Utafanya Nini?

Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,983
12,701
Utafanya nini ukikuta kwenye simu yako meseji inayosema:
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa David Cameroon, 09/11/2011, 14:37:11. Bado hajasema ni za nini ila kasema we jisikie huru kuzitumia"
 
Katavi, Katavi, Katavi!

Umewaza nini lakini mpaka ukaja kupost huo uzi? Teh, teh, teh.
 
mmmhhh... Nitatafuta mtu nimkope hizo hela, wakija kudai "haki yao" namlengesha jamaa...
 
Haa,ha,haa...
Duu...
Unaweza kukataa ukijua milele,,
vip akisema mara moja 2...!
Haa,haaa
 
Utafanya nini ukikuta kwenye simu yako meseji inayosema:
"Umepokea tshs. 2,000,000,000/= kutoka kwa David Cameroon, 09/11/2011, 14:37:11. Bado hajasema ni za nini ila kasema we jisikie huru kuzitumia"

Hiyo msg mi ningeiforward kwa Mukulu, ye si ndo anasemaga bila kuzurura huku akitembeza bakuli, ati twafaa. !
 
Hiyo msg mi ningeiforward kwa Mukulu, ye si ndo anasemaga bila kuzurura huku akitembeza bakuli, ati twafaa. !

Hiyo imekuja kwa ajili yako na sio mtu mwingine.....ila ni vizuri akatumiwa mukulu hiyo kitu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom