Utafiti - UKIMWI una tiba? fuata maelezo hapa chini

mimi hayo ninayoeleza ni kweli nitajaribu kumshawishi huyo mtu ajiunge hapa awape ushuhuda mwenyewe halafu huyo mtu, aliyemtibu ni mwanamke na hatozi kitu chochote ni bure tu anamuhudumia kwa dawa , chakula , malazi mpaka apone na huyu ni mtu wake wa tano hana tangazo wala haambii mtu labda watu wake wa karibu wakwambie na wakuombee kwake ndo akupe dawa hivihivi hapana.


I doubt, anaweza pata hata nobel prize huyo kama ni kweli...mpelekeni ITM (institute of traditional medicine):confused:
 
Ndugu Pretty,

"Hili pia dawa ya Ukimwi, mie nilisikia na kweli kuna mtu alishuhudia kapona.
Vundika mkojo wako na unywe kila siku. Sasa sijui nayo ni mambo ya kienyeji au vp, lkn dawa ndio hiyo"

Mkojo una acidi, na vile vile mkojo ukienda huko mwilini unaenda tengeneza acid.

Nimesoma Research proves za watafiti kutoka Australia wanasema HIV virus haiwezi kuresist asidi ya limao, tena kwa muda mfupi sana kirusi kinakufa.

Naomba watu muendelee kusoma zaidi, jaribu kutafuta kwenye google (lemon + hiv) au ka ma unataka more specific answers ongezea neno Australia.

Pia Limao linazuia mimba, kabla ya Sex mwanamke anatakiwa achukue pamba au sponge achovye kwenye juice ya limao au ndimu, aingize kwenye dudu /tamuu yake ndipo majambozi yaanze. Mwanamke hatopata mimba.



HAo watafiti wanasema eti Cancer (ambayo husababishwa na virusi) ilikuwa inatumika miaka mingi kabla ya yesu. Na Tatizo la kusahau tiba za asili linatokana na kuja na modern medicine.

Watafiti Wanasema Eti ukitumia LImao kila siku hao Virusi hawataweza kubreed na hivyo watapungua mwilini, na wakipungua, hatimae mwili wako utaongeza kinga, na askari wa mwili watawaondoa mwilini. Lakini Kwenye canals za meno na digestive system au sehemu ambazo damu haipiti Virusi watajificha huko, inabidi ufanyiwe Electo sijui nini wanajua zaidi Madokta. Wanatumia Chlorine Oxide.

Naomba watu mkatafute kwenye google kuhusu lemon cures HIV in Australia na mje hapa na hoja.

Pia Aloe Vera ikinywewa kila siku labda miezi mitatu mfululizo, halafu mgonjwa akaenda kupima atakutwa Negative.

Ila ukinywa halafu ukawa mara unaacha au unaruka nafikiri hutafanikiwa, inatakiwa unywe mfululizo bila kukatiza ila Virus azidiwe na nguvu za asidi.

kumbuka hata wewe ukipigana Vita na mtu ukimwacha akapumzika si anapata nguvu tena, hivyo inatakiwa umpige mpaka ummalize.

Cha maana hapo ni kuwa hivyo vitu ni natural things, hata unywe kila siku hakuna madhara.
 
kwa kweli tiba za asili zikifanyiwa utafiti vizuri zinaponyesha ugonjwa huu ila watu wanaogopa kujitokeza na hawa wakijitokeza hawapewi sapoti.
mimi nina ushuhuda kuna mtu namfahamu tangu 2004 ni hiv positive ametumia dawa hizi ya kunywa kwa muda wa miezi mitatu na amepona kabisa ameenda kupiwa yuko negative alishakuwa ICU zaidi ya mara tatu alienda kukaa kwa huyo mtengeneza dawa kwa miezi mitatu unanywea dawa hapohapo na dawa zake hakupi kama hujapima CD4 ili ajue utatumia dawa kwa muda gani na utumie kipimo gani.
Huyo mtu kwa sasa yuko nje ya dar akija nitamuuliza vizuri anipe details then nitawaletea hapa maana amemaliza kunywa dawa mwezi wa tatu lakini ni mzima.
dada unajua mechanism ya HIV? vinaingia kwenye cell na kujiunga na DNA yako, haviwezi kutoka tena kwa hiyo kisayansi haiwezekani awe "amepona kabisa" labda kwa miujiza (kama bado hutokea)
na huyo mganga anajua jinsi CD4 inavyofanya kazi ama amevamia tu? anahakikisha umepima na viral load? na resistance?

