Utabiri wa Mwalimu unatimia: CUF lazima ife tu!

Kwa sasa Wazanzibari hawaangalii kufa kwa CUF wala CCM zaidi wanajikita katika kuisimika Jamuhuri ya watu wa Zanzibar iliyo huru kabisa! Mutake musitake kuingia kwa CUF ndani ya Serikali hapa Zanzibar mambo yamekua tofauti kwa mustakabali wa Zanzibar, Wazanzibari na Uzanzibari! Sio siri Raia wengi wamepatwa na hamu na shauku kubwa hususan katika kutaka kuikomboa Zanzibar iliyo huru! Nyinyi leteni majungu yenu munavyopenda ila ipo siku historia itakuja kuwasuta. Leo saa 10 jioni tunawaalika muhudhurie Lumumba muje mushuhudie jinsi Wazanzibari walivyokua wamoja kwa sasa, tofauti na Tawala zote zilizopita. Zanzibar Daima Mbele. Am proud to be Zanzibari! Watanganyika mwaka huu imekula kwenu, kilichobaki kwenu ni kupika majungu tu dhidi ya Wazanzibari. Nchi kwanza mambo mengine baadae. Vyama vinakuja na kuondoka lakini Zanzibar ilikuwepo, ipo na itaendelea kuwepo!

Hapo mwanzoni kabisa mwa hii post yako ungekuwa mkweli kuandika Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
(JKWZ). Unamzuga nani kuwa kigezo kikubwa cha kuing'ang'ania hiyo jamhuri yenu sio UDINI?
 
Kaka una matatizo gani wewe! Naona michango yako yote lazima uweke UDINI! Jirekebishe kabla haijafika siku yako ya kuumbuka.
Punguza jazba mkuu! Kwani Mtukufu Basaleh si ndo atakuwa Waziri mkuu kwenye serikali ya Jamhuri ya Kiislam ya watu wa Zanzibar ama sio?? Ni habari tu nimezisikia hapa Buguruni kwa Mnyamani jirani na Masjid moja hivi
 
Hapo mwanzoni kabisa mwa hii post yako ungekuwa mkweli kuandika Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
(JKWZ). Unamzuga nani kuwa kigezo kikubwa cha kuing'ang'ania hiyo jamhuri yenu sio UDINI?

Wazanzibari hawana
kero katika muungano
ila wanataka
wahisabiwe kuwa nchi yao ni dola kamili na
wapewe fursa
yakutowa maoni yao
kama wanataka
kuendelea na
muungano, na namna ya kuutekeleza
muungano huu
Nyerere nae alifurahia
muungano huu
kwasababu alipata
fursa ya kuimeza Zanzibar, kwa vile
hakuwa na uwezo wa
kuviburura visiwa hivi
mpaka katikati ya
Bahari ya Hindi.Ni chuki
aliokuwa nayo mtu huyu pamoja na
wenzake, juu ya watu
waZanzibar ambayo
haina mithali.
Mapinduzi na
muungano ni maonevo waliotendewa
waZanzibari. Sababu ya
chuki? Wanazieleza
wenyewe hao
waliokuwa nazo huko
waliko, na watazieleza hawa waliobakia nazo
watapokutana na
wenziwao
waliotangulia.
Chuki hizi zinalingana
na zile alizokuwa nazo kiongozi wa zamani wa
Ujarumani Adolf Hitler
wakutaka
kuwateketeza
Mayahudi wote
waliokuwa wakiishi ndani ya nchi yake na
zile nchi alizoziteka.
Ati bado unakariri
maneno haya chuki
yaliosemwa na Nyerere.
Kama wewe kweli unaipenda nchi yako na
raisi wako wa zamani,
basi ilikuwa usiyakariri
maneno haya
hadharani. Bw. Rasmi
maneno haya yanadhihirisha udhaifu
wa roho na husda
aliokuwa nayo Nyerere
juu ya waZanzibari.
Zanzibar ya zamani
hikuwa nchi omba omba. Angalia
mapinduzi na
muungapo
yalipoifikisha hivi sasa
 
Hapo mwanzoni kabisa mwa hii post yako ungekuwa mkweli kuandika Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Zanzibar
(JKWZ). Unamzuga nani kuwa kigezo kikubwa cha kuing'ang'ania hiyo jamhuri yenu sio UDINI?

99% ya Wazanzibari ni Waislamu, jee kuna ubaya wowote iwapo tutajitenga na Watanganyika na baadala yake tukafanya mchakato wa kuanzisha DOLA YA KIISLAMU? Jamuhuri ya Watu wa Zanzibar (au hata ukiita Jamuhuri ya Kiislamu ya Zanzibar) inanukiaaaaa!
 
Wazanzibari hawana
kero katika muungano
ila wanataka
wahisabiwe kuwa nchi yao ni dola kamili na
wapewe fursa
yakutowa maoni yao
kama wanataka
kuendelea na
muungano, na namna ya kuutekeleza
muungano huu
Nyerere nae alifurahia
muungano huu
kwasababu alipata
fursa ya kuimeza Zanzibar, kwa vile
hakuwa na uwezo wa
kuviburura visiwa hivi
mpaka katikati ya
Bahari ya Hindi.Ni chuki
aliokuwa nayo mtu huyu pamoja na
wenzake, juu ya watu
waZanzibar ambayo
haina mithali.
Mapinduzi na
muungano ni maonevo waliotendewa
waZanzibari.
Sababu ya
chuki? Wanazieleza
wenyewe hao
waliokuwa nazo huko
waliko, na watazieleza hawa waliobakia nazo
watapokutana na
wenziwao
waliotangulia.
Chuki hizi zinalingana
na zile alizokuwa nazo kiongozi wa zamani wa
Ujarumani Adolf Hitler
wakutaka
kuwateketeza
Mayahudi wote
waliokuwa wakiishi ndani ya nchi yake na
zile nchi alizoziteka.
Ati bado unakariri
maneno haya chuki
yaliosemwa na Nyerere.
Kama wewe kweli unaipenda nchi yako na
raisi wako wa zamani,
basi ilikuwa usiyakariri
maneno haya
hadharani. Bw. Rasmi
maneno haya yanadhihirisha udhaifu
wa roho na husda
aliokuwa nayo Nyerere
juu ya waZanzibari.
Zanzibar ya zamani
hikuwa nchi omba omba. Angalia
mapinduzi na
muungapo
yalipoifikisha hivi sasa
Hii ni dalili tosha ya mtu asiyejua atokako na anaenda wapi.

Aliyewaokoa wazanzibari nai?
Kama si Mwalimu, waarabu(na wahindi) walikuwa wakifyekwa kama migomba iliyosheheni ndizi, na walikuwa wakiuwawa kweli.
Msingi wa kumlaumu Mwalimu Nyerere siuoni hapa ila jazba na ujinga wa kutojua Mpemba Mbishi alikotoka.

Inshallah, Sirikali yenu ya Zanzibar mtaipata mkipata majaaliwa.
Lakini inaelekea bado hamjajifunza historia wala kuelewa kilichotokea huko nyuma.

Mapinduzi yalitokea baada ya utwana na ubwana kutawala Zanzibar, na mapinduzi hayo HAKULETA MWALIMU.

Waulizeni huko huko kwenu nani alileta mapinduzi na ni kwa nini.Nahisi wewe Mpemba Mbishi una asili ya uarabu, basi urudisheni utwana na ubwana ili mapanga yarudi tena.

Juu ya muungano hakuna Mtanzania bara anyeuhusudisha sana muungano wa kuwabeba wazanzibari kila leo kama watoto wadogo.
 
Kwa jina la Baba, Mwana, Mama (palipo na mwana lazma pawepo na mama) na Roho Mtakatifu!!!!!

Dhihaka zote hizi kutoka Kwako mpemba mbishi Ni kutokana na ile DHAMBI ambayo Karibu kila mtu huku JF analia NAyo....DHAMBI ya ubaguzi(hasa wa kidini)...umetawaliwa na Chuki na dharau kubwa sana hasa kutokana na imani Yako katika dini, kwamba wale wote wasokua wa islam basi wao Ni wajehanam (kana kwamba umepewa mamlaka hiyo na Allah subhanallah!), Nawe katika iiman ushafaulu mitihani ya Mwenyezi Mungu. Sisi huku Tanganyika pia tuna imani katika uislam na kwa kuwa hawa unaowakashifu Ni ndugu zetu, jamaa zetu na Marafiki zetu pia hauwezi kuliondoa hilo. Tuna na tutaendelea kuwaheshimu na kushirikiana nao kwa kila jambo, katika furaha na hata matatizo ya kimaisha na hakuna wakubadili Hilo.
kwa kashfa unazotoa bado cjaona usafi wako zaidi ya kushindwa kukutofautisha na wale wanaojitoa mhanga kwa Madai ya kutetea uislam. Lakini kaa ukitambua kwamba "DHAMBI HII YA UBAGUZI ITAENDELEA KUWATAFUNA" na inastahili KUWATAFUNA na kwa DHAMBI hii hamtofanikiwa Malengo yenu kwa Umimi wenu.
 
Kaka una matatizo gani wewe! Naona michango yako yote lazima uweke UDINI! Jirekebishe kabla haijafika siku yako ya kuumbuka.
Umesahau ulivyokuwa ukihubiri udini hapa jamvini kipindi cha kampeni kule Uzini? au mtandao wenu wa mzalendo.net munahubiri nini?
 
Well said mkuu!....binafsi japo siipendi ccm, lakini nawashukuru viongozi wa ccm kwa kuifanya Zanzibar kama koloni letu la kudumu na wananchi wake kama watumwa wetu wa kudumu....sipendi kuandika kitu hiki hapa jamvini lakini siyo siri hawa jamaa wanakela sana kwa kauli zao tata zenye sumu kali

Hakika wanakera, wanashindwa kujitambua. In reality Wazanzibar ndio kwanza wanaaproach million moja in total na ktk figure hiyo Tanzania Bara kuna Wazanzibar zaidi ya laki moja hadi na nusu hv wamehamia huku na wanamakazi ya kudumu hapa. Vp hawa washawahi kujiuliza Ni Wazanzibar wangapi wamewekeza bara? Ni kwa nini wamewekeza na kuhamia kwa idadi kubwa hivyo na Isiwe wakenya AMA waganda?! Ni nani anafaidika na Huu muungano basi? In reality wao Ni Kama Kabila moja tu kwa Tanzania. Hivi idadi Yao inafikia hat nusu ya idadi ya Wasukuma tu kwa Mfano? Wana ardhi ya kulima hawa? Kuna tatizo hapa......naamini Maswali Ni mengi kuliko majibu, lakini hata hivyo nasema WANASTAHILI KUTAFUNWA NA HII DHAMBI WALIOJIPANDIKIZIA. Naamini sasahv kila Mtanganyika atakua amejua Ni kwa nini Mwalimu Nyerere alizungumza Yale maneno na kusisitiza kwenye hii DHAMBI.
 
Hakika wanakera, wanashindwa kujitambua. In reality Wazanzibar ndio kwanza wanaaproach million moja in total na ktk figure hiyo Tanzania Bara kuna Wazanzibar zaidi ya laki moja hadi na nusu hv wamehamia huku na wanamakazi ya kudumu hapa. Vp hawa washawahi kujiuliza Ni Wazanzibar wangapi wamewekeza bara? Ni kwa nini wamewekeza na kuhamia kwa idadi kubwa hivyo na Isiwe wakenya AMA waganda?! Ni nani anafaidika na Huu muungano basi? In reality wao Ni Kama Kabila moja tu kwa Tanzania. Hivi idadi Yao inafikia hat nusu ya idadi ya Wasukuma tu kwa Mfano? Wana ardhi ya kulima hawa? Kuna tatizo hapa......naamini Maswali Ni mengi kuliko majibu, lakini hata hivyo nasema WANASTAHILI KUTAFUNWA NA HII DHAMBI WALIOJIPANDIKIZIA. Naamini sasahv kila Mtanganyika atakua amejua Ni kwa nini Mwalimu Nyerere alizungumza Yale maneno na kusisitiza kwenye hii DHAMBI.
Mkuu,achana na hawa watu! yaani baadhi ya Wanzazibari ni pasua kichwa....mfano mdogo ni huyu Mpemba Mbishi.
Niliwahi kuishi Zanzibar' asikuambie mtu hawa jamaa wanawazarau watu wa Bara usipime! eti wakimuona mtu wa Bara wanamuita Chogo au Kafiri! yaani hata kama utakuwa muislam umetokea Bara ni lazima watakuita Kafiri au Chogo.
Alafu wanajifanya wajuaji wa kila kitu....kumbe hawana lolote ndani ya vichwa vyao. Binafsi naichukulia ZNZ kama wilaya fulani ndani ya Tanzania....Zanzibar si nchi,si jiji,si mkoa....zanzibar ni sawa na wilaya ya Mufindi
 
Kutokana na matukio ya kisiasa hasa kwa Nchi ya wenzetu ya Zanzibar,mambo si shwari tena katika Chama cha Wananchi, CUF.

Mwalimu alitabiri , tena kwa uhakika, kuwa mtu akifanya dhambi ya ubaguzi wa "sisi Wazanzibari dhidi ya waTanganyika ndani ya Muungano. Na kuendelea na sisi Wazanzibaari , wao Wazanzibara ndani ya Zanzibar, dhambi hiyo itawamaliza"


Kweli kabisa dhambi ya ubaguzi huo tunaiona live katika siku hizi za karibuni.
Msingi wa GNU, serikali ya umoja huko Nchini Zanzibar imetokana na kuibagua Tanganyika, ambayo haijui lolote juu ya makubaliano yo Wazanzibari.
Tunakumbuka kuwa makubaliano hayo yalifanywa kwa siri kubwa. vinara wa makubaliano hayo wakiwa Maalim Seif na Aman Karume.

Dhambi ya ubaguzi imeenda mbali zaidi na imehamia NDANI ya chama cha CUF chenyewe, waasisi wa ubaguzi huo.
Ni jambo la kushangaza kuwa sasa hata Wapemba NDANI ya CUF wanageukana wao kwa wao.
Maya zaidi dhambi hiyo iliyokuwa inafichwa fichwa sasa iko wazi kwa maneno ya Naibu Katibu Mkuu wa CUF, Bwana Jusaa kwamba CUF ni chama cha waislamu na kuwa chama kisicho na misingi ya kiislamu au "wahamiaji" toka bara hawana nafasi huko Unguja.

Leo hii tunashuhudia wananchi toka pande zote za muungano wakikimbia cham cha CUF kama nyumba inayotarajiwa kuanguka wakati wowote.

Si muda mrefu tutajua kuwa ile slogan ya " mapanga shaa shaa" itawarudia wenyewe waUnguja kama hawakujirekebisha.
Kweli Mwalimu aliona mbali!

Mbona dhambi wanazotufanyia ccm ni kubwa kuliko za cuf alafu kifo cha ccm kinakwenda polepole kuliko cha cuf?
 
Mungu ni nwema siku zote anajibu maombi.Hakuna dhambi mbaya kama ya ubaguzi wa kidini.Lazima ikutafune tu

Dhambi ni dhambi tu haijalishi ni ubaguzi wa dini au ni unyonyaji kama huu wanaotufanyia ccm
 
Ila CUF bado inaamini inanguvu za kupita salama dhoruba hii waliyonayo. Nisichowaelewa mimi ni kuwa walipopata tu GNU wameona wamefika walipotaka. Kumbe jambo usilolijua ni sawa na usiku wa kiza...CCM si wajinga wajinga kiasi hicho
 
Hhahaha, munaota kabisa. CUF inazidi kuimarika. Angalia nafasi walizochukua CUF katika GNU na waone maendeleo wanayoleta kwa wananchi wao. Nyinyi munazungumza radio kifua tu. Angalia majimbo ya CUF zanzibar yanavyofanyiwa kazi ukilinganisha na majimbo mengine. Angalia wawakilishi walivo NGANGARI. Huu ndio mwenendo utakao ipa CUF heshima kubwa kisiasa.
 
Siku Seif Sharrif atakapoacha kuwa kiongozi wa cuf ndiohali halisi ya kisiasaya cuf itakavyoonekana. CUF bila Seif haiwezekani.

Kuwa serious kidogo na taasisi za watu..

CUF ni taasisi inasimama bila kuwepo Seif wala Lipumba..CUF ni taasisi ni si mtu.
 
Back
Top Bottom