Utaalamu juu ya nishati mbadala...

Tuko

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
11,178
7,319
Naomba kuuliza kwa wataalamu wa mambo ya nishati wakiomo humu? Ni wapi naweza kutapa car battery charger ili niinunue na inverter niweze kupata umeme wakati huu wa mgao. Zipo za capacity gani, na zinacheza kwenye range ipi ya bei? Nimefikiri kuhusu solar lakini kabla sijaopt hilo nikaona charger ya umeme inaweza kuwa better kwangu kwani nilipo gharama za umeme sio issue, na kwa kuzingatia portability nikadhani hiyo ndiyo option nzuri kuliko solar. Je, assumptions zangu ni sahihi? Naomba ushauri juu ya hilo, natanguliza shukrani...
 
Back
Top Bottom