Utabiri wa wazee hawa unaanza kutimia, CCM ya Kikwete ikawaangukie mapema!

MANGUNGO

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
1,536
352
Mzee Kaduma na Butiku walionya juu ya rushwa na ufisadi.wakatabiri kifo cha ccm kabla 2015,Nape akakanusha!Nawasilisha!
 
ccmrip.jpg

rip ccm!
 
wameshatafuna vya kutosha, sasa wanaingia kwenye kapu la historia, tena mbaya
 
kwa nini na hao wazee wasiwasusie chama ambacho hakina muelekeo kwasasa
 
Tatizo la ccm ni kutosoma alama za nyakati kwamba misingi iliyokilea chama imeuzwa kwa wenye fedha hivyo siku zote mwenye fedha anaangalia faida
 
kwa nini na hao wazee wasiwasusie chama ambacho hakina muelekeo kwasasa

CCM fanyia kazi maneno mazuri ya hayati Kolimba. mwelekeo munao na tumeona ktk elimu ila sasa achana na kiburi cha kuchukia wayahudi kutusaidia na kugandamana na mataifa ya kiarabu ambayo hayana lolote kwetu bali kutufanya kuwa anti-west. Huwezi kujenga jamii wa ya a good working class kama tutabakia kuchukia western europe, USA na Israel.

Majeshi ya uvamizi Iraq, au kutaka bush ashitakiwe the hague, au kudai marekani ni chanzo cha vurugu duniani, haya sisi yasiwe maneno yetu bali ya aachiwe nchi za kiarabu tuu ambao. wao hudai west, USA and Israel inataka kuulia dini yao. sisi tuwe na dira ya kufaidia sana na maslahi ya hao mataifa tajili kuliko kujiingiza katika chuki za kiarabu. vita vya kuwatafutia watu ajira ni kazi kuliko kudai uhuru. so please CCM change the way you live.
 
[/COLOR]

Na wewe ndiyo umeamka hujanawa uso nini? Kwani matatizo ya nchi yetu yanatokana na kuchukia Magharibi, USA na Israal? Kwa hiyo ukishakuwa na mahaba nao basi matatizo yako yamekwisha, siyo? Great thinker indeed!!!!!
 
Back
Top Bottom