Kuna binti namfahamu nae alikuwa +ve, majuzi majuzi katika story na ndugu zangu wa karibu wakaniambia huwezi amini binti ameenda kupima sasa mara tatu..hospitali tofauti na yuko -ve. Yeye wanadai ametibiwa na tiba ya asili na wakat anapata hiyo tiba walivyomwona akiwa anatumia hizo dose....Binti mwenyewe mpaka leo nasikia haamini km amepona.
Ametibiwa na mtu aliyetumia tiba ya asili ana asili ya DRC.

Ila malipo yanatofautiana..huyo binti anadai huyo mwenye tiba anatoza million 3/4 kwa dose nzima wakati hao wa tabata nikikumbuka vizuri walisema milioni haifiki na unakuwa umemaliza dose.
ila tiba inavyoanza nasikia kwanza inakupelekesha hoi sana.....asiyemvumilivu anaweza kata tamaa..ila wanadai mwishoni inatibu.
ukiwa HIV +ve ukabadilika ukawa -ve ujue umekaribia kufa; maana yake ni kuwa immunity yako imeshuka kiasi kwamba huwezi hata kutengeneza antibodies tena! kwa hiyo sio upungufu wa kinga tena ni ukosefu wa kinga!
mil 3/4? wanawafanyia biashara hao, kutoka DRC, Tanga, Sumbawanga haijalishi ni mbinu tu ya kukulaghai!

Mimi nafikiri ushauri wako wa mwisho "Kuna haja ya watanzania kufanya utafiti wa kitibabu na kuja na madawa ya kitanzania bila kuingiliwa na WHO au pharmacies." ni wa muhimu sana kwakuwa kuna madawa ya kitanzania ambayo yanatibu vizuri kuliko dawa za kisasa kwa mfano kuna tiba ya mtu aliyevunjika mfupa inapatikana huko same, ukweli ni kwamba mahali palipovunjika panaunga kwa muda wa siku 16 tu.! wengi wametibiwa na hata mguu uliopondeka mifupa badala ya kuukata unaungika..

Utafiti wetu wenyewe utatupeleka mbali si kwenye tiba tu bali hata na mambo mengine
laiti ungejua utafiti wa madawa unagharimu "vijisenti" vingapi. Basic needs zenyewe hatuna! halafu tufanye utafiti wetu bila donors! ndoto! matokeo yote yatakuwa ya "kifisadi" = "feki"

Hili pia dawa ya Ukimwi, mie nilisikia na kweli kuna mtu alishuhudia kapona.
Vundika mkojo wako na unywe kila siku. Sasa sijui nayo ni mambo ya kienyeji au vp, lkn dawa ndio hiyo.
hakuna kemikali kwenye mkojo ambayo inaweza kuzuia process yoyote katika life cycle ya HIV, uongo mtupu!

Ndugu Pretty,

Mkojo una acidi, na vile vile mkojo ukienda huko mwilini unaenda tengeneza acid.

Nimesoma Research proves za watafiti kutoka Australia wanasema HIV virus haiwezi kuresist asidi ya limao, tena kwa muda mfupi sana kirusi kinakufa.
kwa hiyo wataka kutuambia acid inafyonzwa nzima nzima toka kwenye utumbo, moja kwa moja kwenye damu na cell zingine kwenda kuua virusi? Basi tule matunda yenye acid nyingi! Mungu atupe nini zaidi?

Dawa ya ukimwi ni YESU

YESU NI JIBU! LOL!

BIG UP MASANILO KWA ELIMU DUNIYA!
 
