Utafanyaje baaaaaaaaaab?

First Born

JF-Expert Member
Jul 11, 2011
5,310
1,473
unaamka asubuhi kumcheki sweetie wako ndo yuko hivyo bibiiiiiiiiiii.jpg
 
Namchukulia poa kwani nimeshalala naye usku kucha angekuwa anataka kuniua mbona ningekuwa nishatangulia kuzimu. Unajikaza kisabuni unamchukulia poa usionyeshe wasiwasi mpaka akasituka hapo ndio anaweza kukudhuru.
 
Asee, mi namfunika na blanket usoni, then nacheck ikulu kama kupo flesh kwanza nijue cha kufanya!
 
mbavu zngu jaman,duh nko geto ucku huu lisijentoa nduki humu manake mi ingenitokea hapo hapo mkojo
 
mi ntamwomba ruhusa ya kwenda uani kwa kujifanya sijaona kinachoendelea, nikitoka tu nje, nasaka usawaaaaaaaa!!!!
 
Hakuna la kufanya zaidi yakushangaa. Baada ya muda kidogo, ni kukimbilia kwenye kioo, isije ikawa na mimi nimeshabadilika kama yeye!
 
Back
Top Bottom