Sniper
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 1,915
- 709
Pepo za umeme zitavuma taratibu kutoka upande wa kusini mwa Dar es Salaam kuelekea upande wa Kaskazini. Hivyo kutakuwa na umeme mchache maeneo yote ya Jiji na ngurumo nyingi za Jenereta pande za Kariakoo, Mwenge, Posta na maeneo yote ya katikati ya jiji la Dar es Salaam.
Na kwa wakati wa usiku watu wa Mbagala, Kigamboni, Kimara, Mtoni na maeneo yote ya jirani wilaya ya Temeke na Kinondoni kutakuwa na Kiza kisichojulikana mwisho wake.
Maeneo ya Sinza, Mbezi na Tegeta kutakuwa na miunguromo ya jenereta hapa na pale nyakati za usiku. Hii ni kutokana na familia chache zinazotumia jenereta nyakati za usiku
Utabiri huu umeletwa kwenu na Mamlaka ya Utabiri wa Nguvu za umeme waTanesco, Ubungo ghorofa ya Pili.
Nawatakia siku njema. Ahsanteni.