Utafiti binafsi

nyuli

Senior Member
Sep 7, 2012
128
95
Mwanamume humkinai mke au mpenziwe walioishi muda mrefu pamoja wakifanya mapenz!

Licha ya wanawake wengi kuhangaika kuirudisha radha ya matamanio kwa wapenzi wao kwa kubuni na kujiweka katika hali tofautitofauti lakini hufikia hatua hata huo ubunifu mpya mwanaume huukinai!

Hata ujibadilibadili vp itafka hatua mumeo atakukinai tu!kwa sababu hii ni kweli ya asili(truth of nature).

Mwanaume akishafanya mapenz na mwanamke mara nyingi sana humkinai,na matamanio juu yake hupotea!hivyo mwanaume huanza kutamani mwanamke wa nje ambaye hajui radha yake hata kama huyo mpya atamaniaye si mzuri kushinda aliyenaye.

Ni kweli kwamba wanaume hupenda na kumuheshimu mpenzi au mke mmoja tu!lakini hushindwa kuendelea kumtamani mwanake mmoja tu!

"WOMEN U WILL ALWAYS CAPTURE THE MAN LOVE BUT NEVER HIS LUST" u never fight it u have to accept it and relax enjoy ur life!
 
mmmh... Ku-fight muhimu,ni sit back aniletee magonjwa ndani..kwakweli,Nehi!
 
gfsonwin na snowhite makungwi mnaitwa huku!

Back to the topic!
Asante kwa utafiti wenye msaada mkubwa; so unatushauri tufanyaje? Tukae chini na kuanza kulia au?

Sasa hao unatafuta penzi jipya kwao? You think wao hawajaolewa au hawana wapenzi? Hakuna haja ya kutambiana udharimu mtenda hutendwa kumbuka sema si kila mtu anaboast!
 
Last edited by a moderator:
Mwanamume humkinai mke au mpenziwe walioishi muda mrefu pamoja wakifanya mapenz!

Licha ya wanawake wengi kuhangaika kuirudisha radha ya matamanio kwa wapenzi wao kwa kubuni na kujiweka katika hali tofautitofauti lakini hufikia hatua hata huo ubunifu mpya mwanaume huukinai!

Hata ujibadilibadili vp itafka hatua mumeo atakukinai tu!kwa sababu hii ni kweli ya asili(truth of nature).

Mwanaume akishafanya mapenz na mwanamke mara nyingi sana humkinai,na matamanio juu yake hupotea!hivyo mwanaume huanza kutamani mwanamke wa nje ambaye hajui radha yake hata kama huyo mpya atamaniaye si mzuri kushinda aliyenaye.

Ni kweli kwamba wanaume hupenda na kumuheshimu mpenzi au mke mmoja tu!lakini hushindwa kuendelea kumtamani mwanake mmoja tu!

"WOMEN U WILL ALWAYS CAPTURE THE MAN LOVE BUT NEVER HIS LUST" u never fight it u have to accept it and relax enjoy ur life!

Asante kwa kutelemsha mashahiri.
Hapo kwenye red, ebu weka reference ili tuamini ulichotafiti!
 
katika swala la utafiti hiyo habar yako tunaita statement of the research problem sasa tunataka report ambayo ndani yake kuna njia mbalimbali za utatuzi wa hiyo problem.Tuandikie report ili watu waelewe mkuu hasa dada zetu.
 
Unajidanganya kwa utafiti wako.Matamanio ni hatua ya awali kabisa katika upendo kwa hali hiyo inaonyesha hujawahi kupenda bado uko kwenye kutamani tu. Siku moja ukifanikiwa kupenda ndio utajua upendo hufunika mapungufu yote uliyonayo wewe na yule unayempenda na kila siku ipitayo utaendelea kumuona mwenzio mpya.Ukitaka darasa zaidi nitakupatia.
 
men do love just one,but their lust never last for the one!
 
SOLUTION!

Ukweli hakuna dawa ya mojakwa moja ya hili tatizo hili,but nimesoma sehemu moja hivi wanasema ukihisi hali hiyo "you have to give urselves a space"hata kama ikibidi kutengana vitanda for a while until ur lust(not love)to each other is rejuvenated.

Just that!
 
Kaunga bora umesema manake the man wants to justfy his mistakes to the extent that he wants to convice every one. mimi napinga and kama ni kweli kwa wakaka basi na wadada ni the same.
 
Last edited by a moderator:
Huu ni utafiti binafsi, inategemea na sample aliyokuwa nayo, ukubwa wa hiyo sample na lengo la kufanya utafiti huo. Nachelea kusema lolote kwa sasa.
 
