Utaachika jitume sikutishi!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,462
21,334
USIMWACHIE YEYE TU JITUME OOH[h=2]Thursday, April 29, 2010[/h][h=3]Usimwachie yeye tu[/h]

Kwa kuwa mume huwa na hitaji kubwa la sex katika ndoa mara nyingi (siyo mara zote), hii husababisha sex kuwa suala la kimwili (physical) kuliko mke unavyohitaji.
Wanawake hukiri kwamba wanapozungumzia sex ni pamoja na kukumbatiwa (hugs &cuddling), busu na kushikana shikana kunakupelekea kuwa na maandalizi ya kutosha (foreplay) kuliko waume zao wanavyofanya yaani kukimbilia down there na kumaliza kazi.
Jambo la kusikitisha zaidi ni kwamba wanandoa wengi wakiwa chumbani wanaume ndiyo huachiwa usukani wa kuendesha suala zima la mahaba na matokeo yake wake zao huishia kutoridhishwa.
Kumbuka sex inapokuwa kwa ajili yake (mwanaume) basi huishia kuwa ni “routine” na mwisho huwa ni “boring”
Kumwachia mwanaume (mume) kila kitu chumbani ni sababu mojawapo ya mwanamke (mke) kutoridhika kwani yeye si mwanamke ajue nini unahitaji kwa wakati huo na zaidi device zake zinafanya kazi tofauti na mwanamke.
Hivyo kama wewe ni mwanamke ambaye umemwachia mume wako jukumu la kuongoza yote mnayofanya mkiwa chumbani na unajiona ni kweli haridhiki au huridhishwi inavyotakiwa basi anza sasa na wewe kuhakikisha unasaidiana naye kuweka mambo sawa.
‘Men read newspapers, not minds”
Bottom line ni kwamba mwanamke yeyote anayekuwa mbunifu na anayependa kuimarisha masuala la sex; mume humpokea kwa mikono miwili kwani sex ni hitaji lake muhimu katika kukufanya awe karibu na mke wake.
Hivyo tumia hiyo opportunity

 
Good morning broda, asante kwa hizo tips. thats true
‘Men read newspapers, not minds”
 
Mkuu Pdidy, ni kweli umekumbushia kitu cha msingi sana katika mahusiano/ndoa, mkiogopana ndivyo mnavyojiweka kwenye risk ya kuachana! Mimi nilianza na hilo! nikamweleza kwa uwazi kabisa na kufikia conclusion ambayo hadi sasa ni full malovedavi hatuchokani wala kutamani kuachana!!

And happy life goes on! Mind you, inategemea na mtu mwenyewe! wengine hukwazika lakini ukimwelewesha hata awe nani ataelewa tu na maisha yanasonga.
 
Waeleze mkuu labda utasaidia kuponya ndoa za baadhi yao. Wengi wao wako hivyo, hawa-initiate majamboz, wanasubiri tu watendewe, halafu wasipofikishwa mawenzi wanabaki kulalamika tu.
Umesema kweli mkuu, "Men read newspapers, not minds." nimeipenda hiyo. Wasituachie kufanya assumptions za kile wanachofikiri.
 
Mkuu Pdidy, ni kweli umekumbushia kitu cha msingi sana katika mahusiano/ndoa, mkiogopana ndivyo mnavyojiweka kwenye risk ya kuachana! Mimi nilianza na hilo! nikamweleza kwa uwazi kabisa na kufikia conclusion ambayo hadi sasa ni full malovedavi hatuchokani wala kutamani kuachana!!

And happy life goes on! Mind you, inategemea na mtu mwenyewe! wengine hukwazika lakini ukimwelewesha hata awe nani ataelewa tu na maisha yanasonga.

Mwaya wish ungekutanna na mama didy,m mpaka kesho nikiona mazoezi yanapungua aku nampa live ila kwa akili!!!kinachowaumiza wengi ni hiki sielewi waoga ama lah mnaishia kumlaumu Mungu Dear kumbe ni akili na ufahamu tu mpe live asome nyakati
Morning
 
Binafsi nikukumbushe kuna kipindi maaamaaa didy alikuwa akinisubiri kila wakati niseme hny jamani ...MMH NIKAMWITA NIKAMWEKA SAWA JAMANI HAYA MAMBO TUSIMPE SHETAN NAFASI NA UKIMTAJIA SHETAN NAFASI ANAANZA KUOMBA MSAMAAHA JAMANI SWT UNAJUA M N BINADAMU NIKUMBUSHE ..NIKAENDA ZENJ NIKALETA VIKOI KAMA 20 NIKIRUDI KILA SIKU ANANIPOKEA ,NIKIMALZA KUOGA ANAKYUJA HNY NIMEIMISS DIDY YWANGU..SO UWOGA UNAWACOST JAMANI MSISINGIZIE SHETAN KKILA KITU
 
Si wanataka haki sawa?Mbona hapo wanakimbia?Wajumuike na wao,matokeo wanakua na miaibu miingi mpaka wanaboa!
 
sex sex sex what is so special with sex pangeni maisha huko

maissha si uoange na baba na mamako maisha na mtoto wa mwenzio ya nini??nyie ndio mnashinda bila kuoa ama kuolewa mkisubiri maisha mwisho mnaoa wamama zenu (yaaani wenye age kama za wazazi wetu?)maisha mwachie m,ungu bana
 
kweli wanawake wengi wanaachi kwa sababu za kutojituma ndani ya 6X6 hivyo matokeo yake ndio hayo waume zao wanaenda nje ya ndoa na hawataki hata kushauriwa
 
kukumbushana kwenye ndoa ni maisha ya kila siku asa mkiwa busy wote i mean mkiwa mmeajiriwa au kujiajiri mkitoka kwenye mihangaiko yenu ya kila siku kukumbushana muhim wajameni
 
Hilo gari inakuwaje, au ndio hamu imezidi kaenda kuiba kwa kimada?
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom