Utafanya je?

B'REAL

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
4,279
2,733
ulikuwa wewee mkeo na mamaa mkwe mnasafiri kwenda mkoani,kwa bahati mbaya mkapata ajalii mbayaa sana baada ya basi kupinduka,wasamaria wakawapeleka hospital,mkeo na mama mkwe walikuwa wameumia sana,ikabidi wa fanyiwe operation ya kuwaunga,na kwa bahati mbaya ma doctor wakachanganya.sehemu ya kiuno kupanda juu[kiwili wili}cha mkeo akaungiwa mama mkwe na kiwili wilii cha mama mkwe aka ungiwa mkeo.kwa bahati wa kaponaa.ila madaktari wakagundua na kukupa tarifa ya kuchanganyaa operation.JE KAMAA WEWEE UTAFANYA JE AU UTAMCHANGUA YUPI?
 
hiyo haitawezekana kiukweli yaani wakatike vipande viwili halafu waungwe wapona,,,,, vipi we jamaa mzima kweli???? naona waleta storry za tom and jerry... usitegeemee majibu kwa hili.....samahani lakin kama nimekukera kwa hili..
 
utanisamehe bure lakini mie sioni kichwa wala miguu ya hii thread..

usikasirike ae....
 
hili swali hata wanafunzi wa udaktari watafeli, hebu wewe tupe jibu. Maswali mengine bwana du, tabu kwelil kweli
 
Mi nimekukubali mtu wangu, Ndoto yako ni ya ukweli...probably ulikuwa usingzi mzito.
 
kuna kitu anauliza hapa hamjamuelewa vizuri. swali ni kwa unapooa, unaoa nusu ya juu ya mwili au nusu ya chini? au unapofanya mapenzi, unafanya na nusu ya juu ya mwili au nusu ya chini?

back to your question. mtu haoi nusu mwili bali mwili mzima, akili, roho, hisia nk, yaani mtu huoa mtu mzima mzima akiwa kamili na jumlajumla, huwezi kupenda derivative ya mtu yaani hakuna differentiation wala hakuna ceteris paribus assumption kwenye marriage ndugu yangu! ndoa na mapenzi lazima yahusshe mwili na akili kwa ukamilifu wake wote. unapaswa kumchagua uliyemuoa kwanza, yule uliyemchumbia, mkakubaliana na mioyo yenu ikapendana na kuridhiana. i know kuna watu wanpenda huko chini tu, hao ndio watakuwa na mtihani mgumu zaid
 
Hivi user name yako ni B'REAL au BRELA?

Anyway back to your question, binafsi ntamchagua yule tuliyeunganishwa pamoja madhabahuni na mwenye MOYO nilouchagua.
 
Back
Top Bottom