Utafiti: Maziwa mtindi yanapunguza unene wa kawaida na obesity

Foundation

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
1,421
596
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini KENYA imegundulika kwamba maziwa ya mtindi yanaondoa unene wa kawaida hata na obesity, bakteria rafiki(harmless bacteria) aitwaye " LACTOBACILLUS" anayapatikana kwenye maziwa ya mtindi anapunguza unene na uzito kupita... kiasi(obesity na huzalisha kinga ya kuyeyusha mafuta ya ziada mwilini
 
Ndugu yangu usiache tukayaparamia maziwa mtindi matokeo yake ndio tukazidi, kweli ndugu yangu. Maana wengine tuko vita hii ya kupunguza uzito kwa muda na matokeo bado si mazuri. Unaweza kufafanua yaliyo katika hali gani, yaani hata ya viwandani pia yanafaa au lazima yatokane na maziwa fresh?
 
Hebu peleka thread yako huko JF Doctor au Hoja mchanganyiko hapa ni mahala pa kazi na tenda.

Husomi hata title ya jukwaa??

Mtindi na nafasi za kazi vinahusianaje???
 
Hebu peleka thread yako huko JF Doctor au Hoja mchanganyiko hapa ni mahala pa kazi na tenda.

Husomi hata title ya jukwaa??

Mtindi na nafasi za kazi vinahusianaje???

Duh ni kweli kakosea lakina inaoneka ...una hamu sana na kazi mpya ahaaaaaaaaaaaaaaaa .
 
Utafiti uliofanywa na taasisi moja nchini KENYA imegundulika kwamba maziwa ya mtindi yanaondoa unene wa kawaida hata na obesity, bakteria rafiki(harmless bacteria) aitwaye " LACTOBACILLUS" anayapatikana kwenye maziwa ya mtindi anapunguza unene na uzito kupita... kiasi(obesity na huzalisha kinga ya kuyeyusha mafuta ya ziada mwilini

mkuu badilisha njia huku umepotea!
 
Duh ni kweli kakosea lakina inaoneka ...una hamu sana na kazi mpya ahaaaaaaaaaaaaaaaa .

Sasa je watu hatuna kazi jamaa analeta mambo mengine huku ha ha ha hah we Mutu acha kusoma katikati ya misitari basi aaahhh
 
Nimewapata, nilipitiwa. Huo utafiti ulifanyika. Huo utafiti umefanyika kenya pamoja na PROFESA NICHOLSON WA IMPERIAL UNIVERSITY HUKO UK. Wanasema ili mradi uwe unaitwa mtindi, haijalishi ni mtindi wa dukani au sio.

Hata hii nayo ni kazi, changamkia tenda, kazi sio lazima iwe ya kuajiriwa. Hata ukijiajiri mwenyewe inatosha.
 
kwa uelewa wangu, tumia kama unavyotumia lishe nyingine. Nilivyosoma hawakusema ni mara ngapi utumie
 
Du watu mbona waklai sana,kupotea njia tu ! Bado hiyo habari imewasaidia pia huko huko ilikopotea njia
 
Back
Top Bottom