivyo hakuna haja ya kujadili kitu cha kinadharia, attach ripot tusome contents halafu tuendelee. Msema ukweli ni wapiga kura jamani, hizi taarifa za sample surveys zinaweza kutugombanisha bure!!!!
 
The good thing ni kwamba they were predicted to do their work this way! Na wao wameingia hivyo hivyo wazima wazima. Credibility sufuri!!!!!
 
Back
Top Bottom