Free mind always has free decision!keep it up!

"Let them fight with nature but always nature is the winner"

Bingo!

Mkuu nakubaliana na utafiti wako kwa 100%. Uzoefu wangu na wa ndugu, marafiki zangu karibu wote, majirani zangu na wafanyakazi wenzangu unathibitisha utafiti wako uko sahihi.

Kiukweli nampenda mke wangu kuliko wanawake wote duniani. Lakini mapenzi hayo yameshindwa kabisa kupambana na nguvu ya tamaa ya ngono.

CONCLUSION: Infidelity is inevitable!
ADVISE: Cheat responsibly!
 
wanaume bana ndo maana viserengeti boi vinawapigia wake zenu............

aliyekwambia mwenye kukinai ni mwanaume peke yake ni nani?

hata mwanamke hukinai pia......

infact binadamu kukinai ni kawaida....

mnapokua kwenye uhusiano /ndoa ni jukumu la kila partner kuwa mbunifu kwenye mapenzi......kuja tofauti tofauti.... sasa wewe yakalishe ukiamini ni jukumu la mwanamke kuwa mbunifu...... uone wanaume wenzio watakavyomfundisha ubunifu.......

utajiona kidume kuwa na nyumba ndogo kumbe mwenzio anao wake wanaompa ladha tofauti....mambo tofauti.... halafu si unajua kazi za nje zinavyojituma? zinapiga mzigo wa ukweli kiasi kwamba mkeo akirudi hataki hata kuguswa....chezea wezi wewe...

narudia mahusiano yanajengwa na wawili......kila mmoja ana jukumu la kuhakikisha anakuja tofauti daily........

Wanawake bana!!..jamaa kaja na utafiti wake kuhusu wanaume mnampinga..kisa kasema ukweli!
Kama na wanawake nao huwa wanakuwa na 'lust' ambayo ni inevitable ni issue ya kuprove tu na watu watawaelewa..
Twende mbele turudi nyuma..kuna wakati mapenzi huchuja kabisa..na ni ngumu sana kuieleza hii hali kwa jinsia nyingine..
Tukianza kujadili tatizo lazima tujue chanzo cha tatizo lenyewe pia..

Ndoa nyingi sana na kwenye mahusiano tumeshuhudia sana wanaume wakiongoza kwa kucheat..na hata maambukzi ya HIV tunaambiwa kwa kiasi kikubwa yako kwa wanandoa..Manake ni nini?..hapa kuna kitu tunakifunika tu lakini ndio ukweli wenyewe..Jinsia moja kwenye ndoa ina 'lust' ambayo ni inevitable..na kulazimishana kuamini kwamba mwanamume atadumu na mwanamke mmoja ni kujilisha upepo tu!!..

Men should be allowed to cheat but responsibly..i concur with you bro Asprin
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji anaeweza kunijibu maswali haya anijibu;Unakinai nini kwa mkeo?Je hicho unacho kinai hakipo huko unaoenda?Mwisho unatakiwa umalizie kwa kutuambia maana ya kukinai!
 
Mimi sijawahi kukinaiwa na mke wangu isipokuwa tamaa ya kuonja kwingine inakuwepo.
 
wanaume bana ndo maana viserengeti boi vinawapigia wake zenu............

aliyekwambia mwenye kukinai ni mwanaume peke yake ni nani?

hata mwanamke hukinai pia......

infact binadamu kukinai ni kawaida....

mnapokua kwenye uhusiano /ndoa ni jukumu la kila partner kuwa mbunifu kwenye mapenzi......kuja tofauti tofauti.... sasa wewe yakalishe ukiamini ni jukumu la mwanamke kuwa mbunifu...... uone wanaume wenzio watakavyomfundisha ubunifu.......

utajiona kidume kuwa na nyumba ndogo kumbe mwenzio anao wake wanaompa ladha tofauti....mambo tofauti.... halafu si unajua kazi za nje zinavyojituma? zinapiga mzigo wa ukweli kiasi kwamba mkeo akirudi hataki hata kuguswa....chezea wezi wewe...

narudia mahusiano yanajengwa na wawili......kila mmoja ana jukumu la kuhakikisha anakuja tofauti daily........

My wife híi thread inazungumzia wanaume. Angezungumzia wanandoa kwa ujumla pia ningesema wanawake pia wanakinai. Ukweli unabaki palepale, hata ufanye nini kukinaiana kupo ndo maana nasema infidelity ni inevitable. Ikiwa huo ndo ukweli basi watu wakicheat then wacheat responsibly. Need I say more?
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom