UTABIRI: CHADEMA Kuparanganyika na kuwa HIstoria, CCM Fanyieni kazi haya.........

Nasema hivi, kama ccm itashinda arumeru basi ndio itakuwa mwisho wa chadema . Lazima mgogoro mkubwa utaibuka . Na hili ndio nalisubiria . Kwi kwi kwi kwi kwi......
 
Kama hamkukiuwa miaka hiyo haitatokea kwa hiyo unataka tubaki na Marehemu CCM tuu kama ni hivyo kitakachofuata ni nchi kuingia vitani bora demokrasia ifuata mkondo wake ili hao vijana wasiingie msituni wawe na pakusemea ,hivi unajua hao vijana fuata upepo ndio watakaochukua mitaa,kata na halmshauri wee endelea kuzarau nguvu yao

Nasikitika sana vijana wa CDM kujibu kwa hasira post ambayo haiwahusu, huu ni ushauri kwa CCM. vijana hao hawajui hata sera maana yake nini, CCM ingawa sio chama changu inajivunia watu wazima na wakina mama ambao ni nguzo imara na makini, hawarukupuki kufanya maamuzi wanachambua na kufanya tathmini kabla ya kufanya maamuzi sio hao watoto ambao hata miaka 18 ya kupiga kura wengine hawajafika.
 
Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010

Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna kila dalili ya kutokuaminiana imezuka CDM na huu ni wakati wa kukipeleka kaburini chama hiki, nawaomba sana mchakachue jimbo moja la CDM ili uchaguzi mdogo uitishwe, kwa kufanya hivi mtakuwa mmekiathiri sana chama hiki ambacho wapenzi wake wengi ni vijana ambao wengi wao kama bendera hufuata upepo.
Ninawahakikishia kama mtafanya hivyo na kufanikiwa kuitisha uchaguzi mdogo katika jimbo linalomilikiwa na CDM na CCM kushinda utakuwa ndio mwisho wa hiki chama.

Ni hayo tu.

SecondID
Kwanza karibu sana JF, Hapa JF kuna Majukwaa Mengi sana unayoweza kushiriki na kujifunza mambo mbalimbali hata kuburudika pia,

Pia haulazimishwi kuchangia kila mada, na haubanwi kishiriki kwenye mada za aina moja tu kama unavyofanya wewe na mada zako za kuishambulia chadema.

Hivyo napenda kukukaribisha rasmi kwenye Jukwaa la Mahusiano, Mapenzi na Urafiki, na kwa sababu hauna Boyfriend uko utakutana na ushauri wa jinsi ya kupata Boyfriend ambaye mwisho wa asiku mnaweza mkajikuta mmefunga ndoa na wewe ukapata sifa ya kuitwa Mama fulani siku za usoni. Kwa kipindi cha sasa hii itakusaidia kukuondolea msongo wa mawazo ulionao.

Karibu
 
Nasikitika sana vijana wa CDM kujibu kwa hasira post ambayo haiwahusu, huu ni ushauri kwa CCM. vijana hao hawajui hata sera maana yake nini, CCM ingawa sio chama changu inajivunia watu wazima na wakina mama ambao ni nguzo imara na makini, hawarukupuki kufanya maamuzi wanachambua na kufanya tathmini kabla ya kufanya maamuzi sio hao watoto ambao hata miaka 18 ya kupiga kura wengine hawajafika.

Kama ingekuwa tunazungumzia mambo mengine majina ya malaya na kahaba yasingekufaa sababu wewe ni chipukizi la kipee kabisa. we sio mwanaCCM hizo sifa zote unaimwagia ya nini. Mume wa Mwezio usimtingishie nyonga
 
Hahaha! Mkuu umeua!
 
Ebwanaee!!! unanikumbusha enzi za Shehe yahya kwamba atakaye mpinga kikwete atakufa mpaka leo naendelea kusikilizia nani atakufa
Mkuu alishawahi pia kusema Rais ajae(yaani JK) ataongoza kwa kipindi kumoja (yaani miaka mitano). ajabu kumbe ndo yeye alikuwa kabakiza miaka mitano kufa.
 
[h=3]http://www.google.com/url?sa=t&rct=...sg=AFQjCNEQpzVg9FdwQIKlJ_aE_zFQIt_UAg&cad=rjaDeclaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010[/h]
Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna kila dalili ya kutokuaminiana imezuka CDM na huu ni wakati wa kukipeleka kaburini chama hiki, nawaomba sana mchakachue jimbo moja la CDM ili uchaguzi mdogo uitishwe, kwa kufanya hivi mtakuwa mmekiathiri sana chama hiki ambacho wapenzi wake wengi ni vijana ambao wengi wao kama bendera hufuata upepo.
Ninawahakikishia kama mtafanya hivyo na kufanikiwa kuitisha uchaguzi mdogo katika jimbo linalomilikiwa na CDM na CCM kushinda utakuwa ndio mwisho wa hiki chama. Ni hayo tu.

Kwanini usiombe hata uchaguzi wa RAIS urudiwe ili Chama lako TPP Maendeleo la Kuga Mzirai mshinde kiti cha URAIS au hata huo ubunge basi for that matter, badala ya kuwaombea CCM washinde? Huo ni ujanja wa mbuni kufika kichwa mchangani ili hali mwili mzima ukiwa nje. Hata mtoto mdogo hawezi kudanganyika na huo uwongo wako wa Kuga Mzirai, huku ukiombea CCM washinde! YOU ARE AN OBTUSE PERSON LIVING IN A DIFFERENT PLANET!
 
Kwa wazo hilo dogo 2nd kitambulisho hilo halipo na kama magamba wamekutuma kuicahfua cdm wajue kuwa imekula kwao na wewe pia umeramba chini na kuangukia pua.dogo hatuendi hivyo hivi wewe bado tu unamategemeo na chama mfu??kazi unayo kama kumulikia mwizi kwenye mali zako!!!!
 
kuna watu mna akili matope ww ni mmoja wapo
aisee ni ngumu sana kuikomboa tanzania kuna vilaza waajabu sana hapo utakuta ana kadegree kabatini akili kama sisimizi

huyu jamaa aliye post hii mada nazani hajitambui vizuri.ni ngumu kukiua cdm.kwani wa-tz wanajua ukweli,hakuna chama mbadala ambacho kitaleta ukombozi wa nchi isipokuwa cdm...jaribu kujitathimini kabla ya kuleta mjadala wako hapo japo ukweli unaujua..mungu bariki tanganyika na cdm.
 
c.c.m mjamba mavi!karibuni tutasikia mumejinyea mavi ya kijani kama kanga zenu kwa kuogopa nguvu ya umma.chedema viva
 
Mwanzilishi wa mada! Pole na narrow mind yako unafanya kazi ya kupaka rangi upepo! Chezea Chadema wewe! Buuu!
 
c.c.m mjamba mavi!karibuni tutasikia mumejinyea mavi ya kijani kama kanga zenu kwa kuogopa nguvu ya umma.chedema viva
 
Njia Pekee ya Kuimaliza CDM ni CCM Kuhakikisha

1. Wananchi wnapata Maji ya Uhakika ( Hapa Dar ni wiki sasa tunakunywa Maji ya Chooni halafu uje utudanganye na CCM yajo)

2. Iboreshe Elimu kwa wote leo hii Tanga Mjini kuna shule wanafunzi wanakaa chini

3. Imkamate Lowasa, Chenge, Mkapa, Balali, Karamagi, Mramba, Kikwete, Sitta na Mafisadi wote

Bila ya Hivyo CCM inasubirirwa Kuzikwa
 
Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010

Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna kila dalili ya kutokuaminiana imezuka CDM na huu ni wakati wa kukipeleka kaburini chama hiki, nawaomba sana mchakachue jimbo moja la CDM ili uchaguzi mdogo uitishwe, kwa kufanya hivi mtakuwa mmekiathiri sana chama hiki ambacho wapenzi wake wengi ni vijana ambao wengi wao kama bendera hufuata upepo.
Ninawahakikishia kama mtafanya hivyo na kufanikiwa kuitisha uchaguzi mdogo katika jimbo linalomilikiwa na CDM na CCM kushinda utakuwa ndio mwisho wa hiki chama.

Ni hayo tu.

Kwa mpenda maendeleo yeyote hawezi kamwe kuombea CHADEMA isambaratike!! bila CHADEMA leo hii CCM ingetumeza tukiwa hai!! CCM ni Janga la taifa, kama hujui ndugu yangu tafakari!
 
:lock1:
Declaration of Conflict of Interest: Mimi sio mwanachama wa CCM na nilimpigia kura Peter kuga Mzirai 2010

Ninawaomba sana viongozi wa CCM na wa kiserikali mfanyie kazi hili wazo langu, kuna kila dalili ya kutokuaminiana imezuka CDM na huu ni wakati wa kukipeleka kaburini chama hiki, nawaomba sana mchakachue jimbo moja la CDM ili uchaguzi mdogo uitishwe, kwa kufanya hivi mtakuwa mmekiathiri sana chama hiki ambacho wapenzi wake wengi ni vijana ambao wengi wao kama bendera hufuata upepo.
Ninawahakikishia kama mtafanya hivyo na kufanikiwa kuitisha uchaguzi mdogo katika jimbo linalomilikiwa na CDM na CCM kushinda utakuwa ndio mwisho wa hiki chama.

Ni hayo tu.

Bora hata kuku anaakili akitoka asubuhi anakumbuka kurudi nyumbani. Hivi wewe ndivyo akili yako inavyokutuma au unaleta ujinga wako hapa? Hawa marehemu magamba unadhani wana jipya lolote la kuwaconvice wananchi zaidi ya kushinda chaguzi mbalimbali kwa ujanja ujanja na kuiba kura. Siku zao magamba zinahesabika, soon they are going 2 die. Kama umetumwa humu kuleta upambavu wako, hapa sio mahali pake!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom