Utafanya nini nikiamua kukupa??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,258
20,708
Naamua kukupa penzi langu,nimeamua kukupa mamlaka ya funguo adimu za penzi nililolitunza bila kuguswa kwa mika zaidi ya 32. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nimeamua kukukabidhi WEWE,je utafanya nini?Unajua nilivyopitia changamoto za kutosha kabisa kulea na kulitunza,hebu niambie wewe mwanamke utalitunzaje?Ni sawa na umekabidhiwa mfuko wa dhahabu uliotunzwa kwa miaka mingi,niambie utakachofanya!!
 
Tusubiri walokabidhiwa hayo manake kwa kipindi hiki unambiwa umekabithiwa lakini kila kitu cha ki china...
 
kama mfuko wa dhahabu??/ acha kuuthaminisha uchi na dhahabu wewe!!! dhahabu ni pesa wewe, chezea pesa eeehhh???
 
ahh bikra si kitu bana....

1.utakuwa mgen mchezoni so utanipa kazi kukuelekeza so yabidi wewe ufikirie kunipa nini mimi kwa kwenye NTAKAYOKUFUNDA

2.32 yrs stl bikra thats shows how much ur DIFFICULT...so ata mahusiano yetu utansumbua sana kila kitu utajifikiria wewe tu na kujihesabia haki cz umejiaminisha una FUKO LA DHAHABU

3.Uwezekano wa viungo vyako kusizi kufanya kaz ni mkubwa zaidi....ile theory gan inasema et usipotumia kitu/kiungo chako mda mrefu/mwafaka bas kinadidimia/kudhoofika...

4.maisha ya sasa ni ufanisi wa kazi na ready to work after admission sasa kupotezeana mda wa kuwekeana X ili ujifunze ni kupotezeana mda afta loohh kumfunda mtu wakat ashakaribia miaka ya kuzeeka ni aghali sana na tabu kubwa cz awaelewi haraka....

NB;
sina dhamira ya kukuvunjia kanuni yeyote ya 64 wala 68....nawasilisha.
 
Khaaaaaa... Bi dada!
Nimecheka sana.
Mwanaume awe bikra thubutuuuuuu.....!
 
sitaki hata kusikia mabikra wa kiume! nataka ninate na bits we utakuwa unaugugumia tu, nataka mwendo wa farasi na slaps zake, we utakuwa unashangaa tu! si kwa ubaya, ila kapate experince halafu uje utangaze tena! kha! Eiyer shemeji yangu kwa Kaunga hujambo weye! halafu itake radhi dhahabu, halafu mabikra ndio zenu hizo, mara nimekupa cha thamani, mara nilijitunza, khaaaaaaaaaaaaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Waathirika wa punyeto hawajifichagi asee. Utatuchafulia dada zetu na bao za kijogoo. BTW mkono sweta ushakarabatiwa?
khaaaaaaaaaaaaaaaaaa! hubby, si umpe course kidogo, mwambie huwa unatufaidije wake zako!
 
Samaki mkunje angali mbichi. Unampeleka mzee chekechea? Utafiti nloufanya kwa hisani ya wakware unaonyesha wanaume wanaoanza kujamiiana baada ya miaka 30, hawawarizishi wake zao na wake zao wanakuwa hawana jinsi bali kuomba kufikishwa kileleni na mijanaume ya haja.
 
kwa kweli ubikra, tena wa kiume hauswiii! ila raha za Kaunga hizi, huwezi jua style zao! hubby sa mi mbona mith u?
 
Last edited by a moderator:
Mi nitakurudishia penzi lako maana nataka mtu full maskills na maexperience ya miaka isiyopungua 10 kwenye game.
 
Waathirika wa punyeto hawajifichagi asee. Utatuchafulia dada zetu na bao za kijogoo. BTW mkono sweta ushakarabatiwa?

Jamani huyu mtu si yuko na Kaunga, sasa hii uliyoitaja anaifanya ya nini? Kaunga yupo wapi atupe ukweli!
 
Naamua kukupa penzi langu,nimeamua kukupa mamlaka ya funguo adimu za penzi nililolitunza bila kuguswa kwa mika zaidi ya 32. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .Nimeamua kukukabidhi WEWE,je utafanya nini?Unajua nilivyopitia changamoto za kutosha kabisa kulea na kulitunza,hebu niambie wewe mwanamke utalitunzaje?Ni sawa na umekabidhiwa mfuko wa dhahabu uliotunzwa kwa miaka mingi,niambie utakachofanya!!

hata mimi hivyohivyo miaka zaidi ya 20 bila kuguswa tukiunganisha tutapata kitu zaidi ya dhahabu nitakuweka katikati ya moyo.come this way baby
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom