Utaanzaje anzaje ?

sarikoki

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
1,194
721
Najua kuna wanaume wengi ndani ya ndoa wanakua wana wanawasi wasi na watoto wanaowazaa kama ni wao au sio esp kama mtoto hafanani na baba kabisa.
Kudhibitisha kama ni wa kwako lazima DNA itumike hapo.
Mwenye ujanja atutatulie hili jinsi gani ya kumueleza mkeo akuelewe ili mkacheki DNA.
 
Kwa nini mkacheki? Lazima uwe na sababu ya msingi, la sivyo utazuka ugomvi mkubwa ambao hautakuwa na suluhu.
 
mwajipendeaga mapresha ya buuree! we lea kama sio wako mumgu atakulipa !
 
hakuna haja ya kumwambia mkeo,we chukua mate ya huyo mtoto wako mpelekee Dokotela na mpunga wa nguvu atakufanyia DNA bila hata ya my wife wako kujua.Nalog off
 
Mtoto akizaliwa nyumbani mwangu (na mke wangu) huyo ni wangu......:smash:
 
Najua kuna wanaume wengi ndani ya ndoa wanakua wana wanawasi wasi na watoto wanaowazaa kama ni wao au sio esp kama mtoto hafanani na baba kabisa.
Kudhibitisha kama ni wa kwako lazima DNA itumike hapo.
Mwenye ujanja atutatulie hili jinsi gani ya kumueleza mkeo akuelewe ili mkacheki DNA.
tehe tehe...we jamaa vipi tena..au..au..!?? kuwa muwazi bwana ...
 
hakuna haja ya kumwambia mkeo,we chukua mate ya huyo mtoto wako mpelekee Dokotela na mpunga wa nguvu atakufanyia DNA bila hata ya my wife wako kujua.Nalog off
sio kwamba lazima wote mpeleke mate yaani mke ,mtoto na baba.....
 
tehe tehe...we jamaa vipi tena..au..au..!?? kuwa muwazi bwana ...

nafanya uchunguzi kaka, kuna riport ilitokaga kwamba asilimia kubwa ya wanaume wa Tz tunalea watoto ambao sio wetu.......nataka tujikwamue kwa anayejua mbinu ya kumpima mtoto bila ya mama.
 
Kwa nini mkacheki? Lazima uwe na sababu ya msingi, la sivyo tazuka ugomvi mkubwa ambao hautakuwa na suluhu.
sasa tukiendelea kuogopa ugomvi ile asilimia ya sisi wanaume wa Tz tunalea watoto wa nje si itafika asilimia 99 mpaka 2015
#
 
nafanya uchunguzi kaka, kuna riport ilitokaga kwamba asilimia kubwa ya wanaume wa Tz tunalea watoto ambao sio wetu.......nataka tujikwamue kwa anayejua mbinu ya kumpima mtoto bila ya mama.

sasa kama asilimia kubwa ndo wanabambikiziwa watoto maana yake si kuna asilimia ndogo wana watoto wa halali? Kwanini wewe kukimbilia kujiweka kwenye hiyo asilimia kubwa ya wasiwasi..huna uhakika?ndo mana mwanzo nikauuliza au au?! Kuwa muwazi..
 
Back
Top Bottom