Du!
Wewe una uhakika kuwa hukuwahi kumtoa mtu mimba?
Hizi hukumu za wanaume zinakuwa na mfumo dume!
Kama hakupi mzigo ina maana hata kama alifanya kosa wakati huo basi alishajirekebisha, anataka upate kitu QUALITY siku ya siku!
kumbe alitoa kabla ya kuwa na wewe, sio issue anzieni hapo mlipokutana halafu mzee wa unhaaaaa miezi miwili tu ushatangaza nia na kuchukua jiko?
Kuhusu kutoa Mimba unaweza kumsamehe,no one is perfect atakuwa aliteleza,BUT usikubali kuoa bila
kula mzigo,utakuja kujilaumu maisha yako yote mkuu!!Never ever do that...utauziwa mbuzi kwenye gunia
mtazamo na ushauri wa hatari!
Kwa njinsi nilivyo muelewa mtoa mada kuwa alikuwa na matarajio makubwa sana yakuwa huyo mchumba wake hapendelei sana mambo ya kuduuu kwa sababu hata yeye muoaji kanyimwa sasa kinachomuumiza akili baada ya kugundua kuwa alishawahi kutoa kwa mwingine na mimba juu, Kwa upeo wangu kosa lilifanywa na huyo mchumba wake kwa kutokumueleza kwanini hapewi mpaka ndoa ingawa huko nyuma alishawahi kutoa
Let the by gones be by gones!!!!!!!!!!!!
Duh, kaazi kweli kweli... kujiuliza maswali yote hayo nitaja kufa kwa presha, chezea huyu kiumbe mwanamke weye...
Mie huwa siangalii nyuma hata kidogo, pale pale nilipoanzia ndio pananihusu, mambo yake ya ujanani yatanifaa nini mie,,,
Mama Ngina hebu songa ugali tule sie...
wanaume bana mnanichekeshaga sana du inaonyesha 90 ya wanandoa ni wazinzi waliokubuhu du?
Naungana na wewe ndio maana nikasema kuwa alitakiwa kumueleza mapema mf angemweleza sababu hiyo unadhani jamaa angekuwa na wasiwasi hivyo, wataalam wa mapenzi wansema kunavitu ni muhimu kuelezana mapema kabla kufika mbali kwenye mahusiano mf kama kuwa na mtoto, au ulishawahi kuoa/ kuolewa nk ili baadae isije ikawa kikwazo kwenye mahusianohampi cs anaogopa kurudia makosa,utajuaje uyo wa kwanza alivompa tu akamsaliti na ndio ikapelekea mdada kutoa mimba,sasa anaogopa isijirudie tena...cha msingi waendelee yaliyopita wasahau
Let the by gones be by gones!!!!!!!!!!!!
Duh, kaazi kweli kweli... kujiuliza maswali yote hayo nitaja kufa kwa presha, chezea huyu kiumbe mwanamke weye...
Mie huwa siangalii nyuma hata kidogo, pale pale nilipoanzia ndio pananihusu, mambo yake ya ujanani yatanifaa nini mie,,,
Mama Ngina hebu songa ugali tule sie...
sometimes the past has a way of catching up with you in the future...
The Boss naunga mkono hoja .....
Imagine kama una mpango wa kupata mtoto na mwenzio kwenye utoaji mimba wake kizazi kilinyofolewa, hali inakuwaje?
mkuu kuna mengi mno hapo
kizazi salama?
hakuna ugonjwa mwingine?
what if alitoa baada ya dokta kusema aitoe kuna magonjwa ya kurithi?kifafa?
what if?
what if?....
au bado wanawasiliana na aliempa mimba?