Utabiri wa Sheikh Yahya Hussein watimia

Mtoa mada asishambuliwe sana!!!

Anawakilisha kundi kubwa!! Hasa wabunge na mawaziri wengi na pia wasomi wa madaraja ya juu!!

Kutwa kucha wanatumia muda mwingi kwenye Ushirikiana ... ndio maaana mtoa mada alifikiri anafanya jambo la kawaida tu!!!!

Lakini hii mentality ya kiusirikina itaingamiza taifa hasa wakati huu wa uchaguzi... haina budi Kukemewa kwa nguvu zote...!!!

Hapa mtoa mada ana force data zienadane na perception za Mtabiri na kumhalalisha....

What a shame!!!!!!
 
:playball:shekhe yahaya nataka mume mie utanioa?nataka mume mwenye akili kama zako!!!!!!!
i lke viraza n wen u mit mwnaume kilaza anakuwa kilaza kweli kweli yan!!!
inakuwaje mtu anakuwa ana mawazo mgando kiasi ik?then anajifull kwa kuona wa tz wengine wote hawana akili wanaweza tu kudanganywa na vijiuongo vyao vya kitoto??
we PR wa sheikh yahya ebu acha kujiroga na uende ukamwambioe bos wako wa tz wana akili pia wanajua blak n green.
YES YES nimekumbuka:confused2: nataka jini moja ..JINI MOJA KWAN SH NGAP?EBU kamwulize bos wako then nletee plafoma pls.
NB; ilo jini liwe na jinsia mbili
ahsante sana.
 
Back
Top Bottom