utachukua uamuzi gani

Eversmilin Gal

JF-Expert Member
Feb 5, 2012
778
269
hope wote mmechaguliwa kuiona tena leo kwa wagonjwa mungu awatie nguvu
Back to the topic;ulikua unamuamini sana mpenzi wako ingawa ulikua ukisikia ni bonge ya player na ulikua unaignore kwa sababu ulimpenda,na yeye mwenyewe alikua kisema anasingiziwa na wale wote ambao uliambiwa nao hizo story za yeye ni player wamekua adui zake,lakini sasa mna familia anaanza kukuhesabia mademu kibao ingawa anasema wote amewaumiza kwa ajili yako swali la kwanza player anaweza akabadilika na kuacha,kwa nini aongope ck zote halafu yale yote uliyokua ukijua ni uongo kumbe yalikua ni kweli unafanyaje ,tujadili
 
Player anaweza kubadilika kama si mlevi, ila kama ni mlevi subutu.

TABIA NI NGOZI, KUBADILIKA NI KAZI
 
Pengine alidanganya ili asikuumize,na usije kukata tamaa ya kuolewa nae...otherwise, kama anatimiza majukumu ya ndoa na anahis hana tabia za ovyo so far..then apotezee tu hiyo history.
 
Hahaaaaaa!(Its not a laughing matter n im ashamed of my self!!!!) HIYO IMEKULA KWAKO MAZIMA! Kimujini tunasema UMEBUGI STEP!!!! Kwa uzoefu wangu ONCE A PLAYER ALWAYS A PLAYER. Huyo kubadilika ni kwa MAOMBI TUUUU! Funga na kukesha ukimlilia muumba, automatically hamu ya uzinifu itamtoka! LOLEST! HAPANA CHEZEA UPAKO!!!! Akiona zinga la mfododo miraculously anamuona demu kapigwa pasi vibayaaaa!LOLEST!!! (IN GOD U SHOULD TRUST)
 
Kikubwa ni kuangalia hali iliyopo na kusamehe yote aliyokuambia hataa kama mwanzo alikukatalia.
KOSA SI KOSA KAMA HALIJARUDIWA NA MHUSIKA.
 
Aisee dada usiumie moyo wala usikatishwe tamaa na wanaokwambia ngozi haibadiliki, kama yeye mwenyewe amedeclare kwamba the past is over, it means is over, wewe unamuonaje? Je anatimiza majukumu? Je uelewano upo? Usijiumize roho kumfuatilia..... Forget forgive na shirikianeni katika ujenzi wa taifa.
 
mi napingana na washirika wanaosema tabia ni "ngozi"

Inakuwaje mtu ana tabia nzuri tu kabla ya kuoa/kuolewa halafu anabadilika hadi anakuwa kituko?

mi naamin binadam anabadilika wakati wowote bila kuangalia historia yake.
 
Hahaaaaaa!(Its not a laughing matter n im ashamed of my self!!!!) HIYO IMEKULA KWAKO MAZIMA! Kimujini tunasema UMEBUGI STEP!!!! Kwa uzoefu wangu ONCE A PLAYER ALWAYS A PLAYER. Huyo kubadilika ni kwa MAOMBI TUUUU! Funga na kukesha ukimlilia muumba, automatically hamu ya uzinifu itamtoka! LOLEST! HAPANA CHEZEA UPAKO!!!! Akiona zinga la mfododo miraculously anamuona demu kapigwa pasi vibayaaaa!LOLEST!!! (IN GOD U SHOULD TRUST)

I hardly agree with you lara 1
People change as their age changes too..
Unaweza kuwa player mzuri but once ukiingia kwenye ndoa hizo makitu zinakufa zenyewe..
In actual fact there is no rule of thumb about that.. inategemea na mtu aisee..
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaaa!(Its not a laughing matter n im ashamed of my self!!!!) HIYO IMEKULA KWAKO MAZIMA! Kimujini tunasema UMEBUGI STEP!!!! Kwa uzoefu wangu ONCE A PLAYER ALWAYS A PLAYER. Huyo kubadilika ni kwa MAOMBI TUUUU! Funga na kukesha ukimlilia muumba, automatically hamu ya uzinifu itamtoka! LOLEST! HAPANA CHEZEA UPAKO!!!! Akiona zinga la mfododo miraculously anamuona demu kapigwa pasi vibayaaaa!LOLEST!!! (IN GOD U SHOULD TRUST)

mbona maombi hayajaku okoa wewe utulie?
 
mbona maombi hayajaku okoa wewe utulie?

Hahahaaaaa! Mi mtulivu sana sema hujui tu! Swala la uchunaji, guilty as charged ila UZINIFU no way!!!! People like me, i show them support and appreciation!!!!! The world is a lonely place eeeeh! So if u want my company and u can afford to lavish me, without caring of payments, why not show you some love by giving you my company! LOLEST!!!

Ila for real naomba nipate mume mwema, nizae, my biological clock is TICKING!!!!! LOLEST!!!!
 
kweli inaweza kuwa ngumu kumbadilisha kwa sababu ni mpaka atambue ndani ya moyo wake kwamba anachokifanya sio sahihi lakini kubadilika kwa kuambiwa its kind of hard!
 
Back
Top Bottom