Utabiri wa Zitto watimia

Sio utabiri bali ni strategy ya CDM iliyowapeleka wapambanaji wake sehemu zote husika.. Sisi hapa ndio tulikuwa tukitupiana vijembe tuu bila kujua kinachoendelea - CDM waneshinda kote kutokana na maandalizi mazuri tuache vijembe tuwapongeze viongozi wetu.
 
... Great Observation!!!
 
CHADEMA msivurugwa na magamba na mkielewena kwenye chama 2015 mnachukua nchi jipangeni vizuri watumieni Wazee (Prof. Baregu, Slaa) na mawazo mapya ya vijana(Zitto, Wenje, Lema, sasa Nassari, Lissu) kuiangusha CCM. Hongereni,nikitaka kutuma mchango nafanyaje? please mwenye kujua anipe details kwa: franktemu123@yahoo.co.uk Frank, hapa mimi sina M-PESA,wala Tigo pesa. Nafikiri njia rahisi ni western union.. please ziwe details za chama si akaunti ya mtu binafsi
 
Safi sana mkuu,naamini utapatiwa details kwenye email yako.
 
Hatimae yale aliyoyatabiri Mhe. Zitto Kabwe katika mkutano wa lala salama kule Kirumba Mwanza yametimia.
Jionee mwenyewe..... Peopleeessssssssssssssssssssss ssssssssss

masalia ya zitto .huko kanda ya ziwa mtanado wenu mnaendelea kuujenga siyo maana zitto alikuwa anzunguka na kundi lake tu

Sio utabiri bali ni strategy ya CDM iliyowapeleka wapambanaji wake sehemu zote husika.. Sisi hapa ndio tulikuwa tukitupiana vijembe tuu bila kujua kinachoendelea - CDM waneshinda kote kutokana na maandalizi mazuri tuache vijembe tuwapongeze viongozi wetu.

na wewe ni masalia wale wale tu.endeleeni kujiimarisha na wewe unaingia kundi hili

https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ry-ben-kafulila-and-masalia-ya-zitto-cdm.html
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom