Utabiri wa hali ya umeme kwa siku ya leo

hata ukirudishwa unaweza usifike kwa wakati unaokusudiwa, hivi unatarajia umeme upite foleni ya buguruni, tazara, taifa halafu ukutane na foleni ile ya zakiem mda wa kukatwa si utakuwa umewadia tena? hameni uko mbagala nyie, na safari hii mabomu yanarudi tena huko.

Aisee bwana mtabiri hii si haki...yani this time mmetuamulia kabisa!!!
Mbagala sihami nina mashamba yangu ya mihogo nitamuaxhia nani xaxa!??
 
Du!! Unajua mimi siamini kama kweli zanzibar hakuna mgao wa umeme! Maana huo umeme wanaoutumia umetoka tanzania bara. Hiyo ni nomaaa!
 
Mi napanda dau juu ya hayo mashamba nitatoa Tshs 20,0050/= . Kama utapanda dau zaidi ya hili langu, itabidi tuitishe mnada may be wakapatikana wa kukuzidi wewe.
 
Back
Top Bottom