Utabiri wangu Mhe JK hatatia sahihi waraka wa ongezeko la posho za wabungu

kimboka one

JF-Expert Member
Jan 23, 2010
734
85
kwa upepo unavyosoma Jk Hataweka mkono wake kwenye waraka wa kuwaongezea wabunge posho.hii ni kutokana na tishio la waalimu kugoma japo wamedanganya kuwa wameanza kulipa madeni yao,lingine ni wananchini kupiga kelele kupitia vyombo vya habari.fanya hivyo JK
 
Mle hamna kitu, atasaini tu, si anayo majeshi ya kudhibiti migomo na maandamno?Mkuu hukusoma ujumbe aliokuwa anatuma kwa umma wa watz siku ya maadhimisho ya miaka 50 ya Tanganyika? Anajidanganya sana huyu kuwa kwa kuwa yeye ni amiri jeshi mkuu basi lolote analolitaka lazima liwe.
 
kwa upepo unavyosoma Jk Hataweka mkono wake kwenye waraka wa kuwaongezea wabunge posho.hii ni kutokana na tishio la waalimu kugoma japo wamedanganya kuwa wameanza kulipa madeni yao,lingine ni wananchini kupiga kelele kupitia vyombo vya habari.fanya hivyo JK

Unatabiri au unarudia habari ambayo iko kwenye magazeti kwa zaidi ya week sasa? Soma raia mwema toleo la jumatano iliyopita, inasema wazi kabisa kuwa rais amegoma ku-sign waraka wa posho.
 
Nchi imefilisika, hataweza kusaini ndo maana amemwambia vuvuzela wake adanganye kwamba hata CCM hawataki ongezeko...
 
kwa upepo unavyosoma Jk Hataweka mkono wake kwenye waraka wa kuwaongezea wabunge posho.hii ni kutokana na tishio la waalimu kugoma japo wamedanganya kuwa wameanza kulipa madeni yao,lingine ni wananchini kupiga kelele kupitia vyombo vya habari.fanya hivyo JK

Rafiki, analysis yako sio sahihi. JK hana maamuzi yanayojitegemea-independent thinking/reasoning and decisions!!! If it were Nyerere, then you would be right. Sikutegemea kama Jk angelisaini muswada wa sheria watanzania kwa mamilioni walivyopiga kelele!!!! Akawapuuza!! hawezi kuwaudhi wabunge wa CCM, anawaogopa. Nyerere kwa jambo la msingi kama hilo alikuwa tayari kuvunja bunge wakahukumiwe na wananchi. JK hana ubavu/ujasiri huo na hatakuwa nao milele!!!
 
Back
Top Bottom