Utacheka hadi upaliwe!!! - Video

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Mar 10, 2006
33,474
39,987


Siwezi kusema mengi.. msikiliza na kumfuatilia mtangazaji!! Asante Da'Subi for this one!
 
Last edited by a moderator:
Ahahaha! Kilichonichekesha zaidi ni jinsi huyo jamaa alivyokuwa anasimulia kiasi kwamba hadi akazidiwa na kicheko.
 
Nimecheka anavyocheka huyo mtangazaji..

Kumbe hata wewe lol! Mwalimu anajifanya anajua hesabu Mwanafunzi anamwambia wewe humjui Baba yangu. Yeye kukopa harusi kulipa ni Matanga lol! anaweza akajichimbia hata chini ya uvungu kumkimbia mdeni wake.

 
Mangi mtoto anachelewa darasani. Mwalimu akamdaka na kumuuliza kisa cha kuchelewa...

Mangi Mtoto: "ahh, unajua Mwalimu, kuna mama mmoja aliangusha pesa."

Mwalimu: "aaha, kwa hiyo ukaamua kumsaidia kuziokota?"

Mangi mtoto: ".....ahhhhhh, hapana. Nilisimama juu ya noti ya Elfu kumi...."
 
Back
Top Bottom