THE CURE for HIV/AIDS.......AMBUSH
THE IDEA that AMBUSH cures AIDS
is being proven by the more than 400 individuals who have taken a dose of 60 ml three times daily for 21 days. The result is that AMBUSH 'KILLS' the virus by causing the protein envelope to rupture and the viral particles are discarded by the white blood cells. AMBUSH is able to 'KILL' the virus that are 'hiding' in the lymph system by its 'natural radioactive' properties. This process allows the body to 'return to normal health' with a corresponding immunity to that or those strains of the virus.
What is AMBUSH ?
AMBUSH is a radioactive isotope of uranium that is found in the 'palm' plant of which there are more than 3000 species. When ingested, AMBUSH causes the body temperature in the trunk area to rise to about 102 degrees when the individual is sleeping. The preparation takes four hours per batch, which is then given to the individuals for consumption 60 ml three times daily for 21 days. AMBUSH is a herbal preparation in this form but it contains an active ingredient which is a 'NEW' crystalline substance, a drug from the 'palm plant' similarly to ASPIRIN originating from the willow tree bark
RESULTS:
After 21 days on AMBUSH, ALL the individuals experienced a decrease in viral load to undetectable, an increase in cd4, increase in RBC, an improvement in general health such as more color to the face, decrease in Buffalo hump, an increase in gluteal muscles, a decrease to having no joint pains whereby individuals can bend to touch their toes, and walk up steps are but a few examples. There is also a dramatic increase in their sexual appetite beginning after the first week of therapy
DISCUSSION:
In any plant concoction such as percolated 'tea', there are 30-40,000 compounds, whi ch would take the scientific community twenty years to isolate one particular ingredient if they knew what they were looking for. The LORD GOD has given me seven steps to isolate the active ingredient, which is soft and metallic in nature and has a carbon- uranium-sulfur-(classified)-phentolamine configuration or structure. This is similar to Federick Kekule and the discovery of the benzene ring where he dreamt the structure.
As an antiviral and 'natural radioactivity' producing agent, AMBUSH is also effective against leukemia, lupus and HPV. Here I am saying that I have 'GIVEN' AMBUSH in the same 'strength' and dosage to patients with leukemia, lupus and HPV. A 35 year old male with HIV found it difficult to impossible to urinate was put on 'green tea' and water while the doctors contemplated prostrate surgery. One of the doctors gave him my number , I sent him a supply of AMBUSH an d he has not been given any more ARV's, since taking AMBUSH 18 months ago, is in 'good' health and has expressed a willingness to be examined by HIV investigators like many others who have taken AMBUSH.
I have sent this 'IDEA' to most HIV research agencies, scientist of the field, universities, hospitals, clinics, politicians and news agencies to which it is REJECTED because the name of THE LORD GOD is mentioned. He has steered me scientifically through the processes such as which plant and how to produce the active ingredient. What are the odds of a Florida Pharmacist picking a plant would contain the CURE for HIV/AIDS ?
I have never charged any of the people for their supply of AMBUSH but a life saving has been spent on the project with NO renumeration from any sources because AMBUSH falls outside the walls of modern medicine and research.
PROPOSAL:
My proposal is that I PROVE that AMBUSH CURES HIV/AIDS by giving it to a number of END-STAGE or DRUG-RESISTANT people and the scientific community watches their recovery. This proposal addresses the problem in that I have already outlaid the results to be obtained.
This IDEA is unconventional in that the scientific community has rejected AMBUSH because I say it is GOD given. Secondly if I wrote it according to certain standards, then it might be peer reviewed. However, THE LORD GOD has also shown me that there are five enzyme systems associated with the virus, reverse transcriptase, protease, fusion and two more of which causes the virus to be AIRBOURNE. This means that without DIVINE intervention mankind and ALL warm- blooded mammals will be extinct in a number of years.
The PROOF of what I am saying is found in scientific papers wherein it is found that when the protease cuts the viral strands, it cuts it at DIFFERENT lengths EVERY time, to which it should always be a valine at the end but is a different amino acid every time. This is why it is IMPOSSIBLE to produce a VACCINE.
Since this is NOT a hypothesis but there are about 400 individuals who have taken AMBUSH, here lies a vast area in which to check, recheck and confirm that AMBUSH CURES AIDS. Let it be mentioned that during the HIV reproductive cycle, reverse transcriptase converts viral RNA into DNA compatible to human genetic materials. Thus the human DNA has been 'hijacked' and since each person has a DIFFERENT DNA, then the new viral copy is unique to that person which shows that each individual has a DIFFERENT STRAIN of the virus. Consider two HIV positive people swapping viral strains and increasing its complexity with multiple partners.
It can also be proposed that they be revisited as proof that the strain or strains that they had were 'killed' at the time of taking AMBUSH considering that a person can catch as many different strains as there are people who are infected by HIV.
I am also willing to work with the scientific community in identifying those individuals who took AMBUSH and wish to be identified with this process notwithstanding that some are stigmatized while others are jubilant,
Once AMBUSH is verified as being able to accomplish that which is aforementioned then the next stage might be the natural and artificial synthesis of the substance.
Finally, if this is accepted or not, believed or not, THE LORD GOD always wins and this is the heavenly truth to which AMBUSH was divinely given to mankind for the CURE of HIV/AIDS and it will be here forever. Apostle Shada Mishe.
apostleshadamishe@gmail.com
Here is a video taped presentation that I gave at t he Martin Luther King library in Washington
[ame=http://www.youtube.com/watch?v=8V53D1w__Po]YouTube - Cure For HIV AIDS 1 of 7[/ame]
 
Back
Top Bottom